-
Hakuna maumivu mbaya zaid kama kupata mtu sahihi mda ambao sio sahihiHakuna maumivu mbaya zaid kama kupata mtu sahihi mda ambao sio sahihi 😥
-
Watu watasahau ulichosema watu watasahau ulichokifanya lakini hawatasahau jinsi ulivyowafanya wajiskieWatu watasahau ulichosema watu watasahau ulichokifanya lakini hawatasahau jinsi ulivyowafanya wajiskie
-
Wakati mwengine hawakupendi ila wanapenda jinsi unavyowapendaWakati mwengine hawakupendi ila wanapenda jinsi unavyowapenda
-
-
Hisia mbaya zaidi sio kua mpweke ni kusahauliwa na mtu ambaye huwezi kumsahauHisia mbaya zaidi sio kua mpweke ni kusahauliwa na mtu ambaye huwezi kumsahau 🤨
-
Tutafute pesa juma pili sio siku ya kufua nguoTutafute pesa juma pili sio siku ya kufua nguo 😅
More Stories