Upgrade to Pro

  • Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10).

    19
    ⚽️ 20
    10
    Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10). 🏟️ 19 ⚽️ 20 🎯 10
    Like
    2
    ·104 Views
  • Maua sama✍
    Maua sama✍
    ·22 Views
  • ·22 Views
  • Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10).

    19
    ⚽️ 20
    10

    Lionel Messi amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Ligi Kuu ya Marekani 2024 baada ya kucheza michezo 19 msimu huu na kufanikiwa kufunga mabao 20 huku akitoa Pasi saidizi za mabao (assist) kumi (10). 🏟️ 19 ⚽️ 20 🎯 10
    ·95 Views
  • Kila siku mpya uwanjani inatupa nafasi wachezaji ya kujifunza kitu kipya, mechi mbili zilizopita, ya Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu zimetupa funzo na kesho tutakwenda kupambana ili tupate matokeo mazuri - Aziz KI, Mchezaji wa klabu ya Yanga SC.

    Kila siku mpya uwanjani inatupa nafasi wachezaji ya kujifunza kitu kipya, mechi mbili zilizopita, ya Ligi ya Mabingwa na Ligi Kuu zimetupa funzo na kesho tutakwenda kupambana ili tupate matokeo mazuri - Aziz KI, Mchezaji wa klabu ya Yanga SC.
    ·79 Views
  • Klabu ya YANGA SC imemtambulidha Adnan Behlulovic' raia wa Bosnia kuwa kocha wa viungo ambaye anaungana na Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili wa wachezaji wa klabu hiyo
    Klabu ya YANGA SC imemtambulidha Adnan Behlulovic' raia wa Bosnia kuwa kocha wa viungo ambaye anaungana na Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili wa wachezaji wa klabu hiyo
    Like
    1
    ·16 Views
  • TUNALALA BILA UKAKIKA WA KUISHI KESHO LAKINI BADO TUNAWEKA ALARM YA KUTUAMSHA ASUBUHI HAYA NI MATUMAINI MAKUBWA SANA MUNGU AENDELEE KUTUPIGANIA.
    TUNALALA BILA UKAKIKA WA KUISHI KESHO LAKINI BADO TUNAWEKA ALARM YA KUTUAMSHA ASUBUHI HAYA NI MATUMAINI MAKUBWA SANA MUNGU AENDELEE KUTUPIGANIA.
    Like
    1
    ·32 Views
  • Karibu Young Africans SC Fitness Coach Adnan Behlulović💪🏽

    Adnan Behlulović anaungana na Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili kwa wachezaji wetu.

    Habari zaidi inapatikana Yanga SC APP

    #TimuYaWananchi
    #DaimaMbeleNyumaMwiko
    Karibu Young Africans SC Fitness Coach Adnan Behlulović🔰💪🏽 Adnan Behlulović anaungana na Taibi Lagrouni kuongeza nguvu kwenye idara ya utimamu wa mwili kwa wachezaji wetu. Habari zaidi inapatikana Yanga SC APP📲 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
    Like
    3
    ·217 Views
  • Hussein Abel ameanza mazoezi na wachezaji wenzake kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine utakaopigwa Jumapili hapa Algeria.

    #paulswai
    Hussein Abel ameanza mazoezi na wachezaji wenzake kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine utakaopigwa Jumapili hapa Algeria. #paulswai
    ·94 Views
  • CAMARA
    ABEL
    SALIM

    #paulswai
    🧤 CAMARA 🧤 🧤 ABEL 🧤 🧤 SALIM 🧤 #paulswai
    ·98 Views