

-
Kama kweli unataka wakuheshimu,
Basi inabidi uwaoneshe kuwa Unaweza Kuishi hata bila uwepo wao...
#simonkipajiKama kweli unataka wakuheshimu, Basi inabidi uwaoneshe kuwa Unaweza Kuishi hata bila uwepo wao...✍️ #simonkipaji -
Mimi naweza nikachukua picha yako nikaipost na caption ya R.I.P na usinifanye chochote....Mimi naweza nikachukua picha yako nikaipost na caption ya R.I.P na usinifanye chochote.... 😂😂🙌
-
Huyu hata nikienda naye mbinguni malaika watanionea wivu #simonkipaji
Huyu hata nikienda naye mbinguni malaika watanionea wivu 😂💔 #simonkipaji -
-
More Stories