Upgrade to Pro

  • Like
    Love
    Haha
    Wow
    6
    2 Comments ·234 Views
  • SIMBA WALIMFUNGIA MENEJA WA UWANJA KWENYE UWANJA ANAOUSIMAMIA
    SIMBA WALIMFUNGIA MENEJA WA UWANJA KWENYE UWANJA ANAOUSIMAMIA
    Love
    Like
    4
    ·247 Views ·111 Views
  • Love
    1
    ·2 Views
  • Alhamdulillah
    Alhamdulillah
    Love
    1
    1 Comments ·44 Views
  • Like
    2
    ·7 Views
  • KUSEMA KWELI UZI WA YANGA MKALI SANA DAH
    KUSEMA KWELI UZI WA YANGA MKALI SANA DAH 💚💛
    Like
    Love
    2
    ·19 Views
  • ·2 Views
  • .FAO LA WARITHI
    (Kwa sheria mpya PSSSF, 2018).

    Endapo mstaafu atafariki na akiwa anapata pension ya kila mwezi, wategemezi (warithi) wake watalipwa kiasi alichokuwa analipwa kila mwezi kwa mkupuo (lumpsum) mara 36 kif. 39(I) PSSSF 2018.

    -------- Endapo mtumishi alifariki akiwa kwenye utumishi na amechangia michango yake kwenye mfuko kwa miezi 180 au zaid, warithi wake watalipwa mkupuo na pension ya kila mwezi kama ifuatavyo :-

    (I) watoto ambao hawasomi watalipwa malipo ya mkupuo na yale ya kila mwezi mpaka watakapofikisha miaka 18.

    (Ii) Watoto wanaosoma watalipwa malipo ya mkupuo na ya kila mwezi mpaka watakapofikisha miaka 21.

    (iii). Mjane/ Mgane atalipwa malipo malipo ya mkupuo na atalipwa mafao ya kila mwezi mpaka pale atakapofariki dunia.

    ...Mtumishi aliyefariki na ambaye amechangia michango yake kwenye mfuko wa PSSSF kwa miezi chini ya 180 warithi wake watalipwa malipo ya mkupuo tu, Hawatalipwa malipo ya kila mwezi.

    ....*Pia mtumishi anapofariki kuna kiwango cha fedha ambacho hutolewa na benki kama pole kwa mwanachama wao hivyo msimamizi wa mirathi anapaswa kuandika barua katika benki ambayo marehem alikuwa anapokea mshahara wake ili aweze kupatiwa fedha hiyo. ( CRDB, NMB, NBC, TCB, BOA, ZPB).

    # Utaratibu ni kuomba msimamizi wa mirathi kuomba ndani ya miezi sita ( 6). Muda huo ukipita pole hiyo haitatolewa tena.
    .FAO LA WARITHI (Kwa sheria mpya PSSSF, 2018). Endapo mstaafu atafariki na akiwa anapata pension ya kila mwezi, wategemezi (warithi) wake watalipwa kiasi alichokuwa analipwa kila mwezi kwa mkupuo (lumpsum) mara 36 kif. 39(I) PSSSF 2018. -------- Endapo mtumishi alifariki akiwa kwenye utumishi na amechangia michango yake kwenye mfuko kwa miezi 180 au zaid, warithi wake watalipwa mkupuo na pension ya kila mwezi kama ifuatavyo :- (I) watoto ambao hawasomi watalipwa malipo ya mkupuo na yale ya kila mwezi mpaka watakapofikisha miaka 18. (Ii) Watoto wanaosoma watalipwa malipo ya mkupuo na ya kila mwezi mpaka watakapofikisha miaka 21. (iii). Mjane/ Mgane atalipwa malipo malipo ya mkupuo na atalipwa mafao ya kila mwezi mpaka pale atakapofariki dunia. ...Mtumishi aliyefariki na ambaye amechangia michango yake kwenye mfuko wa PSSSF kwa miezi chini ya 180 warithi wake watalipwa malipo ya mkupuo tu, Hawatalipwa malipo ya kila mwezi. ....*Pia mtumishi anapofariki kuna kiwango cha fedha ambacho hutolewa na benki kama pole kwa mwanachama wao hivyo msimamizi wa mirathi anapaswa kuandika barua katika benki ambayo marehem alikuwa anapokea mshahara wake ili aweze kupatiwa fedha hiyo. ( CRDB, NMB, NBC, TCB, BOA, ZPB). # Utaratibu ni kuomba msimamizi wa mirathi kuomba ndani ya miezi sita ( 6). Muda huo ukipita pole hiyo haitatolewa tena.
    Like
    Love
    3
    ·253 Views
  • ADUI MBAYA ZAIDI NI YULE ALIYE KARIBU NAWE (RAFIKI ASIYE MWAMINIFU)
    ADUI MBAYA ZAIDI NI YULE ALIYE KARIBU NAWE (RAFIKI ASIYE MWAMINIFU)
    Love
    Like
    5
    1 Comments ·251 Views
  • USIMWAMINI KILA MTU. WENGINE HAWAPENDI KUKUONA JINSI ULIVYO.
    USIMWAMINI KILA MTU. WENGINE HAWAPENDI KUKUONA JINSI ULIVYO.
    Love
    Like
    5
    ·250 Views