Upgrade to Pro

  • Unaweza kumdanganya mwanamke akajua na bado akakusamehe, sio ujinga ni upendo.

    Mwanaume anaweza kutatua shida yako ilihali ana hali mbaya, sio msaada ni mapenzi.

    Kuna atakayejua huna la kumsaidia na bado hatokutenga, sio unafiki ni ubinadamu.

    Kuna atakayekupa nusu ya alichobakiwa nacho, sio utajiri ni moyo.

    Kuna atakayekufariji ilihali hata yeye anapitia maumivu, sio faraja ni utu.

    Kuna utakayemkosea na atakuomba yeye msamaha, sio ujinga ni ukomavu.

    Kuna atakayekesha kwaajili ya wengine walale, sio utumwa ni uthubutu.

    Upendo umefanya watu wengi sana wenye majeraha ya moyo, watabasamu mbele yetu ili kutibu huzuni zetu.

    Ni maisha.
    Unaweza kumdanganya mwanamke akajua na bado akakusamehe, sio ujinga ni upendo. Mwanaume anaweza kutatua shida yako ilihali ana hali mbaya, sio msaada ni mapenzi. Kuna atakayejua huna la kumsaidia na bado hatokutenga, sio unafiki ni ubinadamu. Kuna atakayekupa nusu ya alichobakiwa nacho, sio utajiri ni moyo. Kuna atakayekufariji ilihali hata yeye anapitia maumivu, sio faraja ni utu. Kuna utakayemkosea na atakuomba yeye msamaha, sio ujinga ni ukomavu. Kuna atakayekesha kwaajili ya wengine walale, sio utumwa ni uthubutu. Upendo umefanya watu wengi sana wenye majeraha ya moyo, watabasamu mbele yetu ili kutibu huzuni zetu. Ni maisha.
    Like
    Love
    3
    1 Comments ·159 Views
  • Klabu ya Real Madrid C.F. imepanga kuingilia kati dili la kumsajili wao mchezaji wa klabu ya Sunderland Jobe Bellingham.

    Lakini ugumu unakuja kuwa klabu ya Borussia Dortmund ilishamaliza mazungumzo kamili na wazazi wa kijana huyo na Jobe mwenyewe ameonesha kuvutiwa na Borussia Dortmund kuliko Real Madrid.

    FOLLOW ME @david davoo
    🚨 Klabu ya Real Madrid C.F. imepanga kuingilia kati dili la kumsajili wao mchezaji wa klabu ya Sunderland Jobe Bellingham. Lakini ugumu unakuja kuwa klabu ya Borussia Dortmund ilishamaliza mazungumzo kamili na wazazi wa kijana huyo na Jobe mwenyewe ameonesha kuvutiwa na Borussia Dortmund kuliko Real Madrid. FOLLOW ME @david davoo
    Like
    1
    1 Comments ·115 Views
  • Ivi ipo sawa hii ???
    Ivi ipo sawa hii ???🙄🙄🙄
    Like
    1
    ·30 Views
  • “Tunamshukuru Mungu tumefika Salama, tupo hapa Lubumbashi kwaajili ya kupambana, ni kweli hatujashinda mechi zetu za Mwanzo lakini haimaanishi tukae vichwa chini, huu ni muda wa kurudi juu na kuwapa furaha wananchi, tunatambua Ukubwa wa Mazembe lakini tutapambana kwaajili ya kushinda kesho” @maxinzengeli

    #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko

    “Tunamshukuru Mungu tumefika Salama, tupo hapa Lubumbashi kwaajili ya kupambana, ni kweli hatujashinda mechi zetu za Mwanzo lakini haimaanishi tukae vichwa chini, huu ni muda wa kurudi juu na kuwapa furaha wananchi, tunatambua Ukubwa wa Mazembe lakini tutapambana kwaajili ya kushinda kesho” @maxinzengeli #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    2
    ·311 Views
  • “Ni jambo kubwa sana ambalo Mashabiki wa Yanga wamelifanya, kusafiri kwa Bus kutoka Dar Es Salaam mpaka hapa Lubumbashi siyo rahisi, ni faraja kwetu na inatupa Motisha ya kuwa tuna watu wanaotupa moyo na kutufanya tusiyumbe, kwakweli nachoweza kusema ni kwamba tupo hapa kwaajili ya kuwapa furaha, timu nzima inatambua umuhimu wa mashabiki wetu, panapo majaaliwa kesho tutapambana kuhakikisha tunawafurahisha Wananchi” @seadramovic79
    “Ni jambo kubwa sana ambalo Mashabiki wa Yanga wamelifanya, kusafiri kwa Bus kutoka Dar Es Salaam mpaka hapa Lubumbashi siyo rahisi, ni faraja kwetu na inatupa Motisha ya kuwa tuna watu wanaotupa moyo na kutufanya tusiyumbe, kwakweli nachoweza kusema ni kwamba tupo hapa kwaajili ya kuwapa furaha, timu nzima inatambua umuhimu wa mashabiki wetu, panapo majaaliwa kesho tutapambana kuhakikisha tunawafurahisha Wananchi” @seadramovic79
    Like
    1
    ·189 Views
  • 𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒

    "Malengo yetu ni kuonyesha uwezo wetu na kufanya vizuri kesho, Haijalishi wapinzani wetu wakoje, sisi tunafahamu TP Mazembe ni timu kubwa na ina Wachezaji wazuri hivyo kesho tutashuhudia mechi nzuri sana, nafahamu kuwa mchezo wa mwisho hapa Congo Young Africans ilishinda lakini hatuwezi kuzungumzia yaliyopita, tunautazama mchezo wa kesho kama mchezo mpya na tupo tayari kwa Changamoto hii" Ramovic

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    𝐏𝐑𝐄𝐒𝐒💬 "Malengo yetu ni kuonyesha uwezo wetu na kufanya vizuri kesho, Haijalishi wapinzani wetu wakoje, sisi tunafahamu TP Mazembe ni timu kubwa na ina Wachezaji wazuri hivyo kesho tutashuhudia mechi nzuri sana, nafahamu kuwa mchezo wa mwisho hapa Congo Young Africans ilishinda lakini hatuwezi kuzungumzia yaliyopita, tunautazama mchezo wa kesho kama mchezo mpya na tupo tayari kwa Changamoto hii" Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    1
    2 Comments ·345 Views
  • Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano ya kumsajili beki wa kushoto, Diego León (umri miaka 17) raia wa Paraguay kutoka Cerro Porteno ya Nchini kwao kwa dau la Dola Milioni 3.5 na atatua rasmi kwa Mashetani hao Wekundu Julai 2025.

    Huu ni mwendelezo wa Manchester United kukusanya vijana damu changa kwa ajili ya mafanikio ya siku za usoni baada ya kuzinasa saini za kiungo mkabaji fundi Sekou Kone kutoka Mali na Chido Obi Martin raia wa Denmark kutoka Arsenal.

    Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano ya kumsajili beki wa kushoto, Diego León (umri miaka 17) raia wa Paraguay kutoka Cerro Porteno ya Nchini kwao kwa dau la Dola Milioni 3.5 na atatua rasmi kwa Mashetani hao Wekundu Julai 2025. Huu ni mwendelezo wa Manchester United kukusanya vijana damu changa kwa ajili ya mafanikio ya siku za usoni baada ya kuzinasa saini za kiungo mkabaji fundi Sekou Kone kutoka Mali na Chido Obi Martin raia wa Denmark kutoka Arsenal.
    Like
    1
    ·95 Views
  • Like
    Love
    2
    ·31 Views
  • ·38 Views
  • ·37 Views