-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
— Huyu hapa, kijana ambaye aliitetemesha dunia kwa kuivua nguo mifumo ya CIA, akiwa na miaka 15 tu!
— Nyaraka zote ambazo wao waliamini ni za siri na hakuna wa kuweza kuzifikia, kijana alizifunua na kuzigeuza atakavyo.
— Jina lake ni KANE GAMBLE (Tamka: Ken Gembo)...
Na huu ni UZI maalumu kuhusu kisanga hiki...
Wakati unaanza kutiririka, usiwe mchoyo, fanya uungwana mdogo tu, angusha REPOST hapo chini ili maarifa haya yawafikie wengi zaidi....
Twen'zetu!馃憞馃徑— Huyu hapa, kijana ambaye aliitetemesha dunia kwa kuivua nguo mifumo ya CIA, akiwa na miaka 15 tu! — Nyaraka zote ambazo wao waliamini ni za siri na hakuna wa kuweza kuzifikia, kijana alizifunua na kuzigeuza atakavyo. — Jina lake ni KANE GAMBLE (Tamka: Ken Gembo)... Na huu ni UZI maalumu kuhusu kisanga hiki... Wakati unaanza kutiririka, usiwe mchoyo, fanya uungwana mdogo tu, angusha REPOST hapo chini ili maarifa haya yawafikie wengi zaidi.... Twen'zetu!馃憞馃徑 -
-
-
-
More Stories