·6 Vue
Annuaire
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
Kutana na mme mkorofi na mke mkorofi angalia matokeo siku moja mke aliandika latiba kwa mume wake na kuibandaka chumbani kwao ratiba hiyo ilisomeka kama ifwatavyo-;
RATIBA YA KUKUPA;
Jumatatu-sikupi
JUMANNE-sikupi
JUMATANO-nakupa
ARHAMIS-sikupi
IJUMAA-sikupi
JUMAMOSI-sikupi
JUMAPILI-nakupa
Sihitaji usumbufu siku ambazo sikupi
MUME KUONA HIYO RATIBA NAE akaandika yake iliyo someka hivi:-
RATIBA YA KULALA NJE:
J'3-nje
J'4-nje
J'5-naumwa
Alhamis-nje
Ijumaa-nje
Jumamosi-nje
Jumapili-naumwa
Ww si unajifanya nunda, siku nitakazo umwasitaki usumbufu.
NANI MKALI ZAIDI?Kutana na mme mkorofi na mke mkorofi angalia matokeo siku moja mke aliandika latiba kwa mume wake na kuibandaka chumbani kwao ratiba hiyo ilisomeka kama ifwatavyo-; RATIBA YA KUKUPA; Jumatatu-sikupi JUMANNE-sikupi JUMATANO-nakupa ARHAMIS-sikupi IJUMAA-sikupi JUMAMOSI-sikupi JUMAPILI-nakupa Sihitaji usumbufu siku ambazo sikupi MUME KUONA HIYO RATIBA NAE akaandika yake iliyo someka hivi:- RATIBA YA KULALA NJE: J'3-nje J'4-nje J'5-naumwa Alhamis-nje Ijumaa-nje Jumamosi-nje Jumapili-naumwa Ww si unajifanya nunda, siku nitakazo umwasitaki usumbufu. NANI MKALI ZAIDI?😂😂😂😂·17 Vue -
GOOOOOOOOOOOOOAL DK26 Ahoua ⚽️ SIMBA SC 1️⃣🆚️0️⃣ BRAVOS #paulswai1 Commentaires ·45 Vue
-
Mapumziko. TotalEnergiesCAFCC #paulswai1 Commentaires ·45 Vue
-
MWALIMU NA MWANAFUNZI.
Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la nne kwani hili la3 halinifai.
Mwalimu: Kwa nini unasema hivyo?
Mtoto: Nina akili…
Basi mwalimu akamueleza mkuu wa shule na mkuu kaitisha interview kwa dogo. Maswali ni haya….
Mwalimu: Kwenye ndege kuna matofali 20 tukitoa moja tukalidondosha chini yatabaki mangapi?
Dogo: Yatabaki 19.
Mwalimu: Nipe hatua za kumuweka tembo kwenye friji.
Dogo: Unafungua friji unamuweka tembo kisha unafunga.
Mwalimu: Nipe hatua za kumuweka nyani kwenye friji.
Dogo: Unafungua friji unamtoa tembo ulemuweka..unamueka nyani kisha unafunga friji.
Mwalimu: Kuna sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa simba, wanyama wote wameenda kasoro mmoja. Ni nani na kwa nini?
Dogo: Ni nyani kwa sababu tumemuweka kwenye friji.
Mwalimu: Bibi kizee amevuka mto unaokuwaga na mamba na viboko wakali, aliwezaje?
Dogo: Aliweza kwani mamba na viboko nao walienda kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa simba.
Mwalimu: Ingawa bibi kizee alivuka mto, baadae alikufa. Unadhani ni kwanini alikufa?
Dogo: Alidondokewa na lile tofali tulotoa kwenye ndege na kutupa chini.
Mwalimu mkuu: Huyu dogo akasome chuo kikuu….
NIMEAMUA KUONDOKA NAE ATANIFAHA SANA
MWALIMU NA MWANAFUNZI. Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la nne kwani hili la3 halinifai. Mwalimu: Kwa nini unasema hivyo? Mtoto: Nina akili… Basi mwalimu akamueleza mkuu wa shule na mkuu kaitisha interview kwa dogo. Maswali ni haya…. Mwalimu: Kwenye ndege kuna matofali 20 tukitoa moja tukalidondosha chini yatabaki mangapi? Dogo: Yatabaki 19. Mwalimu: Nipe hatua za kumuweka tembo kwenye friji. Dogo: Unafungua friji unamuweka tembo kisha unafunga. Mwalimu: Nipe hatua za kumuweka nyani kwenye friji. Dogo: Unafungua friji unamtoa tembo ulemuweka..unamueka nyani kisha unafunga friji. Mwalimu: Kuna sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa simba, wanyama wote wameenda kasoro mmoja. Ni nani na kwa nini? Dogo: Ni nyani kwa sababu tumemuweka kwenye friji. Mwalimu: Bibi kizee amevuka mto unaokuwaga na mamba na viboko wakali, aliwezaje? Dogo: Aliweza kwani mamba na viboko nao walienda kwenye sherehe ya kuzaliwa kwa simba. Mwalimu: Ingawa bibi kizee alivuka mto, baadae alikufa. Unadhani ni kwanini alikufa? Dogo: Alidondokewa na lile tofali tulotoa kwenye ndege na kutupa chini. Mwalimu mkuu: Huyu dogo akasome chuo kikuu…. 😆😆😆😆😆😆😆😆 😁😁😁😂😂😂NIMEAMUA KUONDOKA NAE ATANIFAHA SANA·19 Vue -
Nimeamka alfajiri leo nikafanye jogging kidogo. Nikakumbuka maandiko ya biblia
Mithali 28:1
Muovu Hukimbia Hata Asipokimbizwa.
Nikaamua Kurudi Kulala Uvivu Utaniua Siku Moja.
Nimeamka alfajiri leo nikafanye jogging kidogo. Nikakumbuka maandiko ya biblia 📔 Mithali 28:1 Muovu Hukimbia Hata Asipokimbizwa. 😬 Nikaamua Kurudi Kulala Uvivu Utaniua Siku Moja. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂·35 Vue -
Moussa Camara anadaka mkwaju wa penati na kuifanya Simba sc iendelee kuongoza kwa bao moja dhidi ya Bravo.
Moussa Camara anaonyesha kwanini Simba sc wanaendelea kumuamini kwenye nafasi yake.
#paulswaiMoussa Camara anadaka mkwaju wa penati na kuifanya Simba sc iendelee kuongoza kwa bao moja dhidi ya Bravo. Moussa Camara anaonyesha kwanini Simba sc wanaendelea kumuamini kwenye nafasi yake. #paulswai1 Commentaires ·43 Vue