@Sidetaman9
3 Posts
0 Photos
0 Videos
Lives in Tanzania
From Tanzania
Male
11/11/1999
-
Siku zote Ukitaka
Kuonekana Watofauti kabisa
Katika jamii Unayoishi ,
Anza Kujiweka tofauti na Unavyoishi.
Siku zote Ukitaka Kuonekana Watofauti kabisa Katika jamii Unayoishi , Anza Kujiweka tofauti na Unavyoishi.· 0 Comments ·0 Shares ·501 Views2
-
Ndege Aliye mtini Ni ngumu Kumshusha Chini akiwa ameshiba.
TafakariNdege Aliye mtini Ni ngumu Kumshusha Chini akiwa ameshiba. Tafakari· 0 Comments ·0 Shares ·661 Views2
-
Kile Unachokiona kinafaa kwako
Basi fanya juu chini mwenzako au ndugu yako nae aweze kufaidika na ulichonacho.
#chuki zikipunguwa maendeleo huja kama mafuriko.Kile Unachokiona kinafaa kwako Basi fanya juu chini mwenzako au ndugu yako nae aweze kufaidika na ulichonacho. #chuki zikipunguwa maendeleo huja kama mafuriko.🤗· 0 Comments ·0 Shares ·719 Views1
More Stories