• Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano ya kumsajili beki wa kushoto, Diego León (umri miaka 17) raia wa Paraguay kutoka Cerro Porteno ya Nchini kwao kwa dau la Dola Milioni 3.5 na atatua rasmi kwa Mashetani hao Wekundu Julai 2025.

    Huu ni mwendelezo wa Manchester United kukusanya vijana damu changa kwa ajili ya mafanikio ya siku za usoni baada ya kuzinasa saini za kiungo mkabaji fundi Sekou Kone kutoka Mali na Chido Obi Martin raia wa Denmark kutoka Arsenal.

    Klabu ya Manchester United imefikia makubaliano ya kumsajili beki wa kushoto, Diego León (umri miaka 17) raia wa Paraguay kutoka Cerro Porteno ya Nchini kwao kwa dau la Dola Milioni 3.5 na atatua rasmi kwa Mashetani hao Wekundu Julai 2025. Huu ni mwendelezo wa Manchester United kukusanya vijana damu changa kwa ajili ya mafanikio ya siku za usoni baada ya kuzinasa saini za kiungo mkabaji fundi Sekou Kone kutoka Mali na Chido Obi Martin raia wa Denmark kutoka Arsenal.
    Like
    1
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·611 Visualizações
  • Like
    Love
    2
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·327 Visualizações
  • 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·153 Visualizações
  • 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·150 Visualizações
  • "Malengo yetu ni kuonyesha uwezo wetu na kufanya vizuri kesho, Haijalishi wapinzani wetu wakoje, sisi tunafahamu TP Mazembe ni timu kubwa na ina Wachezaji wazuri hivyo kesho tutashuhudia mechi nzuri sana, nafahamu kuwa mchezo wa mwisho hapa Congo Young Africans ilishinda lakini hatuwezi kuzungumzia yaliyopita, tunautazama mchezo wa kesho kama mchezo mpya na tupo tayari kwa Changamoto hii" - Ramovic, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.

    "Malengo yetu ni kuonyesha uwezo wetu na kufanya vizuri kesho, Haijalishi wapinzani wetu wakoje, sisi tunafahamu TP Mazembe ni timu kubwa na ina Wachezaji wazuri hivyo kesho tutashuhudia mechi nzuri sana, nafahamu kuwa mchezo wa mwisho hapa Congo Young Africans ilishinda lakini hatuwezi kuzungumzia yaliyopita, tunautazama mchezo wa kesho kama mchezo mpya na tupo tayari kwa Changamoto hii" - Ramovic, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.
    0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·240 Visualizações
  • HUYU KIPA au KIPARA !!

    36’—⚽️ Makambo

    #paulswai
    HUYU KIPA au KIPARA !! 36’—⚽️ Makambo #paulswai
    Love
    Like
    3
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·172 Visualizações ·32
  • HAPA AZAM KIPA HAKUNA !!

    37’—⚽️ Makambo
    68’—⚽️ Makambo

    TABORA [2]-0 AZAM FC

    #paulswai
    HAPA AZAM KIPA HAKUNA !!😂 37’—⚽️ Makambo 68’—⚽️ Makambo 🐝 TABORA [2]-0 AZAM FC 🍦 #paulswai
    Love
    Like
    3
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·189 Visualizações ·35
  • FEITOTO YORO DIABY ⚽️

    TABORA 2-[1] AZAM FC

    #paulswai
    FEITOTO ➡️ YORO DIABY ⚽️ 🐝 TABORA 2-[1] AZAM FC #paulswai
    Like
    Love
    3
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·191 Visualizações ·38
  • kunatimu zinagawa utamu kwenye makundi

    #paulswai
    kunatimu zinagawa utamu kwenye makundi 😂😂😂😂 #paulswai
    Like
    Love
    4
    · 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·206 Visualizações ·45
  • MIXXY BY SIMBA ni!!
    Ubaya Ubwela + Pumzi ya Moto + Kumkaanga

    #paulswai
    MIXXY BY SIMBA ni!! Ubaya Ubwela + Pumzi ya Moto + Kumkaanga #paulswai
    Like
    Love
    3
    · 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·500 Visualizações ·53