• TBT ya Haji Manara

    "September 2007 nikiwa kijana Mdogo na nikiwa kiongozi wa Chama changu na hapo ni fresh from School kule Beijing China.
    Kipindi hicho nna madini ya hatari kuhusu taaluma ya Propaganda na Uenezi,enzi ambazo nilikuwa naweza kukuaminisha Jiwe ni Keki

    Enzi ambazo nilikuwa naweza kuwavusha hata kuku barabarani kwa maneno tu,
    Ni zile zile zama nilizowaaminisha Barcelona haichomoki kwa Mkapa, tena Barcelona kweli ya Xavi ,Iniesta na kina Messi.
    Taaluma iliyonipa ujasiri wa kusema na kuamini tutafuzu kwa AFCON ya 2019 kule Misri,wakati huo tukiwa chini kwenye msimamo wa kundi letu, na Nchi nzima ikiwa imejikatia tamaa ya kwenda Cairo.

    Bila kusahau one day kule Paris France niliposahau Passport hotelini na siku hiyo tulisimamishwa na Manjagu njiani nikiwa na wenzangu ambao walikuwa Kamil Gado,
    Nikazuga kama naitoa kwenye mfuko wa koti, Askari wakaniamini kabla ya kuwaonyesha ,wakaturuhusu kilaini kabisa,inaitwa Blue Propaganda

    Yes: Pembeni yangu katika hiyo picha ni Marehemu Captain Barongo aliyekuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es salaam,
    Na hii ilikuwa sherehe ya harusi ya DC wa Temeke hivi sasa Mh Sixtus Mapunda ambae wakati huo alikuwa Katibu wa Umoja wa Vijana ( UV CCM ) Mkoa huu.
    Hadi leo tumebaki marafiki wakubwa na hakosi mwaliko wowote kwangu

    Nb: Usicheke ukubwa wa koti,miaka ile ilikuwa ndio fashion na wenyewe tuliyaita Majumba "

    TBT ya Haji Manara "September 2007 nikiwa kijana Mdogo na nikiwa kiongozi wa Chama changu na hapo ni fresh from School kule Beijing China. Kipindi hicho nna madini ya hatari kuhusu taaluma ya Propaganda na Uenezi,enzi ambazo nilikuwa naweza kukuaminisha Jiwe ni Keki 😀😀😀 Enzi ambazo nilikuwa naweza kuwavusha hata kuku barabarani kwa maneno tu😀😀😀, Ni zile zile zama nilizowaaminisha Barcelona haichomoki kwa Mkapa, tena Barcelona kweli ya Xavi ,Iniesta na kina Messi. Taaluma iliyonipa ujasiri wa kusema na kuamini tutafuzu kwa AFCON ya 2019 kule Misri,wakati huo tukiwa chini kwenye msimamo wa kundi letu, na Nchi nzima ikiwa imejikatia tamaa ya kwenda Cairo. Bila kusahau one day kule Paris France niliposahau Passport hotelini na siku hiyo tulisimamishwa na Manjagu njiani nikiwa na wenzangu ambao walikuwa Kamil Gado, Nikazuga kama naitoa kwenye mfuko wa koti, Askari wakaniamini kabla ya kuwaonyesha ,wakaturuhusu kilaini kabisa,inaitwa Blue Propaganda 😀😀😀 Yes: Pembeni yangu katika hiyo picha ni Marehemu Captain Barongo aliyekuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Na hii ilikuwa sherehe ya harusi ya DC wa Temeke hivi sasa Mh Sixtus Mapunda ambae wakati huo alikuwa Katibu wa Umoja wa Vijana ( UV CCM ) Mkoa huu. Hadi leo tumebaki marafiki wakubwa na hakosi mwaliko wowote kwangu 🙏🙏 Nb: Usicheke ukubwa wa koti,miaka ile ilikuwa ndio fashion na wenyewe tuliyaita Majumba 😀😀😀"
    0 Comments ·0 Shares ·686 Views
  • Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria, Victor Boniface, anayeichezea Bayer Leverkusen ya Ujerumani, ameachana na mpenzi wake, Rikke Hermine, raia wa Norway. Wawili hao walikuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa miaka minne, lakini wameamua kuvunja uhusiano wao kutokana na kugundua kuwa Victor kwenye mali zake ameandika majina ya mama yake tu.

    Chanzo cha habari kinaeleza kuwa uamuzi wa Rikke kuachana na Victor ulitokana na kugundua kuwa katika mali zote za mshambuliaji huyo, majina ya mama yake mzazi pekee ndiyo yaliyoandikwa. Hali hii ilimfanya Rikke kuhisi kuwa hakuwa na nafasi ya kutosha katika maisha ya Victor, jambo lililomfanya kuchukua hatua hiyo.

    Aidha, inadaiwa kuwa Rikke alikuwa akishinikiza kufunga ndoa baada ya kuwa wapenzi kwa muda mrefu, huku Victor akiwa tayari kufunga naye ndoa lakini kwa sharti la kusaini mkataba wa awali (prenup).

    Prenup ni Mkataba wa awali kabla ya kufunga ndoa ambao unalenga kulinda mali za pande zote mbili endapo itatokea mkaachana kila mmoja anabaki na alichokuja nacho katika ndoa na sio kugawana mali, ila bibie Rikkie amekuwa mgumu kukubali hilo hivyo kuachana

    #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia #wemasepetu
    Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria, Victor Boniface, anayeichezea Bayer Leverkusen ya Ujerumani, ameachana na mpenzi wake, Rikke Hermine, raia wa Norway. Wawili hao walikuwa katika uhusiano wa kimapenzi kwa miaka minne, lakini wameamua kuvunja uhusiano wao kutokana na kugundua kuwa Victor kwenye mali zake ameandika majina ya mama yake tu. Chanzo cha habari kinaeleza kuwa uamuzi wa Rikke kuachana na Victor ulitokana na kugundua kuwa katika mali zote za mshambuliaji huyo, majina ya mama yake mzazi pekee ndiyo yaliyoandikwa. Hali hii ilimfanya Rikke kuhisi kuwa hakuwa na nafasi ya kutosha katika maisha ya Victor, jambo lililomfanya kuchukua hatua hiyo. Aidha, inadaiwa kuwa Rikke alikuwa akishinikiza kufunga ndoa baada ya kuwa wapenzi kwa muda mrefu, huku Victor akiwa tayari kufunga naye ndoa lakini kwa sharti la kusaini mkataba wa awali (prenup). Prenup ni Mkataba wa awali kabla ya kufunga ndoa ambao unalenga kulinda mali za pande zote mbili endapo itatokea mkaachana kila mmoja anabaki na alichokuja nacho katika ndoa na sio kugawana mali, ila bibie Rikkie amekuwa mgumu kukubali hilo hivyo kuachana #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia #wemasepetu
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·2K Views
  • #JeWajua Msako mkali wa wahamiaji uliofanyika nchini Marekani siku ya Jumapili na kusababisha kukamatwa kwa watu 956, idadi hiyo ikiwa kubwa zaidi tangu Donald Trump arejee mamlakani, kulingana na shirika la Uhamiaji na Utekelezaji wa Forodha (ICE).

    Mashirika kadhaa ya serikali yenye mamlaka mapya ya kuwaweka kizuizini wasio na vibali yalihusika katika kamata kamata hiyo kwenye miji kadhaa ikiwa ni pamoja na Chicago, Newark na Miami. Moja ya ahadi alizotoa Donald Trump wakati wa kampeni yake, ni kuwafukuza nchi Marekani wahamiaji wasio na vibali.

    Mtangulizi wake Joe Biden aliwarejesha makwao wastani wa wahamiaji 311 kila siku, kulingana na ICE, wengi wao wakiwa watu ambao walikuwa wamefanya uhalifu. Tangu aingie madarakani, Trump ametekeleza maagizo 21 kurekebisha mfumo wa uhamiaji wa Marekani.

    Huko Miami siku ya Jumapili, vyombo vya kutekeleza sheria vya serikali vilichukua "hatua kadhaa za uhamiaji," Uchunguzi wa Usalama wa jiji hilo ulisema kwenye mitandao ya kijamii.

    #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia
    #JeWajua Msako mkali wa wahamiaji uliofanyika nchini Marekani siku ya Jumapili na kusababisha kukamatwa kwa watu 956, idadi hiyo ikiwa kubwa zaidi tangu Donald Trump arejee mamlakani, kulingana na shirika la Uhamiaji na Utekelezaji wa Forodha (ICE). Mashirika kadhaa ya serikali yenye mamlaka mapya ya kuwaweka kizuizini wasio na vibali yalihusika katika kamata kamata hiyo kwenye miji kadhaa ikiwa ni pamoja na Chicago, Newark na Miami. Moja ya ahadi alizotoa Donald Trump wakati wa kampeni yake, ni kuwafukuza nchi Marekani wahamiaji wasio na vibali. Mtangulizi wake Joe Biden aliwarejesha makwao wastani wa wahamiaji 311 kila siku, kulingana na ICE, wengi wao wakiwa watu ambao walikuwa wamefanya uhalifu. Tangu aingie madarakani, Trump ametekeleza maagizo 21 kurekebisha mfumo wa uhamiaji wa Marekani. Huko Miami siku ya Jumapili, vyombo vya kutekeleza sheria vya serikali vilichukua "hatua kadhaa za uhamiaji," Uchunguzi wa Usalama wa jiji hilo ulisema kwenye mitandao ya kijamii. #tanzania #kenya #daressalaam #africa #zanzibar #diamondplatnumz #arusha #mwanza #dodoma #uganda #wcb #travel #life #safari #wasafi #love #millardayoupdates #mbeya #nairobi #harmonize #rwanda #eastafrica #kilimanjaro #alikiba #gainwithmchina #serengeti #wasafitv #fashion #wasafimedia
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·2K Views
  • Hizi fashion zingine za kanye west ni shida tupu
    Hizi fashion zingine za kanye west ni shida tupu
    1 Comments ·0 Shares ·269 Views
  • >Kurap Sio Fashion,,*
    >Jua Kurap Ni Passion,,*
    >Pia..Naitaji Kuwa Boss Officen,,*
    >Najua Itakua Ngumu Nisipo Ithamini Pen,,*

    #Kila_kitu_uenda_kwa_Muda_
    #Set_yr_brain
    >Kurap Sio Fashion,,* >Jua Kurap Ni Passion,,* >Pia..Naitaji Kuwa Boss Officen,,* >Najua Itakua Ngumu Nisipo Ithamini Pen,,* #Kila_kitu_uenda_kwa_Muda_ #Set_yr_brain
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·591 Views
  • kwa mistari wanakimbia india sany deo,,,,
    kichwani sijaitungia mi mkali jana naleo,,,,
    ili shimo mshatumbukia wagambo mnashushwa vyeo,,,,
    na mic kwangu ndogia weogopa nkishika peni,,,,
    mistari fashion sina moko nnadazeni mindo jack bila cheni,,,
    kwa mistari wanakimbia india sany deo,,,, kichwani sijaitungia mi mkali jana naleo,,,, ili shimo mshatumbukia wagambo mnashushwa vyeo,,,, na mic kwangu ndogia weogopa nkishika peni,,,, mistari fashion sina moko nnadazeni mindo jack bila cheni,,,
    0 Comments ·0 Shares ·245 Views
  • kwa mistari wanakimbia india sany deo,,,,
    kichwani sijaitungia mi mkali jana naleo,,,,
    ili shimo mshatumbukia wagambo mnashushwa vyeo,,,,
    na mic kwangu ndogia weogopa nkishika peni,,,,
    mistari fashion sina moko nnadazeni mindo jack bila cheni,,,
    kwa mistari wanakimbia india sany deo,,,, kichwani sijaitungia mi mkali jana naleo,,,, ili shimo mshatumbukia wagambo mnashushwa vyeo,,,, na mic kwangu ndogia weogopa nkishika peni,,,, mistari fashion sina moko nnadazeni mindo jack bila cheni,,,
    0 Comments ·0 Shares ·244 Views
  • >Kurap Sio Fashion...
    >Jua Kurap Ni Passion...
    >Pia..Naitaji Kuwa Boss Officen...
    >Najua Itakua Ngumu Nisipo Ithamini Pen...
    #Kila_kitu_uenda_kwa_Muda_
    #Set_yr_brain




    >Kurap Sio Fashion... >Jua Kurap Ni Passion... >Pia..Naitaji Kuwa Boss Officen... >Najua Itakua Ngumu Nisipo Ithamini Pen... #Kila_kitu_uenda_kwa_Muda_ #Set_yr_brain
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·583 Views
  • MOVIE TO REVIEW
    ___________________
    Aisha anarudi nyumbani Ghana, baada ya miaka mingi kuishi Marekani. Huko alikua anafanya kazi as Fashion Designer. Home mambo yamebadilika mno tofauti na mwanzo alivyoacha.

    Water & Garri ni concept iliyozaliwa kutokea kwenye EP ya kwake mwenyewe Tiwa Savage ambayo ina same name, hata story ya hii filamu ni part fulani ya maisha yake maana aliondoka Nigeria akiwa na miaka 11 na kurejea baadae sana.

    #FILAMU2024
    #topdrama
    MOVIE TO REVIEW ___________________ Aisha anarudi nyumbani Ghana, baada ya miaka mingi kuishi Marekani. Huko alikua anafanya kazi as Fashion Designer. Home mambo yamebadilika mno tofauti na mwanzo alivyoacha. Water & Garri ni concept iliyozaliwa kutokea kwenye EP ya kwake mwenyewe Tiwa Savage ambayo ina same name, hata story ya hii filamu ni part fulani ya maisha yake maana aliondoka Nigeria akiwa na miaka 11 na kurejea baadae sana. #FILAMU2024 #topdrama
    Like
    Wow
    3
    · 1 Comments ·0 Shares ·1K Views
  • #everyone follow me on TikTok account by one fashion quotes you
    #everyone follow me on TikTok account by one fashion quotes 🙏👀 you
    Love
    Like
    5
    · 4 Comments ·0 Shares ·723 Views ·70
  • Fashion style
    Fashion style 👔👟
    Like
    Love
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·413 Views
  • FASHION MAGAZINE POSTER
    FASHION MAGAZINE POSTER
    Like
    3
    · 1 Comments ·0 Shares ·274 Views
  • Mavuzi ni Urembo

    Jua Jinsi ya Kunyoa Staili Nzuri za Mavuzi za Kumvutia Baby Wako..!!!

    Je wajua kuwa nywele za chini aka mavuzi na ndevu ni urembo wa kimahaba?

    Mwenyezi Mungu alituumba na kutuwekea hivyo akiwa na maana kabisa ila sasa binadamu wa leo wamestaarabika kiasi waonaona ndevu au mavuzi ni uchafu tena uchafu sana. Mwanaume akiwa na ndevu anaonekana mchafu sana, Au ikiwa ni mwanamke wa mwanaume na uvuzi mwingi basi mchafu.

    Ntakupa mifano michache kwa wanyama

    Hivi wajua kule porini kama ni SIMBA dume na halina minywele ya kutosha Simba jike hasisimki na hivyo hali mzigo

    Hivi wajua hata ndege pori DUME huwa na minyoya ya kutosha na ile humpendezesha kushawishi majike

    Hivi wajua hata samaki – Kama unafuga samaki hata wale wa urembo je wajua dume lazima liwe na matezi mengi mengi

    Hivi wajua hata Mbwa wetu hawa akiwa siku za kupata mimba yakaja madume mengi atachagua lile lenye manywele mengi

    Kwa mifano hiyo utakuwa umenisoma kiduchu.

    Mwanamke kikawaida hana ndevu ila vuzi lipo… Linatakiwa lipendeze ila sio kusafisha kiwanja kinakuwa cheupeeee basi tukupe dawa zisiote tena maana huzitaki na hujui kazi yake.

    Mwanamke uwe wazinyoa kwaa style ile ya kupunguza tu na ndio maana mwezi wako anatakiwa kukusaidia. Au kama kuna salon za kunyoa huko basi sio waxing bali kuzipunguza kifashion….

    Kwanza ukiwa unapunguza tu hautakaa upate tatizo la in-grow hair na kufanya **** iwe na mapeleeee mabalaa duniani. Mipele inafanya **** inakuwaa na vidoti vyeusi.

    Mwanaume anatakiwa kuwa na ndevu ile ziwe ninakwatwa kwa uzuri ili kupendezesha asiache kama Alshabab – Na hata kule chini anatakiwa kupungusa kwa sehemu za kende ndio amalize ile juu ya dyudyu ndio anaacha kiasi tena ikibidi kwa style mahususi aipendayo malkia wake.

    Ndevu – kidogo zatumika kukuna mgongo wa mwanamke – Imagine akiwa anakupumulia kwa nyuma alafu anakukuna na kidevu sehemu za shingo hahahha bye……

    NAWACHANGANYA EEEH
    Mavuzi ni Urembo Jua Jinsi ya Kunyoa Staili Nzuri za Mavuzi za Kumvutia Baby Wako..!!! Je wajua kuwa nywele za chini aka mavuzi na ndevu ni urembo wa kimahaba? Mwenyezi Mungu alituumba na kutuwekea hivyo akiwa na maana kabisa ila sasa binadamu wa leo wamestaarabika kiasi waonaona ndevu au mavuzi ni uchafu tena uchafu sana. Mwanaume akiwa na ndevu anaonekana mchafu sana, Au ikiwa ni mwanamke wa mwanaume na uvuzi mwingi basi mchafu. Ntakupa mifano michache kwa wanyama Hivi wajua kule porini kama ni SIMBA dume na halina minywele ya kutosha Simba jike hasisimki na hivyo hali mzigo Hivi wajua hata ndege pori DUME huwa na minyoya ya kutosha na ile humpendezesha kushawishi majike Hivi wajua hata samaki – Kama unafuga samaki hata wale wa urembo je wajua dume lazima liwe na matezi mengi mengi Hivi wajua hata Mbwa wetu hawa akiwa siku za kupata mimba yakaja madume mengi atachagua lile lenye manywele mengi Kwa mifano hiyo utakuwa umenisoma kiduchu. Mwanamke kikawaida hana ndevu ila vuzi lipo… Linatakiwa lipendeze ila sio kusafisha kiwanja kinakuwa cheupeeee basi tukupe dawa zisiote tena maana huzitaki na hujui kazi yake. Mwanamke uwe wazinyoa kwaa style ile ya kupunguza tu na ndio maana mwezi wako anatakiwa kukusaidia. Au kama kuna salon za kunyoa huko basi sio waxing bali kuzipunguza kifashion…. Kwanza ukiwa unapunguza tu hautakaa upate tatizo la in-grow hair na kufanya kuma iwe na mapeleeee mabalaa duniani. Mipele inafanya kuma inakuwaa na vidoti vyeusi. Mwanaume anatakiwa kuwa na ndevu ile ziwe ninakwatwa kwa uzuri ili kupendezesha asiache kama Alshabab – Na hata kule chini anatakiwa kupungusa kwa sehemu za kende ndio amalize ile juu ya dyudyu ndio anaacha kiasi tena ikibidi kwa style mahususi aipendayo malkia wake. Ndevu – kidogo zatumika kukuna mgongo wa mwanamke – Imagine akiwa anakupumulia kwa nyuma alafu anakukuna na kidevu sehemu za shingo hahahha bye…… ✍️NAWACHANGANYA EEEH😁😁😂😂😂
    Like
    Love
    2
    · 1 Comments ·0 Shares ·431 Views
  • Fashion belts bei poa krbu Sana wateja
    18000 #Chrissboefashioartist
    Fashion belts bei poa krbu Sana wateja 18000 #Chrissboefashioartist
    Like
    Love
    14
    · 0 Comments ·0 Shares ·677 Views