Upgrade to Pro

Apon Kamaleki

  • Waah
    Waah 🙌
    Haha
    3
    ·85 Views ·10 Views
  • Tuliojifunza shairi hili miaka yetu darasa la nne
    Gonga likes hapa
    Tuliojifunza shairi hili miaka yetu darasa la nne Gonga likes hapa 💪
    Like
    Love
    3
    2 Comments ·206 Views ·18 Views
  • Love
    2
    ·84 Views
  • https://www.facebook.com/share/v/RFrbcCJyLSTzAtUt/?mibextid=xfxF2i
    https://www.facebook.com/share/v/RFrbcCJyLSTzAtUt/?mibextid=xfxF2i
    WWW.FACEBOOK.COM
    Log into Facebook
    Log into Facebook to start sharing and connecting with your friends, family, and people you know.
    Like
    Sad
    5
    ·280 Views
  • *Faida za kunywa Maji ya kwenye Mtungi*



    1. Sifa za asili za kupoeza: Vyungu vya udongo vina sifa ya asili ya kupoeza ambayo husaidia kuweka maji ya baridi na kuburudisha, hasa wakati wa joto. Hii inaweza kufanya maji ya kunywa kutoka kwenye sufuria ya udongo kufurahisha zaidi.

    2. Maji yenye alkali: Vyungu vya udongo vinaaminika kulainisha maji yaliyohifadhiwa ndani yake, ambayo yanaweza kuwa na manufaa mbalimbali kiafya. Maji ya alkali yanasemekana kusaidia kupunguza viwango vya pH vya asidi katika mwili na kukuza afya na ustawi kwa ujumla.

    3. Uchujaji wa madini: Vyungu vya udongo vinaweza kuingiza madini ndani ya maji yaliyohifadhiwa ndani yake, na kuongeza virutubisho muhimu kama vile kalsiamu, magnesiamu na potasiamu kwenye maji. Hii inaweza kufanya maji kuwa na lishe zaidi na kuboresha ladha yake.

    4. Huondoa uchafu: Vyungu vya udongo vina kuta zenye vinyweleo ambavyo kwa asili hufyonza uchafu na sumu kutoka kwenye maji, hivyo kukuacha na maji safi na yenye afya ya kunywa. Utaratibu huu wa kuchuja unaweza kusaidia kuboresha ubora wa jumla wa maji.

    5. Rafiki wa mazingira: Vyungu vya udongo ni chaguo endelevu na rafiki kwa mazingira kwa kuhifadhi na kunywa maji. Zinaweza kuoza, zinahitaji nishati kidogo kuzalisha ikilinganishwa na vyombo vya plastiki au chuma, na hazichangii taka za plastiki.

    6. Huongeza ladha: Watu wengi wanaamini kuwa maji yaliyohifadhiwa kwenye vyungu vya udongo yana ladha tofauti na ya udongo ambayo huongeza hali ya unywaji kwa ujumla. Asili ya porous ya sufuria ya udongo inaruhusu aeration bora, ambayo inaweza kuboresha ladha na harufu ya maji.

    Kwa ujumla, maji ya kunywa kutoka kwenye sufuria za udongo inaweza kutoa faida nyingi ikiwa ni pamoja na mali ya asili ya baridi, maji ya alkali, uchujaji wa madini, uondoaji wa uchafu, uendelevu wa mazingira, na ladha iliyoimarishwa.
    *Faida za kunywa Maji ya kwenye Mtungi* 1. Sifa za asili za kupoeza: Vyungu vya udongo vina sifa ya asili ya kupoeza ambayo husaidia kuweka maji ya baridi na kuburudisha, hasa wakati wa joto. Hii inaweza kufanya maji ya kunywa kutoka kwenye sufuria ya udongo kufurahisha zaidi. 2. Maji yenye alkali: Vyungu vya udongo vinaaminika kulainisha maji yaliyohifadhiwa ndani yake, ambayo yanaweza kuwa na manufaa mbalimbali kiafya. Maji ya alkali yanasemekana kusaidia kupunguza viwango vya pH vya asidi katika mwili na kukuza afya na ustawi kwa ujumla. 3. Uchujaji wa madini: Vyungu vya udongo vinaweza kuingiza madini ndani ya maji yaliyohifadhiwa ndani yake, na kuongeza virutubisho muhimu kama vile kalsiamu, magnesiamu na potasiamu kwenye maji. Hii inaweza kufanya maji kuwa na lishe zaidi na kuboresha ladha yake. 4. Huondoa uchafu: Vyungu vya udongo vina kuta zenye vinyweleo ambavyo kwa asili hufyonza uchafu na sumu kutoka kwenye maji, hivyo kukuacha na maji safi na yenye afya ya kunywa. Utaratibu huu wa kuchuja unaweza kusaidia kuboresha ubora wa jumla wa maji. 5. Rafiki wa mazingira: Vyungu vya udongo ni chaguo endelevu na rafiki kwa mazingira kwa kuhifadhi na kunywa maji. Zinaweza kuoza, zinahitaji nishati kidogo kuzalisha ikilinganishwa na vyombo vya plastiki au chuma, na hazichangii taka za plastiki. 6. Huongeza ladha: Watu wengi wanaamini kuwa maji yaliyohifadhiwa kwenye vyungu vya udongo yana ladha tofauti na ya udongo ambayo huongeza hali ya unywaji kwa ujumla. Asili ya porous ya sufuria ya udongo inaruhusu aeration bora, ambayo inaweza kuboresha ladha na harufu ya maji. Kwa ujumla, maji ya kunywa kutoka kwenye sufuria za udongo inaweza kutoa faida nyingi ikiwa ni pamoja na mali ya asili ya baridi, maji ya alkali, uchujaji wa madini, uondoaji wa uchafu, uendelevu wa mazingira, na ladha iliyoimarishwa.
    Like
    Love
    5
    ·348 Views
  • *SIO DAWA ZOTE ZIPO KWENYE MADUKA YA MADAWA* *1 - Mazoezi ni dawa.* *2 - Kufunga ni dawa.* *3 - Chakula cha asili ni dawa.* *4 - Kicheko ni dawa.* *5 - Mboga na matunda ni dawa.* *6 - Usingizi ni dawa.* *7 - Mwanga wa jua ni dawa.* *8 - Kuwapenda wengine ni dawa* *9 - Kujipenda ni dawa.* *10 - Shukrani ni dawa.* *11 - Kuacha kosa ni dawa.* *12 - Kutafakari ni dawa.* *13 - Kusoma na kujifunza Neno la Mungu ni dawa.* *14 - Kula vizuri, kwa wakati na bila ziada ni dawa.* *15 - Fikra sahihi ni dawa.* *16 - Kumtegemea Mungu ni dawa* *17 - Marafiki wazuri ni dawa.* *18 -. Kujisamehe na kusamehe wengine ni dawa.* *19 - Kunywa maji mengi ni dawa.* *20 Moyo wenye amani ni dawa*
    *SIO DAWA ZOTE ZIPO KWENYE MADUKA YA MADAWA* *1 - Mazoezi ni dawa.* *2 - Kufunga ni dawa.* *3 - Chakula cha asili ni dawa.* *4 - Kicheko ni dawa.* *5 - Mboga na matunda ni dawa.* *6 - Usingizi ni dawa.* *7 - Mwanga wa jua ni dawa.* *8 - Kuwapenda wengine ni dawa* *9 - Kujipenda ni dawa.* *10 - Shukrani ni dawa.* *11 - Kuacha kosa ni dawa.* *12 - Kutafakari ni dawa.* *13 - Kusoma na kujifunza Neno la Mungu ni dawa.* *14 - Kula vizuri, kwa wakati na bila ziada ni dawa.* *15 - Fikra sahihi ni dawa.* *16 - Kumtegemea Mungu ni dawa* *17 - Marafiki wazuri ni dawa.* *18 -. Kujisamehe na kusamehe wengine ni dawa.* *19 - Kunywa maji mengi ni dawa.* *20 Moyo wenye amani ni dawa* 🙏🙏
    Love
    Like
    3
    ·300 Views
  • *AFYA YA MACHO.*

    *Daniel S.W.*

    Macho ni kiungo Muhimu sana kwa kuona. Asilimia kubwa ya taarifa kwa sisi wanadamu tunazipata kwa kupitia macho.

    Lakini wengi hazituzingatii Afya ya macho yapokuwa tunayatumia mpaka pale ambapo tatizo linakuwa kubwa na ndio tunakumbuka kwenda kwa Madaktari.

    WHO inasema kuna takbrani watu billioni 2.2 wenye matatizo ya macho au Upofu. Na kati ya Hao watu Billioni 1 wana matatizo ya Macho ambayo yangeweza yatibu mapema *¹*

    Matatizo ya macho ni matatizo ambayo yanawaathiri watu wengi. Na hata kama hauna tatizo unajukumu la kuhakikisha usalama wa macho yako upo katika viwango vizuri.

    Kwanza kabisa tambua kuwa Jicho linahitaji mambo yafuatayo.

    *Vitamin A*. Vitamin Hii inahitajika sana kwaajili ya kuzalisha rhodopsin ambazo ni seli Muhimu sana ndani ya jicho zinazosaidia kuona. Na pia Vitamin A inasaidia sana kufanya jicho liwe na hali ya unyevu wakati wote.

    *Carotenoids*. Hizi ni vichembechembe vinavyofanya matunda yawe na rangi. Hivi husaidia katika kuondoa sumusumu kwenye jicho.

    *Vitamin C na E.* Hizi pia zinasaidi katika kulinda jicho dhidi ya sumusumu. Hizi vitamin zinapatikana sana kwenye matunda, nafaka, na Mboga mboga.

    Tuendelee kujifunza ili tuweze zingatia macho yetu.
    *AFYA YA MACHO.* *Daniel S.W.* Macho ni kiungo Muhimu sana kwa kuona. Asilimia kubwa ya taarifa kwa sisi wanadamu tunazipata kwa kupitia macho. Lakini wengi hazituzingatii Afya ya macho yapokuwa tunayatumia mpaka pale ambapo tatizo linakuwa kubwa na ndio tunakumbuka kwenda kwa Madaktari. WHO inasema kuna takbrani watu billioni 2.2 wenye matatizo ya macho au Upofu. Na kati ya Hao watu Billioni 1 wana matatizo ya Macho ambayo yangeweza yatibu mapema *¹* Matatizo ya macho ni matatizo ambayo yanawaathiri watu wengi. Na hata kama hauna tatizo unajukumu la kuhakikisha usalama wa macho yako upo katika viwango vizuri. Kwanza kabisa tambua kuwa Jicho linahitaji mambo yafuatayo. *Vitamin A*. Vitamin Hii inahitajika sana kwaajili ya kuzalisha rhodopsin ambazo ni seli Muhimu sana ndani ya jicho zinazosaidia kuona. Na pia Vitamin A inasaidia sana kufanya jicho liwe na hali ya unyevu wakati wote. *Carotenoids*. Hizi ni vichembechembe vinavyofanya matunda yawe na rangi. Hivi husaidia katika kuondoa sumusumu kwenye jicho. *Vitamin C na E.* Hizi pia zinasaidi katika kulinda jicho dhidi ya sumusumu. Hizi vitamin zinapatikana sana kwenye matunda, nafaka, na Mboga mboga. Tuendelee kujifunza ili tuweze zingatia macho yetu.
    Love
    Like
    8
    6 Comments ·445 Views
  • TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO.
    Utaunguza kifuu Cha nazi Kisha utakisaga ili upate unga wake halafu baada ya hapo utakuwa unachukua kijiko kimoja Cha chai Cha hiyo dawa Yako unaweka kwenye kikombe Cha maziwa freshi halafu unakunywa zoezi hili lifanyike kutwa mara 3 Kwa siku 21 hakika mwenyezi Mungu atajalia utapona kabisa hata kama ni tatizo la mda mrefu utapona tu.
    TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO. Utaunguza kifuu Cha nazi Kisha utakisaga ili upate unga wake halafu baada ya hapo utakuwa unachukua kijiko kimoja Cha chai Cha hiyo dawa Yako unaweka kwenye kikombe Cha maziwa freshi halafu unakunywa zoezi hili lifanyike kutwa mara 3 Kwa siku 21 hakika mwenyezi Mungu atajalia utapona kabisa hata kama ni tatizo la mda mrefu utapona tu.
    Love
    Like
    Wow
    7
    5 Comments ·307 Views
  • DAWA YA MIGUU KUUMA, KUFA GANZI, KUVIMBA, KUWAKA MOTO PIA NI DAWA YA MAUMIVU YA KIUNO PIA NI DAWA YA KUTOA SUMU MWILINI PIA NI DAWA YA KUTOA MAUMIVU MAKALI YA MWILI PIA NI DAWA YA KUTOA VITU VINAVYOTEMBEA KWENYE MWILI.

    Chemsha majani ya nyanya na tunda la nyanya ambalo ni bichi katakata vipande vidogovidogo pia chemsha majani ya mbaazi pamoja na majani ya kabechi(kabeji) hakikisha hivyo vitu vyote unachemsha kwa pamoja.

    MATUMIZI.

    1.KWA MIGUU KUUMA, KUFA GANZI, KUVIMBA, KUWAKA MOTO
    Hiyo dawa yako uliyoichemsha utakuwa unajikanda ingali ya uvuguvugu na maji yake mengine utakuwa unakunywa kikombe kimoja Cha chai Cha dawa hiyo kujikanda jikande kutwa mara 2 ndani ya siku 7-14 lakini kunywa ni mara 3 kwa siku ndani ya siku 7-14.

    2.MAUMIVU YA KIUNO
    Uwe unajikanda hiyo dawa yako kutwa mara 2 kwa siku 5-7 pia utakuwa unakunywa maji yake kutwa mara 3 kwa siku 5-7.

    3.KUTOA SUMU MWILINI
    Utakuwa unakunywa kikombe Cha chai Cha hiyo dawa yako kutwa mara 3 kwa siku 7.

    4.KUTOA MAUMIVU MAKALI YA MWILI
    Utakuwa unajipiga nyungu hiyo dawa yako kutwa mara 2 kwa siku 3-5.

    5.KUTOA VITU VINAVYOTEMBEA KWENYE MWILI
    Utakuwa unajipiga nyungu hiyo dawa yako kutwa mara 2 kwa siku 5-7 pia utakuwa unakunywa kikombe Cha chai Cha hiyo dawa yako ingali ya uvuguvugu kutwa mara 3 kwa siku 5-7.
    DAWA YA MIGUU KUUMA, KUFA GANZI, KUVIMBA, KUWAKA MOTO PIA NI DAWA YA MAUMIVU YA KIUNO PIA NI DAWA YA KUTOA SUMU MWILINI PIA NI DAWA YA KUTOA MAUMIVU MAKALI YA MWILI PIA NI DAWA YA KUTOA VITU VINAVYOTEMBEA KWENYE MWILI. Chemsha majani ya nyanya na tunda la nyanya ambalo ni bichi katakata vipande vidogovidogo pia chemsha majani ya mbaazi pamoja na majani ya kabechi(kabeji) hakikisha hivyo vitu vyote unachemsha kwa pamoja. MATUMIZI. 1.KWA MIGUU KUUMA, KUFA GANZI, KUVIMBA, KUWAKA MOTO Hiyo dawa yako uliyoichemsha utakuwa unajikanda ingali ya uvuguvugu na maji yake mengine utakuwa unakunywa kikombe kimoja Cha chai Cha dawa hiyo kujikanda jikande kutwa mara 2 ndani ya siku 7-14 lakini kunywa ni mara 3 kwa siku ndani ya siku 7-14. 2.MAUMIVU YA KIUNO Uwe unajikanda hiyo dawa yako kutwa mara 2 kwa siku 5-7 pia utakuwa unakunywa maji yake kutwa mara 3 kwa siku 5-7. 3.KUTOA SUMU MWILINI Utakuwa unakunywa kikombe Cha chai Cha hiyo dawa yako kutwa mara 3 kwa siku 7. 4.KUTOA MAUMIVU MAKALI YA MWILI Utakuwa unajipiga nyungu hiyo dawa yako kutwa mara 2 kwa siku 3-5. 5.KUTOA VITU VINAVYOTEMBEA KWENYE MWILI Utakuwa unajipiga nyungu hiyo dawa yako kutwa mara 2 kwa siku 5-7 pia utakuwa unakunywa kikombe Cha chai Cha hiyo dawa yako ingali ya uvuguvugu kutwa mara 3 kwa siku 5-7.
    Like
    Love
    5
    3 Comments ·259 Views
  • Cassava leaves treats

    migraine
    diarrhea
    blurred vision
    obesity
    arthritis
    stroke
    high BP
    cancer

    Boil cassava leaves and sliced ginger with water for 15 minutes. Drink a cupful once a day. Nature heals.
    Cassava leaves treats 🌿migraine 🌿diarrhea 🌿blurred vision 🌿obesity 🌿arthritis 🌿stroke 🌿high BP 🌿cancer Boil cassava leaves and sliced ginger with water for 15 minutes. Drink a cupful once a day. Nature heals.
    Like
    Love
    6
    3 Comments ·296 Views
  • Fight for the fittest
    Fight for the fittest 💪
    Love
    Like
    5
    2 Comments ·225 Views
  • Mdalasini + Tangawizi + Unga wa manjano;

    CHAI hii tumia asubuhi inatibu,

    -BP
    -Pumu
    -Mafua
    -Magoti
    -Kinga ndogo
    -Mawe ya figo
    -Maumivu ya kiuno
    -Maumivu ya period
    -Fangasi sehemu za siri

    Weka kijiko kimoja kwenye maji ya moto.

    Angalizo Usiweke Sukari
    Mdalasini + Tangawizi + Unga wa manjano; CHAI hii tumia asubuhi inatibu, -BP -Pumu -Mafua -Magoti -Kinga ndogo -Mawe ya figo -Maumivu ya kiuno -Maumivu ya period -Fangasi sehemu za siri Weka kijiko kimoja kwenye maji ya moto. Angalizo Usiweke Sukari
    Love
    Like
    5
    2 Comments ·218 Views
  • KITUNGUU MAJI

    Ni dawa Madonda Koo (vidonda kooni)- kamua/safa Juisi yake mara 3 kutwa

    Tiba ya kikohozi na mafua

    Tiba ya masikio yanayouma, kuunguruma, kutoa usaha na usikivu hafifu - bandika nyuma ya sikio

    Afya ya moyo- Kushusha presha na kuondoa hatari za shambulio la moyo- Kula vitunguu maji kikombe 1 mara 2 kutwa

    Kuondoa tatizo la thrombosis. Research ya mwaka 2002 ilithibitisha kuwa sulfur inayopatikana kwenye kitunguu maji inaboresha mzunguko wa damu
    Kuongeza hamu ya Ndoa na Nguvu ya Ujasiri wa kupanda Mlima , Kula kila siku kitunguuu 1@gram 100 kwa siku 30

    Kifua kikuu ( Tegeneza juice nusu kilo ya vitunguu maji , ongeza na vijiko vitano vya asali , kisha igawanye hiyo juice itumie kwa siku mbili , kila siku ×3 kwa mda wa siku 45

    Kidonda cha kawaida , Pondaponda kitunguu maji paka kwenye kidonda ulichosafisha , Asb na Jion hadi kitakapopona

    Mba za Mwili (fungus) Kitunguu maji hutumika kutibu mba aina ya (Tinea vesikola) hawa mba hupendelea sehemu za juu kama usoni na shingoni , Ili kutibu kunywa glass tatu za juice kila siku na kupaka kitunguuu maji sehemu zilizoathirika kwa mda wa siku 10 -15

    Matatizo ya Meno - Kila jion baada ya chakula kula kitunguu kimoja gram 10 ,kitafune pole pole kwa kutumia pande zote za taya , hii ni tiba kwa ajili ya kuua bacteria na Kupunguza maumivu ya meno na kuzuia kuoza meno


    TAHADHARI
    Kitunguu maji kina sifa ya kuongeza joto mwilini. Usitumie kama una homa
    🛑🛑KITUNGUU MAJI 🛑Ni dawa Madonda Koo (vidonda kooni)- kamua/safa Juisi yake mara 3 kutwa 🛑Tiba ya kikohozi na mafua 🛑Tiba ya masikio yanayouma, kuunguruma, kutoa usaha na usikivu hafifu - bandika nyuma ya sikio 🛑Afya ya moyo- Kushusha presha na kuondoa hatari za shambulio la moyo- Kula vitunguu maji kikombe 1 mara 2 kutwa 🛑Kuondoa tatizo la thrombosis. Research ya mwaka 2002 ilithibitisha kuwa sulfur inayopatikana kwenye kitunguu maji inaboresha mzunguko wa damu 🛑Kuongeza hamu ya Ndoa na Nguvu ya Ujasiri wa kupanda Mlima , Kula kila siku kitunguuu 1@gram 100 kwa siku 30 🛑Kifua kikuu ( Tegeneza juice nusu kilo ya vitunguu maji , ongeza na vijiko vitano vya asali , kisha igawanye hiyo juice itumie kwa siku mbili , kila siku ×3 kwa mda wa siku 45 🛑Kidonda cha kawaida , Pondaponda kitunguu maji paka kwenye kidonda ulichosafisha , Asb na Jion hadi kitakapopona 🛑Mba za Mwili (fungus) Kitunguu maji hutumika kutibu mba aina ya (Tinea vesikola) hawa mba hupendelea sehemu za juu kama usoni na shingoni , Ili kutibu kunywa glass tatu za juice kila siku na kupaka kitunguuu maji sehemu zilizoathirika kwa mda wa siku 10 -15 🛑 Matatizo ya Meno - Kila jion baada ya chakula kula kitunguu kimoja gram 10 ,kitafune pole pole kwa kutumia pande zote za taya , hii ni tiba kwa ajili ya kuua bacteria na Kupunguza maumivu ya meno na kuzuia kuoza meno TAHADHARI Kitunguu maji kina sifa ya kuongeza joto mwilini. Usitumie kama una homa
    Love
    Like
    6
    3 Comments ·420 Views
  • Hata
    #Sufuria
    Ni chombo cha
    Moto
    Hata #Sufuria Ni chombo cha Moto 🔥 😅😅😅
    Haha
    Like
    4
    1 Comments ·231 Views
  • Happy Day
    Happy Day ✨
    Like
    Love
    Yay
    4
    2 Comments ·237 Views
  • :STK-20:
    Like
    Love
    4
    ·152 Views
  • DID YOU KNOW?

    There are live enzymes in honey.

    When in contact with a metal spoon, these enzymes die.

    The best way to eat honey is with wooden or plastic spoon.

    Honey contains a substance that helps your brain work better.

    Honey is one of the rare foods on earth that alone can sustain human life.

    One teaspoon of honey is enough to sustain human life for 24 hours.

    Propolis that bees produce, is one of the most powerful natural antibiotics

    Honey has no expiration date.

    The bodies of the great emperors of the world were buried in golden coffins and then covered with honey to prevent putrefaction.

    The term "honeymoon" comes from the fact that newlyweds consumed honey for fertility after the wedding.

    A bee lives less than 40 days, visits at least 1000 flowers and produces less than a teaspoon of honey in its lifetime.

    One of the first coins had a bee symbol on it.

    Deep gratitude to the humble BEE!
    DID YOU KNOW? 🐝There are live enzymes in honey. 🐝When in contact with a metal spoon, these enzymes die. 🐝The best way to eat honey is with wooden or plastic spoon. 🐝Honey contains a substance that helps your brain work better. 🐝Honey is one of the rare foods on earth that alone can sustain human life. 🐝One teaspoon of honey is enough to sustain human life for 24 hours. 🐝Propolis that bees produce, is one of the most powerful natural antibiotics 🐝Honey has no expiration date. 🐝The bodies of the great emperors of the world were buried in golden coffins and then covered with honey to prevent putrefaction. 🐝The term "honeymoon" comes from the fact that newlyweds consumed honey for fertility after the wedding. 🐝A bee lives less than 40 days, visits at least 1000 flowers and produces less than a teaspoon of honey in its lifetime. 🐝One of the first coins had a bee symbol on it. Deep gratitude to the humble BEE!🐝
    Love
    3
    1 Comments ·589 Views
  • Mr Benja
    Mr Benja 😅😅
    Lipo TU hivi
    Love
    Like
    Haha
    5
    1 Comments ·186 Views ·166 Views
  • Enjoying the new moments with
    #SocialPop
    Enjoying the new moments with #SocialPop ✨
    Like
    Love
    6
    ·312 Views
  • https://www.binance.com/en/activity/referral-entry/CPA/together-v3?ref=CPA_00EXTXWTMC

    Join Binance today
    https://www.binance.com/en/activity/referral-entry/CPA/together-v3?ref=CPA_00EXTXWTMC Join Binance today
    WWW.BINANCE.COM
    Crypto Exchange Referral Program | Binance Official
    Want to earn more Bitcoin? Join Binance using my referral link and you could get up to 0.018 BTC for free!
    Love
    Like
    4
    4 Comments ·200 Views
  • wanamke ni utukufu wa mwanaume kw babu ametoka kwenye ubavu wake. wanamke bora ni huyu hapa:

    Mwenye heshima kwa wadogo mpaka kubwa. (USAFI WA MWILI, MATENDO & OMO) o anatukana tu ovyo ovyo halafu we aenda kuoa, atakuja kutukana wazazi ko.

    Zaharibu watoto, mtoto akikosea amtukana matusi makubwa makubwa ku atakutia aibu mbele za watu.

    Anaekubali kuwa chini ya mme wake. <WELI UNAUMA)

    apa naongea hasa na wasomi.

    gombana kidogo tu atasema kila mtu mukue hamsini zake, wezi kuwa chini ya mwanaume kwa

    ingizio cha kumpanda kichwani.

    Muelewa wa elimu ya mambo ya JenyeEnzi Mungu vizuri. (MCHAMUNGU) kikosea hapa utalogwa wewe na famili Ko na wote mtakuwa chini yake.

    Muwazi na mkweli na mwenye upendo. Laonganisha familia.

    takusaidia kufahamu historia yake vizu ana kuna wengine wakisikia kuwa mke Kuwaga hivi au vile/ au ukijua kwa munguzi wako tu kuwa mkeo alipita pa na pale, ila yeye hakukuambia uma sana (ila wengi hujifanya yakale mepita ila moyoni mwao sivyo).Inauma a sababu umegundua mwenyewe ila ve hakukuambia (unaanza kujiuliza, anini hakukumbia kitu muhimu kama ho, kwanini alificha?). Ni vizuri ahamu historia ya mwenzio hata kama mbaya au inauma.

    Asiyehangaika na dunia hii kwa lolote (ULEVI,UMBEA, USENGENYAJI, STAREHE) siyependa starehe, asiyetumia kilevi apo wanawake walevi hukataa kuwa vi huvunja ndoa au mahusiano) ko hivi hata kama mwanaume ni

    uhuni na mlevi wa kutupwa, usidhani amba atachagua mtu wa aina hiyo, akupitia tu na kukuacha). fano: Unaweza kupata tom-boy (Japo vizuri kuwa tom-boy) na hawa huwa nawake waelewa sana na akija kuamu acha utom boy kwa umri fulani hapa -70% anakuwaga ni mke wa juu sana, wa wanawake ni ngumu kudanganywa hujua nini ampe mumewe na familia a ujumla, na maranyingi huwa na oyo meupe sana isiyohifadhi chuki,

    mchukiza anakwambia pohapo...wengiwao sio wasengenyaji n acha tabia zote hasa akishaanza kuwa ce. Achana na wale matom boy wahuni wavuta bhangi.

    Asiyependa matumizi ya vipodozi jichubua) wala vitu feki (kucha za Dandika na mawigi), na vitu vya kuvaa ma hereni, bangili, vikuku n.k. (NATURAL asikuletee mapepo na ibada za miung umbani, mikosi na mabalaa, hasa ajini mahaba.

    wenye quality na quantity unayoitaka

    we ya kimwili, asikulazimishe mtu ili kes e uje ujibu mwenyewe kwa Muumba ko kwa habari ya zinaa na kutowajibika wanya, lips, kiuno, miguu, shingo, abega, mgongo, hips, nywele au hata Ja.

    siye lazimisha ndoa ifanyike haraka. HAMIANENI VIZURI KWA MDA/ACHA JRUPUKAJI & UPELEKESHWAJI)

    "anawake wanaopenda ndoa, hupenda a, hupenda harusi halafu ndoa

    washinda. aepusha kuuziwa mbuzi kwenye gunia.

    sa kwa wale wasiopenda wanawake liozaa.

    siye na tamaa, asiyeyumbishwa na

    ali au anayekataa kujamiiana kabla ya α.

    uyu ana msingi mzuri wa maisha na

    milia yako ya baadae itakuwa bora, yu ndio yule hasa kifo kitawatenganish

    Wewe mwenyewe mtafutaji mke uwe kichwa kizuri.

    io upoupo tu halafu unatafuta mke, ewe kwanza, jitambue na amua. Acha uata mkumbo.

    WISHO:

    ha kudharau wanawake, nao wana oyo na haki kama wewe, usichague ality wakati wewe mwenyewe huna

    ality, utaleta shida tu duniani. Bahati uri au mbaya ni kwamba, msipopatanc

    mkeo hata ufanyeje maombi yako yatakubaliwa. Mungu huwasikia sana o watu usije ukasema kuwa mwanamk

    yu ni mikosi, kumbe mikosi umeileta we mwenyewe kwa kumuonea venzio.

    PETRO 3:7

    adhalika ninyi waume, ishini na

    ake zenu kwa kuwahurumia,

    kitambua ya kuwa wao ni aifu na hivyo muwape heshima va maana ninyi ni warithi

    moja nao wa neema ya uzima. nyeni hivyo ili sala zenu

    sizuiliwe.
    Love
    1
    2 Comments ·192 Views
  • Love
    Like
    3
    ·430 Views
  • Like
    Love
    5
    8 Comments ·232 Views ·1 Shares
More Stories