• Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·147 Ansichten
  • Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·153 Ansichten
  • Taarifa kutoka Nchini Misri zinadai kuwa klabu ya Al Ahly SC ya Misri ina mpango kumsajili Cristiano Ronaldo kwa mkataba wa mkopo wa miezi sita (6) kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Dunia la Vilabu pekee ambayo inatarajiwa kuchezwa Nchini Marekani.

    Khaled Mortagy ambaye ni Mweka hazina wa klabu ya Al Ahly akiwa katika Runinga ya klabu hiyo Al Ahly TV usiku wa kuamkia leo, amesema kuwa hakuna kikomo cha kifedha kwa kumsajili Mchezaji yeyote kwenye klabu yao ya Al Ahly.

    Mweka hazina huyo amesasema kuwa Mchezaji yeyote anatakiwa na Kocha wao Marcel Koller watampatia. Mortagy ana matumaini makubwa ya kumsajili Cristiano Ronaldo kabla ya michuano ya Kombe la Dunia la Vilabu huku akimalizia kwa kusema kuwa inaweza kuwa vigumu lakini uamuzi uko mikononi mwa Rais klabu yao Mahmoud El Khatib kwa kuwa lipo linashughulikiwa.

    Taarifa kutoka Nchini Misri zinadai kuwa klabu ya Al Ahly SC ya Misri ina mpango kumsajili Cristiano Ronaldo kwa mkataba wa mkopo wa miezi sita (6) kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Dunia la Vilabu pekee ambayo inatarajiwa kuchezwa Nchini Marekani. Khaled Mortagy ambaye ni Mweka hazina wa klabu ya Al Ahly akiwa katika Runinga ya klabu hiyo Al Ahly TV usiku wa kuamkia leo, amesema kuwa hakuna kikomo cha kifedha kwa kumsajili Mchezaji yeyote kwenye klabu yao ya Al Ahly. Mweka hazina huyo amesasema kuwa Mchezaji yeyote anatakiwa na Kocha wao Marcel Koller watampatia. Mortagy ana matumaini makubwa ya kumsajili Cristiano Ronaldo kabla ya michuano ya Kombe la Dunia la Vilabu huku akimalizia kwa kusema kuwa inaweza kuwa vigumu lakini uamuzi uko mikononi mwa Rais klabu yao Mahmoud El Khatib kwa kuwa lipo linashughulikiwa.
    0 Kommentare ·0 Anteile ·283 Ansichten
  • 0 Kommentare ·0 Anteile ·379 Ansichten
  • Love
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·249 Ansichten
  • KILA JAMBO LINAWAKATI WAKE MOSTLY PRAY TO GOD FOR EVERY THING
    KILA JAMBO LINAWAKATI WAKE MOSTLY PRAY TO GOD FOR EVERY THING🙏
    Like
    Love
    3
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·493 Ansichten
  • Like
    1
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·334 Ansichten
  • Like
    Love
    4
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·259 Ansichten ·72
  • 0 Kommentare ·0 Anteile ·344 Ansichten
  • "Maisha ni barabara moja kubwa yenye alama nyingi, kwa hivyo unapopita kwenye njia, usichanganye akili yako. kimbia chuki, ufisadi na wivu. Usizike mawazo yako. Weka maono yako kuwa kweli. Amka na uishi.” "Usipate ulimwengu na kupoteza roho yako, hekima ni bora kuliko fedha au dhahabu." "Pesa ni nambari na nambari haziisha, ikiwa itachukua pesa kwako kuwa na furaha, basi utaftaji wako wa furaha hautaisha."
    "Huwezi kujua jinsi ulivyo na nguvu hadi kuwa na nguvu ni chaguo lako pekee." ~ Muziki ni maisha,Ikiwa siku itakuja ambapo muziki utaacha kucheza, sitaki kuwa karibu maana naneno yanaposhindwa kunguzumza muziki huzungumza.

    "Alisema muungwana mmoja"
    "Maisha ni barabara moja kubwa yenye alama nyingi, kwa hivyo unapopita kwenye njia, usichanganye akili yako. kimbia chuki, ufisadi na wivu. Usizike mawazo yako. Weka maono yako kuwa kweli. Amka na uishi.” "Usipate ulimwengu na kupoteza roho yako, hekima ni bora kuliko fedha au dhahabu." "Pesa ni nambari na nambari haziisha, ikiwa itachukua pesa kwako kuwa na furaha, basi utaftaji wako wa furaha hautaisha." "Huwezi kujua jinsi ulivyo na nguvu hadi kuwa na nguvu ni chaguo lako pekee." ~ Muziki ni maisha,Ikiwa siku itakuja ambapo muziki utaacha kucheza, sitaki kuwa karibu maana naneno yanaposhindwa kunguzumza muziki huzungumza. "Alisema muungwana mmoja"
    Love
    Like
    3
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·834 Ansichten