·54 Views
Directory
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
Taarifa kutoka Nchini Misri zinadai kuwa klabu ya Al Ahly SC ya Misri ina mpango kumsajili Cristiano Ronaldo kwa mkataba wa mkopo wa miezi sita (6) kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Dunia la Vilabu pekee ambayo inatarajiwa kuchezwa Nchini Marekani.
Khaled Mortagy ambaye ni Mweka hazina wa klabu ya Al Ahly akiwa katika Runinga ya klabu hiyo Al Ahly TV usiku wa kuamkia leo, amesema kuwa hakuna kikomo cha kifedha kwa kumsajili Mchezaji yeyote kwenye klabu yao ya Al Ahly.
Mweka hazina huyo amesasema kuwa Mchezaji yeyote anatakiwa na Kocha wao Marcel Koller watampatia. Mortagy ana matumaini makubwa ya kumsajili Cristiano Ronaldo kabla ya michuano ya Kombe la Dunia la Vilabu huku akimalizia kwa kusema kuwa inaweza kuwa vigumu lakini uamuzi uko mikononi mwa Rais klabu yao Mahmoud El Khatib kwa kuwa lipo linashughulikiwa.
Taarifa kutoka Nchini Misri zinadai kuwa klabu ya Al Ahly SC ya Misri ina mpango kumsajili Cristiano Ronaldo kwa mkataba wa mkopo wa miezi sita (6) kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Dunia la Vilabu pekee ambayo inatarajiwa kuchezwa Nchini Marekani. Khaled Mortagy ambaye ni Mweka hazina wa klabu ya Al Ahly akiwa katika Runinga ya klabu hiyo Al Ahly TV usiku wa kuamkia leo, amesema kuwa hakuna kikomo cha kifedha kwa kumsajili Mchezaji yeyote kwenye klabu yao ya Al Ahly. Mweka hazina huyo amesasema kuwa Mchezaji yeyote anatakiwa na Kocha wao Marcel Koller watampatia. Mortagy ana matumaini makubwa ya kumsajili Cristiano Ronaldo kabla ya michuano ya Kombe la Dunia la Vilabu huku akimalizia kwa kusema kuwa inaweza kuwa vigumu lakini uamuzi uko mikononi mwa Rais klabu yao Mahmoud El Khatib kwa kuwa lipo linashughulikiwa.·114 Views