·34 Views
Directory
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
-
....|| AFISA NISHATI NA MAWASILIANO KUTUA JANGWANI
Anaitwa Micky Harvey Ossété,Raia wa Congo-Brazzavile,huyu ni kiungo Mkabaji tegemezi katika kikosi cha Saint Eloi Lupopo ya Kinshasa Congo ,huyu mwamba anakaba mpaka Mawimbi ya sauti za Mashabiki,anajua pia kufunga na kuanziasha Mashambulizi,ndiyo kiungo Shoka pale Congo Brazzaville Katika michuano yote ya kimataifa yaliyohusisha timu za Taifa kwa asilimia zaidi ya 85 ametumikakatika kikosi cha timu ya Taifa ya Congo Brazzaville ,pia Saint Eloi Lupopo imemtumia sana katika kusaka tiketi ya kufuzu hatua za Makundi CAF Confederation Cup
hata hivyo vilabu kadhaa Africa kusini vipo kwenye vita Kali kupata Saini yake
ikiwa Yanga tutampata huyu mwamba basi tatizo la Mawasiliano na miundombinu uwanjani basi litakuwa limetibika
Ossété yupo tayari kujiunga na Yanga ,japo kwa upande wetu yanga bado halijawekwa wazi.
Kama uhamisho wake ukikamilika basi defensive Midfielders watakuwa hawa
1.Duke Abuya(on loan)
2.Khalid Aucho
3.Micky Harvey Ossété
5.Aziz Andambwile
Je wewe unampa nafasi nani hasa???.🚨...|| AFISA NISHATI NA MAWASILIANO KUTUA JANGWANI🔰 ➡️ Anaitwa Micky Harvey Ossété,Raia wa Congo-Brazzavile🇨🇬,huyu ni kiungo Mkabaji tegemezi katika kikosi cha Saint Eloi Lupopo ya Kinshasa Congo 🇨🇩,huyu mwamba anakaba mpaka Mawimbi ya sauti za Mashabiki,anajua pia kufunga na kuanziasha Mashambulizi,ndiyo kiungo Shoka pale Congo Brazzaville 🇨🇬 Katika michuano yote ya kimataifa yaliyohusisha timu za Taifa kwa asilimia zaidi ya 85 ametumikakatika kikosi cha timu ya Taifa ya Congo Brazzaville 🇨🇬,pia Saint Eloi Lupopo imemtumia sana katika kusaka tiketi ya kufuzu hatua za Makundi CAF Confederation Cup ✨ hata hivyo vilabu kadhaa Africa kusini 🇿🇦 vipo kwenye vita Kali kupata Saini yake ikiwa Yanga tutampata huyu mwamba basi tatizo la Mawasiliano na miundombinu uwanjani basi litakuwa limetibika ➡️ Ossété yupo tayari kujiunga na Yanga 🔰,japo kwa upande wetu yanga bado halijawekwa wazi. Kama uhamisho wake ukikamilika basi defensive Midfielders watakuwa hawa ⤵️ 1.Duke Abuya(on loan)🇰🇪 2.Khalid Aucho🇺🇬 3.Micky Harvey Ossété 🇨🇬 5.Aziz Andambwile 🇹🇿 Je wewe unampa nafasi nani hasa???·297 Views -
https://youtu.be/xmuNa80dl1c?si=Nnej_q3SYe453SDv
KAZI YETU MPYA TUKIWA TUMEMSHILIKISHA STEVE MWEUSI
TAFADHAL KAITIZAME PIA USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL YETUhttps://youtu.be/xmuNa80dl1c?si=Nnej_q3SYe453SDv ☝️☝️☝️ KAZI YETU MPYA TUKIWA TUMEMSHILIKISHA STEVE MWEUSI TAFADHAL KAITIZAME PIA USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU·65 Views