2 Yorumlar
·244 Views
Rehber
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
.FAO LA WARITHI
(Kwa sheria mpya PSSSF, 2018).
Endapo mstaafu atafariki na akiwa anapata pension ya kila mwezi, wategemezi (warithi) wake watalipwa kiasi alichokuwa analipwa kila mwezi kwa mkupuo (lumpsum) mara 36 kif. 39(I) PSSSF 2018.
-------- Endapo mtumishi alifariki akiwa kwenye utumishi na amechangia michango yake kwenye mfuko kwa miezi 180 au zaid, warithi wake watalipwa mkupuo na pension ya kila mwezi kama ifuatavyo :-
(I) watoto ambao hawasomi watalipwa malipo ya mkupuo na yale ya kila mwezi mpaka watakapofikisha miaka 18.
(Ii) Watoto wanaosoma watalipwa malipo ya mkupuo na ya kila mwezi mpaka watakapofikisha miaka 21.
(iii). Mjane/ Mgane atalipwa malipo malipo ya mkupuo na atalipwa mafao ya kila mwezi mpaka pale atakapofariki dunia.
...Mtumishi aliyefariki na ambaye amechangia michango yake kwenye mfuko wa PSSSF kwa miezi chini ya 180 warithi wake watalipwa malipo ya mkupuo tu, Hawatalipwa malipo ya kila mwezi.
....*Pia mtumishi anapofariki kuna kiwango cha fedha ambacho hutolewa na benki kama pole kwa mwanachama wao hivyo msimamizi wa mirathi anapaswa kuandika barua katika benki ambayo marehem alikuwa anapokea mshahara wake ili aweze kupatiwa fedha hiyo. ( CRDB, NMB, NBC, TCB, BOA, ZPB).
# Utaratibu ni kuomba msimamizi wa mirathi kuomba ndani ya miezi sita ( 6). Muda huo ukipita pole hiyo haitatolewa tena..FAO LA WARITHI (Kwa sheria mpya PSSSF, 2018). Endapo mstaafu atafariki na akiwa anapata pension ya kila mwezi, wategemezi (warithi) wake watalipwa kiasi alichokuwa analipwa kila mwezi kwa mkupuo (lumpsum) mara 36 kif. 39(I) PSSSF 2018. -------- Endapo mtumishi alifariki akiwa kwenye utumishi na amechangia michango yake kwenye mfuko kwa miezi 180 au zaid, warithi wake watalipwa mkupuo na pension ya kila mwezi kama ifuatavyo :- (I) watoto ambao hawasomi watalipwa malipo ya mkupuo na yale ya kila mwezi mpaka watakapofikisha miaka 18. (Ii) Watoto wanaosoma watalipwa malipo ya mkupuo na ya kila mwezi mpaka watakapofikisha miaka 21. (iii). Mjane/ Mgane atalipwa malipo malipo ya mkupuo na atalipwa mafao ya kila mwezi mpaka pale atakapofariki dunia. ...Mtumishi aliyefariki na ambaye amechangia michango yake kwenye mfuko wa PSSSF kwa miezi chini ya 180 warithi wake watalipwa malipo ya mkupuo tu, Hawatalipwa malipo ya kila mwezi. ....*Pia mtumishi anapofariki kuna kiwango cha fedha ambacho hutolewa na benki kama pole kwa mwanachama wao hivyo msimamizi wa mirathi anapaswa kuandika barua katika benki ambayo marehem alikuwa anapokea mshahara wake ili aweze kupatiwa fedha hiyo. ( CRDB, NMB, NBC, TCB, BOA, ZPB). # Utaratibu ni kuomba msimamizi wa mirathi kuomba ndani ya miezi sita ( 6). Muda huo ukipita pole hiyo haitatolewa tena.·263 Views