·36 Views
Directory
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
NJIA ZA KUJIONGEZEA POINTS KWA WINGI KATIKA MTANDAO HUU WA SOCIAL POP;
1. Hakikisha kila siku unaingia kwenye huu Mtandao na kusoma post mbalimbali zilizomo.
2. Ongeza (add) idadi ya marafiki kadri uwezavyo.
3. Walau kila siku uwe unapost kitu.
4. Jitahidi ku-like, comment katika post za wengine.
5. Jjtahidi kushare link ya Social Pop kwa watu wengine nje ya Mtandao huu, kama vile Whatsapp, facebook, insta, n.kNJIA ZA KUJIONGEZEA POINTS KWA WINGI KATIKA MTANDAO HUU WA SOCIAL POP; 1. Hakikisha kila siku unaingia kwenye huu Mtandao na kusoma post mbalimbali zilizomo. 2. Ongeza (add) idadi ya marafiki kadri uwezavyo. 3. Walau kila siku uwe unapost kitu. 4. Jitahidi ku-like, comment katika post za wengine. 5. Jjtahidi kushare link ya Social Pop kwa watu wengine nje ya Mtandao huu, kama vile Whatsapp, facebook, insta, n.k·231 Views -
Mtoto wangu nisamehe sana #bmtrust #SocialpopMtoto wangu nisamehe sana #bmtrust #Socialpop·183 Views ·9 Views
-
KUTOKA KWA RAISI WA TP MAZEMBE ..
"Hatutakubali Yanga itufunge mara mbili kwani mara ya mwisho walitufunga hapa.Japo ni mpira wa miguu, lakini ushindi wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika lazima uwe dhidi ya Yanga."
Moise Katumbi, Rais wa klabu ya TP Mazembe
#socialpop
David Atto🚨 KUTOKA KWA RAISI WA TP MAZEMBE 🇨🇩.. "Hatutakubali Yanga itufunge mara mbili kwani mara ya mwisho walitufunga hapa.Japo ni mpira wa miguu, lakini ushindi wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika lazima uwe dhidi ya Yanga." 🎙️Moise Katumbi, Rais wa klabu ya TP Mazembe #socialpop [Mefa]1 Comments ·173 Views -
Katika Kombe la Dunia la 1970, Mexico Anamfunga Ubelgiji na Kusonga Mbele Makundi. Akiwa Amelewa kwa Furaha Mlinzi wa Gereza la Chilpancing Mexico Akiwa na Bastola Akajikuta Anafungua Mageti na Kuwaachilia Wafungwa 142 Bila Kutarajia. Alisamehewa Kwakua Alikuwa Anashangilia Nchi Yake.
Visit David Atto
#socialpopKatika Kombe la Dunia la 1970, Mexico Anamfunga Ubelgiji na Kusonga Mbele Makundi. Akiwa Amelewa kwa Furaha Mlinzi wa Gereza la Chilpancing Mexico Akiwa na Bastola Akajikuta Anafungua Mageti na Kuwaachilia Wafungwa 142 Bila Kutarajia. Alisamehewa Kwakua Alikuwa Anashangilia Nchi Yake. Visit [Mefa] #socialpop·195 Views -
𝗠𝗔𝗧𝗨𝗞𝗜𝗢 𝗠𝗔𝗧𝗔𝗡𝗢 (5) 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗠𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗦𝗨𝗣𝗘𝗥 𝗠𝗔𝗥𝗜𝗢 𝗕𝗔𝗟𝗢𝗧𝗘𝗟𝗟𝗜
haya ni matukio matano yaliyowafanya watu wamwone Mario ni kichaa
Kwanza, akiwa na umri wa miaka 15 alienda kufanya majaribi katika klabunya Barcelona na alifuzu majaribio, shida ilikuja kwenye malipo, Super Balotelli alikuwa akihitaji malipo makubwa yaliyowashanganza Barcelona wakamwacha aende na akarudi kwao Italia.
Pili, Balotelli alishawahi kuchoma nyumba anayoishi kisha akaenda kumwomba rafiki ya Richard waishi wote kwake, lakini Richard aligoma. Hata ungekuwa wewe ungekubali?
Tatu, Wakati fulani Jose Morinho alikuwa kuwa akimsubiri Balotelli ili azungumze naye alipompigia simu Balotelli akamjibu nipo kuangalia mashindano ya FORMULA ONE ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka lakini wewe kila siku naiona sura yako.
Nne, wakati akiwa anacheza Inter Milan wakiwa mazoezi alipewa jezi ya Ac Milan alivaa na akaingia mazoezi, wakati mazoezi yanaendelea alimfanyia rafu mchezaji mwenzake, kocha akamwambia aondoke lakini akagoma na mwisho mazoezi yenyewe yakaahirishwa.
tano, Ni story za Manchini na Balotelli, kama kuna kitu watengeneza filamu wanafeli basi ni kutengeneza filamu ya Balotelli na mzee wake Manchini. Manchini alipofika Manchester City alimkataa kabisa Balotelli kwasababu ya tabia za ujuaji pia alikuwa hachukulii serious mechi za kirafiki.𝗠𝗔𝗧𝗨𝗞𝗜𝗢 𝗠𝗔𝗧𝗔𝗡𝗢 (5) 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗠𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗦𝗨𝗣𝗘𝗥 𝗠𝗔𝗥𝗜𝗢 𝗕𝗔𝗟𝗢𝗧𝗘𝗟𝗟𝗜 haya ni matukio matano yaliyowafanya watu wamwone Mario ni kichaa Kwanza, akiwa na umri wa miaka 15 alienda kufanya majaribi katika klabunya Barcelona na alifuzu majaribio, shida ilikuja kwenye malipo, Super Balotelli alikuwa akihitaji malipo makubwa yaliyowashanganza Barcelona wakamwacha aende na akarudi kwao Italia. Pili, Balotelli alishawahi kuchoma nyumba anayoishi kisha akaenda kumwomba rafiki ya Richard waishi wote kwake, lakini Richard aligoma. Hata ungekuwa wewe ungekubali? Tatu, Wakati fulani Jose Morinho alikuwa kuwa akimsubiri Balotelli ili azungumze naye alipompigia simu Balotelli akamjibu nipo kuangalia mashindano ya FORMULA ONE ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka lakini wewe kila siku naiona sura yako. Nne, wakati akiwa anacheza Inter Milan wakiwa mazoezi alipewa jezi ya Ac Milan alivaa na akaingia mazoezi, wakati mazoezi yanaendelea alimfanyia rafu mchezaji mwenzake, kocha akamwambia aondoke lakini akagoma na mwisho mazoezi yenyewe yakaahirishwa. tano, Ni story za Manchini na Balotelli, kama kuna kitu watengeneza filamu wanafeli basi ni kutengeneza filamu ya Balotelli na mzee wake Manchini. Manchini alipofika Manchester City alimkataa kabisa Balotelli kwasababu ya tabia za ujuaji pia alikuwa hachukulii serious mechi za kirafiki.·244 Views