-
Nguvu alizonazo binadamu yoyote ni kubwa kuliko kipimo cha uelewa wake. Ni nguvu zenye uwezo wa kuumba kitu chochote Chenye uhai Na kisicho Hai. Bahati mbaya binadamu wengi hawajui ukuu wao na namna ya kutumia katika kuishi Maisha yaliyo Bora kama Mungu.Nguvu alizonazo binadamu yoyote ni kubwa kuliko kipimo cha uelewa wake. Ni nguvu zenye uwezo wa kuumba kitu chochote Chenye uhai Na kisicho Hai. Bahati mbaya binadamu wengi hawajui ukuu wao na namna ya kutumia katika kuishi Maisha yaliyo Bora kama Mungu.0 Commenti ·0 condivisioni ·379 Views
-
-
Altre storie