Αναζήτηση αποτελεσμάτων
Δες όλα τα αποτελέσματα
Socialpop Socialpop Socialpop
Κεντρική Σελίδα
Ομάδες
Σελίδες
Marketplace
δες περισσότερα..
Ομάδες Σελίδες Marketplace Events Blogs Χρηματοδότηση Προσφορές Εργασίες Courses Forum Ταινίες
Γίνε Μέλος
Σύνδεση Εγγραφή
Theme Switcher
Night Mode
Κατάλογος
Χρήστες
Δημοσιεύσεις
Σελίδες
Ομάδες
Events
  • Papillon Tz @PapillonTz9 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-12 18:42:52 ·
    Ni rasmi sasa, Kombe la Dunia la mwaka 2030 itafanyika Nchini Uhispania, Ureno na Morocco.
    Ni rasmi sasa, Kombe la Dunia la mwaka 2030 itafanyika Nchini Uhispania, Ureno na Morocco.
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·170 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • ECHO NOVEMBER @Bonge1
    2024-12-12 19:45:07 ·
    Fanya kazi kwa moyo, kama umechagua maisha kujitoa na kusaidia watu basi jitoe kwa moyo bila manung’uniko yoyote yale. Usiangalie malipo na kuwa hela mbele kuliko utu. Saidia watu kwa kile Mungu alichokujalia kama wewe ni mwalimu wafundishe watu, kama wewe ni mwanamziki imba nyimbo nzuri za kuelimisha na kuburudisha watu hata kama watu hawakupi shukrani. Wewe kama ni mwandishi andika watu wajifunze kile unachojua kwa kufanya hivi utakua umeikomboa dunia.

    Love
    Like
    3
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·309 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • NELIUD COSIAH @nelly2020 ενημερώθηκε η φωτογραφία εξώφυλλου
    2024-12-12 19:56:42 ·
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·203 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • David Davoo @Davoox πρόσθεσε μια φωτογραφία & είναι Ταξιδεύω Kenya
    2024-12-12 20:30:10 ·
    Wananchi na Kikosi cha Serengeti Boys kilichoshiriki AFCON U17 nchini Gabon David Atto #socialpop
    Wananchi 🔰 na Kikosi cha Serengeti Boys kilichoshiriki AFCON U17 nchini Gabon 🇬🇦 [Mefa] #socialpop
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·607 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • David Davoo @Davoox πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-12 20:33:09 ·
    Kiungo wa kimataifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Maxi Mpia Nzengeli (24) amekubali kusaini mkataba mpya na Klabu ya Young Africans ambao utandelea kumweka Klabuni hapo.

    Bado haijafahamika amesaini ama ameongeza mkataba wa muda ghani endelea kuwa nami @nestoshayo nieendelee kukujuza kuhusu dili hili. #socialpop David Atto
    Kiungo wa kimataifa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Maxi Mpia Nzengeli (24) amekubali kusaini mkataba mpya na Klabu ya Young Africans ambao utandelea kumweka Klabuni hapo. Bado haijafahamika amesaini ama ameongeza mkataba wa muda ghani endelea kuwa nami @nestoshayo nieendelee kukujuza kuhusu dili hili. #socialpop [Mefa]
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·465 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • David Davoo @Davoox πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-12 20:38:16 ·
    " Dogo janja Alikuwa anatafuta kiki Muda mrefu sana na Kaamua kuharibu Show ili amateur Trending. " Amesema #Diamond

    Diamond Ameongea kwa uchungu sana kuhusiana na Alichofanyiwa ... Video yake Tayari ipo kwenye Comment .!

    #socialpop
    #trending
    David Atto
    " Dogo janja Alikuwa anatafuta kiki Muda mrefu sana na Kaamua kuharibu Show ili amateur Trending. " Amesema #Diamond Diamond Ameongea kwa uchungu sana kuhusiana na Alichofanyiwa ... Video yake Tayari ipo kwenye Comment .! #socialpop #trending [Mefa]
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·1χλμ. Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • David Davoo @Davoox πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-12 20:40:32 ·
    Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesema Kombe la Dunia kwa mwaka 2030 litaandaliiwa na Mataifa matatu ambayo ni Ureno, Hispania na Morocco ambayo yaliwasilisha ombi la kuandaa michuano hiyo kwa pamoja.

    Pamoja na kwamba Mataifa hayo matatu yamechaguliwa kuandaa Kombe la Dunia mwaka 2030, imeelezwa kuwa mechi tatu za kombe hilo zitafanyika katika Nchi tatu za Amerika Kusini ambazo ni Argentina, Paraguay na Uruguay ikiwa ni katika mpango wa kuadhimisha miaka 100 ya mashindano hayo. #socialpop David Atto
    Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limesema Kombe la Dunia kwa mwaka 2030 litaandaliiwa na Mataifa matatu ambayo ni Ureno, Hispania na Morocco ambayo yaliwasilisha ombi la kuandaa michuano hiyo kwa pamoja. Pamoja na kwamba Mataifa hayo matatu yamechaguliwa kuandaa Kombe la Dunia mwaka 2030, imeelezwa kuwa mechi tatu za kombe hilo zitafanyika katika Nchi tatu za Amerika Kusini ambazo ni Argentina, Paraguay na Uruguay ikiwa ni katika mpango wa kuadhimisha miaka 100 ya mashindano hayo. #socialpop [Mefa]
    Like
    Love
    3
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·661 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • David Davoo @Davoox πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-12 20:44:51 ·
    Timu ya soka ya Wavulana ya Tanzania na timu ya wasichana ya Uganda zimeibuka washindi wa mashindano hayo ya kufuzu kwa ukanda wa CECAFA yaliyofikia kilele leo nchini Uganda.

    Timu ya wavulana ya Tanzania, ikiongozwa na mchezaji wa zamani wa kimataifa Boniface Pawasa, iliifunga Rwanda 2-0 kwenye mechi ya mwisho kuamua mshindi, na kumaliza mbele ya Uganda kwa tofauti ya mabao, ingawa zote zilipata alama sita.

    Kwa upande wa wasichana, Uganda iliibuka mabingwa kwa tofauti ya mabao bora zaidi kuliko Tanzania, ambao pia walimaliza na alama 7. Uganda iliidhalilisha Rwanda kwa ushindi wa mabao 8-0, ambapo Brendah Nassaka alifunga mabao manne, Halima Mupyanga mabao mawili, huku Cynthia Kirenga na Lilian Nabukeera wakiongeza majina yao kwenye orodha ya wafungaji.

    Tanzania, katika mechi ya pili, iliishinda Burundi 1-0, kwa bao la pekee lililofungwa na Helena Mtundagi. Nahodha wa Uganda, Lilian Nabukeera, aliwashukuru wachezaji wenzake kwa kazi ngumu na kusema, “Tuna furaha kubwa kuwa mabingwa.”

    Washindi Tanzania na Uganda walipokea medali na vikombe wakati wa sherehe ya tuzo, pamoja na mfano wa hundi ya dola za Marekani 100,000.

    Timu ya wavulana ya Uganda na timu ya wasichana ya Tanzania walipata medali na mfano wa hundi ya dola 75,000 kila moja, huku Somalia na Burundi waliomaliza nafasi ya tatu wakipata medali na mfano wa hundi ya dola 50,000 kila mmoja.

    Mashindano haya ni hatua kubwa kwa maendeleo ya soka la shule barani Afrika.

    #sports
    #trending
    #socialpop
    David Atto
    Timu ya soka ya Wavulana ya Tanzania na timu ya wasichana ya Uganda zimeibuka washindi wa mashindano hayo ya kufuzu kwa ukanda wa CECAFA yaliyofikia kilele leo nchini Uganda. Timu ya wavulana ya Tanzania, ikiongozwa na mchezaji wa zamani wa kimataifa Boniface Pawasa, iliifunga Rwanda 2-0 kwenye mechi ya mwisho kuamua mshindi, na kumaliza mbele ya Uganda kwa tofauti ya mabao, ingawa zote zilipata alama sita. Kwa upande wa wasichana, Uganda iliibuka mabingwa kwa tofauti ya mabao bora zaidi kuliko Tanzania, ambao pia walimaliza na alama 7. Uganda iliidhalilisha Rwanda kwa ushindi wa mabao 8-0, ambapo Brendah Nassaka alifunga mabao manne, Halima Mupyanga mabao mawili, huku Cynthia Kirenga na Lilian Nabukeera wakiongeza majina yao kwenye orodha ya wafungaji. Tanzania, katika mechi ya pili, iliishinda Burundi 1-0, kwa bao la pekee lililofungwa na Helena Mtundagi. Nahodha wa Uganda, Lilian Nabukeera, aliwashukuru wachezaji wenzake kwa kazi ngumu na kusema, “Tuna furaha kubwa kuwa mabingwa.” Washindi Tanzania na Uganda walipokea medali na vikombe wakati wa sherehe ya tuzo, pamoja na mfano wa hundi ya dola za Marekani 100,000. Timu ya wavulana ya Uganda na timu ya wasichana ya Tanzania walipata medali na mfano wa hundi ya dola 75,000 kila moja, huku Somalia na Burundi waliomaliza nafasi ya tatu wakipata medali na mfano wa hundi ya dola 50,000 kila mmoja. Mashindano haya ni hatua kubwa kwa maendeleo ya soka la shule barani Afrika. #sports #trending #socialpop [Mefa]
    Like
    Love
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·1χλμ. Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • David Davoo @Davoox πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-12 20:48:42 ·
    . Ni mara tu baada ya klub Yanga kuonesha nia ya kuhitaji huduma ya mlinzi wa kati wa coastal Union, Lameck Elias Lawi(19), klub ya simba imeibua upya sakata lililomkabili mchezaji huyo ambaye hakuweza kujiunga na miamba hao wa msimbazi mwanzonibmwa msimu huu mara baada ya klub yake ya sasa coastal union kutia ngumu.

    Simba wameirudisha upya kesi hiyo na rasimi leo alhamisi 12/dec/2024 kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imeanza kusikiliza tena kesi hiyo. #socialpop #sports #trending David Atto
    . Ni mara tu baada ya klub Yanga kuonesha nia ya kuhitaji huduma ya mlinzi wa kati wa coastal Union, Lameck Elias Lawi(19), klub ya simba imeibua upya sakata lililomkabili mchezaji huyo ambaye hakuweza kujiunga na miamba hao wa msimbazi mwanzonibmwa msimu huu mara baada ya klub yake ya sasa coastal union kutia ngumu. Simba wameirudisha upya kesi hiyo na rasimi leo alhamisi 12/dec/2024 kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imeanza kusikiliza tena kesi hiyo. #socialpop #sports #trending [Mefa]
    Like
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·1χλμ. Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • David Davoo @Davoox πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-12 20:49:56 ·
    Baba mkwe wa marioo Legend Majani akiwa kwenye maojiano na soggydoggy amefunguka kuwa Marioo hajalipa mahari ya binti yake na pia kuhusu watu kusema kwasasa marioo ndie msanii namba moja Tanzania.

    “Marioo sio msanii namba moja na bado hajalipa mahari ya binti yangu paula” — P Funk majani
    Baba mkwe wa marioo Legend Majani akiwa kwenye maojiano na soggydoggy amefunguka kuwa Marioo hajalipa mahari ya binti yake na pia kuhusu watu kusema kwasasa marioo ndie msanii namba moja Tanzania. “Marioo sio msanii namba moja na bado hajalipa mahari ya binti yangu paula” — P Funk majani😁
    Like
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·439 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Δείχνουμε (19491-19500 από 25660)
  • «
  • Προηγούμενο
  • 1948
  • 1949
  • 1950
  • 1951
  • 1952
  • Επόμενο
  • »
Upgrade to Pro
διάλεξε το πλάνο που σου ταιριάζει
Αναβάθμισε
© 2025 Socialpop
Greek
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
Σχετικά Όρους Ιδιωτικότητα Επικοινώνησε μαζί μας Κατάλογος Developers