Klabu ya Kaizer Chiefs inayoshiriki ligi kuu nchini Afrika Kusini wametuma ofa kwa klabu ya Yanga wakihitaji huduma ya kipa namba moja raia wa Mali Djingui Diarra.
Yanga ipo tayari kumuuza kipa huyo na endapo Kaizer watafikia kiasi ambacho Yanga wanakihitaji basi mabingwa hao mara tatu mfululizo wataenda kumchukua Ley Matampi wa Coastal Union kama mbadala Diarra ambaye wanalingana katika clean sheet za ligi kuu bara.
#Sports view