SOCIAL POP NETWORK

2
2K

Socialpop ni nini?

Huu ni mtandao wa kijamii ambao unawakutanisha watu kutoka sehemu mbali mbali kwa kubadilishana mawazo na Kujuana zaidi.

FAIDA ZA SOCIALPOP

Zipo faida nyingi za Socialpop

•Kupata point kwenye maudhui au shughuli unazozifanya kwenye mtandao huu, Kupost, Ku like na Ku comment  lakini pia ku view maudhui ya watu wengine unajitengenezea Pointi ambazo unaweza kuzibadilisha Kua Pesa. Vipo viwango vya Mtu kutoa Pesa ikiwa ni pale utakapofikisha Tsh 270,000 sawa na $100 lakini pia Unahitaji kua na Package yoyote ndipo utakapo fanikiwa kutoa Pesa.

•Kutazama na kusoma maudhui mbali mbali ya kihisia, furaha au huzuni yanayochapiswa na watumiaji wa Socialpop .

•Kuweza ku Uza maudhui yako, ukiwa pro member unaweza ku monetize maudhui yako kwa kuweka watu walipie ili kuyatazama na kusoma(paid post) ambapo itakusaidia wewe kujikusanyia pesa na unaweza kuzitoa.

FEATURES ZINAZOPATIKANA

Mtandao wetu ni wa kipekee ukiwa na uundo tofauti ambao umewavutiaji watumiaji wengi kukiwa na Features lukuki kama vile, Video, reels, marketplace, blog, muvies, funding, pokes na mengine mengi ambayo unayapata hapa.

Haya ni machache kati ya mengi yaliyopo humu nadhani kupitia haya utakua na mwanga wa kuifahamu Socialpop

 

Iwapo unamengi ya kutuuliza tafadhali usisite kutuandikia kwenye Barua pepe [email protected]

Like
Love
7
Site içinde arama yapın
Kategoriler
Read More
Oyunlar
Nachtblume in Genshin Impact – Fundorte & Tipps
Nachtblume in Genshin Impact In Genshin Impact ist die Nachtblume eine seltene Pflanze, die vor...
By Xtameem Xtameem 2025-11-25 08:40:42 0 251
Oyunlar
Family Film & TV Awards 2024 – Nominees & Highlights
The Family Film & TV Awards spotlight entertainment that unites generations, with Julie Chen...
By Xtameem Xtameem 2025-12-01 01:15:08 0 214
Oyunlar
Regal vs. Studios: Trailers Cut in VOD Dispute
Regal Cinemas is making a bold move against major studios. The chain is cutting back on trailer...
By Xtameem Xtameem 2025-12-30 01:19:12 0 56