Atualizar para Plus

  • Like
    1
    ·39 Visualizações
  • Like
    1
    ·41 Visualizações
  • Like
    Love
    2
    1 Comentários ·47 Visualizações
  • NJIA ZA KUJIONGEZEA POINTS KWA WINGI KATIKA MTANDAO HUU WA SOCIAL POP;

    1. Hakikisha kila siku unaingia kwenye huu Mtandao na kusoma post mbalimbali zilizomo.
    2. Ongeza (add) idadi ya marafiki kadri uwezavyo.
    3. Walau kila siku uwe unapost kitu.
    4. Jitahidi ku-like, comment katika post za wengine.
    5. Jjtahidi kushare link ya Social Pop kwa watu wengine nje ya Mtandao huu, kama vile Whatsapp, facebook, insta, n.k
    NJIA ZA KUJIONGEZEA POINTS KWA WINGI KATIKA MTANDAO HUU WA SOCIAL POP; 1. Hakikisha kila siku unaingia kwenye huu Mtandao na kusoma post mbalimbali zilizomo. 2. Ongeza (add) idadi ya marafiki kadri uwezavyo. 3. Walau kila siku uwe unapost kitu. 4. Jitahidi ku-like, comment katika post za wengine. 5. Jjtahidi kushare link ya Social Pop kwa watu wengine nje ya Mtandao huu, kama vile Whatsapp, facebook, insta, n.k
    Like
    Love
    3
    ·236 Visualizações
  • Mtoto wangu nisamehe sana #bmtrust #Socialpop
    Mtoto wangu nisamehe sana #bmtrust #Socialpop
    Like
    3
    ·186 Visualizações ·9 Visualizações
  • Magician
    Magician
    Like
    Love
    2
    1 Comentários ·113 Visualizações ·7 Visualizações
  • Like
    Love
    2
    ·56 Visualizações
  • KUTOKA KWA RAISI WA TP MAZEMBE ..

    "Hatutakubali Yanga itufunge mara mbili kwani mara ya mwisho walitufunga hapa.Japo ni mpira wa miguu, lakini ushindi wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika lazima uwe dhidi ya Yanga."

    Moise Katumbi, Rais wa klabu ya TP Mazembe
    #socialpop
    David Atto
    🚨 KUTOKA KWA RAISI WA TP MAZEMBE 🇨🇩.. "Hatutakubali Yanga itufunge mara mbili kwani mara ya mwisho walitufunga hapa.Japo ni mpira wa miguu, lakini ushindi wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika lazima uwe dhidi ya Yanga." 🎙️Moise Katumbi, Rais wa klabu ya TP Mazembe #socialpop [Mefa]
    Like
    1
    1 Comentários ·177 Visualizações
  • Katika Kombe la Dunia la 1970, Mexico Anamfunga Ubelgiji na Kusonga Mbele Makundi. Akiwa Amelewa kwa Furaha Mlinzi wa Gereza la Chilpancing Mexico Akiwa na Bastola Akajikuta Anafungua Mageti na Kuwaachilia Wafungwa 142 Bila Kutarajia. Alisamehewa Kwakua Alikuwa Anashangilia Nchi Yake.

    Visit David Atto
    #socialpop
    Katika Kombe la Dunia la 1970, Mexico Anamfunga Ubelgiji na Kusonga Mbele Makundi. Akiwa Amelewa kwa Furaha Mlinzi wa Gereza la Chilpancing Mexico Akiwa na Bastola Akajikuta Anafungua Mageti na Kuwaachilia Wafungwa 142 Bila Kutarajia. Alisamehewa Kwakua Alikuwa Anashangilia Nchi Yake. Visit [Mefa] #socialpop
    Like
    1
    ·198 Visualizações
  • 𝗠𝗔𝗧𝗨𝗞𝗜𝗢 𝗠𝗔𝗧𝗔𝗡𝗢 (5) 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗠𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗦𝗨𝗣𝗘𝗥 𝗠𝗔𝗥𝗜𝗢 𝗕𝗔𝗟𝗢𝗧𝗘𝗟𝗟𝗜

    haya ni matukio matano yaliyowafanya watu wamwone Mario ni kichaa

    Kwanza, akiwa na umri wa miaka 15 alienda kufanya majaribi katika klabunya Barcelona na alifuzu majaribio, shida ilikuja kwenye malipo, Super Balotelli alikuwa akihitaji malipo makubwa yaliyowashanganza Barcelona wakamwacha aende na akarudi kwao Italia.

    Pili, Balotelli alishawahi kuchoma nyumba anayoishi kisha akaenda kumwomba rafiki ya Richard waishi wote kwake, lakini Richard aligoma. Hata ungekuwa wewe ungekubali?

    Tatu, Wakati fulani Jose Morinho alikuwa kuwa akimsubiri Balotelli ili azungumze naye alipompigia simu Balotelli akamjibu nipo kuangalia mashindano ya FORMULA ONE ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka lakini wewe kila siku naiona sura yako.

    Nne, wakati akiwa anacheza Inter Milan wakiwa mazoezi alipewa jezi ya Ac Milan alivaa na akaingia mazoezi, wakati mazoezi yanaendelea alimfanyia rafu mchezaji mwenzake, kocha akamwambia aondoke lakini akagoma na mwisho mazoezi yenyewe yakaahirishwa.

    tano, Ni story za Manchini na Balotelli, kama kuna kitu watengeneza filamu wanafeli basi ni kutengeneza filamu ya Balotelli na mzee wake Manchini. Manchini alipofika Manchester City alimkataa kabisa Balotelli kwasababu ya tabia za ujuaji pia alikuwa hachukulii serious mechi za kirafiki.
    𝗠𝗔𝗧𝗨𝗞𝗜𝗢 𝗠𝗔𝗧𝗔𝗡𝗢 (5) 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗠𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗦𝗨𝗣𝗘𝗥 𝗠𝗔𝗥𝗜𝗢 𝗕𝗔𝗟𝗢𝗧𝗘𝗟𝗟𝗜 haya ni matukio matano yaliyowafanya watu wamwone Mario ni kichaa Kwanza, akiwa na umri wa miaka 15 alienda kufanya majaribi katika klabunya Barcelona na alifuzu majaribio, shida ilikuja kwenye malipo, Super Balotelli alikuwa akihitaji malipo makubwa yaliyowashanganza Barcelona wakamwacha aende na akarudi kwao Italia. Pili, Balotelli alishawahi kuchoma nyumba anayoishi kisha akaenda kumwomba rafiki ya Richard waishi wote kwake, lakini Richard aligoma. Hata ungekuwa wewe ungekubali? Tatu, Wakati fulani Jose Morinho alikuwa kuwa akimsubiri Balotelli ili azungumze naye alipompigia simu Balotelli akamjibu nipo kuangalia mashindano ya FORMULA ONE ambayo hufanyika mara moja kwa mwaka lakini wewe kila siku naiona sura yako. Nne, wakati akiwa anacheza Inter Milan wakiwa mazoezi alipewa jezi ya Ac Milan alivaa na akaingia mazoezi, wakati mazoezi yanaendelea alimfanyia rafu mchezaji mwenzake, kocha akamwambia aondoke lakini akagoma na mwisho mazoezi yenyewe yakaahirishwa. tano, Ni story za Manchini na Balotelli, kama kuna kitu watengeneza filamu wanafeli basi ni kutengeneza filamu ya Balotelli na mzee wake Manchini. Manchini alipofika Manchester City alimkataa kabisa Balotelli kwasababu ya tabia za ujuaji pia alikuwa hachukulii serious mechi za kirafiki.
    Like
    1
    ·247 Visualizações