Dunia imetufunza adabu, kupitia kwa wale ambao ni favourite kwetu.
Somo la maumivu, sisi tulifundishwa na wale tuliojua wanatupenda sana..
Ili kuelewa moyo unaumaje, tulielekezwa na wale tusiowadhania hata kidogo..
Ni kama wafiwa tuliofutwa machozi, kwa kutumia kanga ya marehemu.
Huzuni zetu hazikutoka mbali, wala kilio chetu hakikusababishwa na wageni.
Ni wale wale tuliowahadithia yanayotukabili, tukijua
wana dawa ya upweke wetu..
Msiite ni ugonjwa wa kujitakia, imani yetu ilikuwa kubwa kuliko matarajio..
Msituite wabinafsi, kwa sababu tumechagua kujitibuwenyewe vidonda vyetu..
Kwenye maisha yenu mmetupoteza vibaya sana,mtuelewe..
NINJA..