socialpop mlichonifanyia sio nimefikisha limit ya kutoa hela 100$ sawa na Tsh 250000 nimewafata inbox mlichodai kuwa sijafikisha kihalali mmeitoa hela kwenye wallet yangu na kuirudsha had tsh 2500 hii ni sawa, Nawezaje kuingia kwenye system yenu kujiwekea Hela zote au ni sababu ya kutonilpa hii tabia imeniudhi kwakwel kama mmetangaza kulipa watu kutokana na kupost,likes na kucomment mtu katumia bando lake zaid ya gb 30 ili kufikisha hiyo hela ,Baadae mnasema sio kweli,Hata kama system yenu ilifanya makosa je hayo ni makosa ya mtumiaji au ya kwenu? Kkwakuwa milikuwa mnanipa hadi Tsh 10000 peday sawa na point 1000 kwa makadilio na nilikuwa nahakikisha nazitumia zote had kufikisha Tsh 250000 sawa na 100$ limit ya kutoa hela ...........Hii ni barua ya wazi kutoka kwenu sio sawa n a email niliyotumia kuwasiliana na nyie ni [email protected]
Social Pop Social Pop

[Socialpop1] [Socialpop1]
2 Comments
·445 Views