·36 Views
Directory
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
Yanga wamekuwa bora kwenye nyakati 2 muhimu kimbinu;
- Turn-Overs, kuzuia vizuri na kujibu mashambulizi, moment iliyowapa magoli mawili
- Mipira ya kutenga, moment iliyowapa magoli mawili
Yanga walipata mtihani kwenye moment wakiwa na mpira, kwasababu;
1. Namna Prison walivyokuwa wanazuia, wakiwa na shape ya 4-1-4-1;
- mbele walimsimamisha Chanongo dhidi ya Bacca na Job, LAKINI target yao kubwa ilikuwa kwenye mstari wa pili wa Yanga, viungo wawili wa kati na mabeki wa pembeni
- Kwenye mstari huo waliweka watu wanne, Tariq na Sengati dhidi ya Mudathir na Aucho, Segeja na Ngassa dhidi ya Kibwana na Kibabage
- Hao Walizuia mstari huo wa Yanga ku-progress build up zinazanzia nyuma baada ya Job na Bacca dhidi ya Chanongo
- Mara nyingi Aziz na Farid kushuka usawa wa viungo kuisaidia timu kusogea juu
2. Kwenye build up play zao walikuwa na mapungufu kadhaa;
- Ufanisi wa pasi
- Combinations play
- Viungo washambuliaji walipenda kucheza maeneo nje ya blocks
Turn-Overs za Yanga zimekuwa bora kwasababu ya;
- Ubora wa kiuzuiaji, Presha nzuri, kuwa pamoja, recovery runs bora
- Ubora wa kujibu shambulizi, runs , kushambulia nafasi, uharaka, ufanisi was pasi za mwisho na Umaliziaji bora
Set Plays siri kuu ni;
- Kushinda mipira ya juu na ya pili (Aerial duels & second balls)
- Wapigaji wazuri
NOTE
1: Dube magoli yanakuja na assist pia
2: Mzize powerful runs zake kila upande akicheza ana madhara sana
3: Ngassa kuna kipaji mule shida wenzake wapo wachache mbele
4: Kibwana anaendelea alipoishia dhidi ya Mashujaa mpaka leo
5: Aziz KI playmaking inaanza kurudi
6: Bacca ameongeza magoli tena kwenye game yake
FT: Yanga 4-0 Prisons
👉 Yanga wamekuwa bora kwenye nyakati 2 muhimu kimbinu; - Turn-Overs, kuzuia vizuri na kujibu mashambulizi, moment iliyowapa magoli mawili - Mipira ya kutenga, moment iliyowapa magoli mawili 👉 Yanga walipata mtihani kwenye moment wakiwa na mpira, kwasababu; 1. Namna Prison walivyokuwa wanazuia, wakiwa na shape ya 4-1-4-1; - mbele walimsimamisha Chanongo dhidi ya Bacca na Job, LAKINI target yao kubwa ilikuwa kwenye mstari wa pili wa Yanga, viungo wawili wa kati na mabeki wa pembeni - Kwenye mstari huo waliweka watu wanne, Tariq na Sengati dhidi ya Mudathir na Aucho, Segeja na Ngassa dhidi ya Kibwana na Kibabage - Hao Walizuia mstari huo wa Yanga ku-progress build up zinazanzia nyuma baada ya Job na Bacca dhidi ya Chanongo - Mara nyingi Aziz na Farid kushuka usawa wa viungo kuisaidia timu kusogea juu 2. Kwenye build up play zao walikuwa na mapungufu kadhaa; - Ufanisi wa pasi - Combinations play - Viungo washambuliaji walipenda kucheza maeneo nje ya blocks 👉 Turn-Overs za Yanga zimekuwa bora kwasababu ya; - Ubora wa kiuzuiaji, Presha nzuri, kuwa pamoja, recovery runs bora - Ubora wa kujibu shambulizi, runs , kushambulia nafasi, uharaka, ufanisi was pasi za mwisho na Umaliziaji bora 👉 Set Plays siri kuu ni; - Kushinda mipira ya juu na ya pili (Aerial duels & second balls) - Wapigaji wazuri NOTE 1: Dube magoli yanakuja na assist pia 🔥 2: Mzize powerful runs zake kila upande akicheza ana madhara sana 3: Ngassa kuna kipaji mule shida wenzake wapo wachache mbele 4: Kibwana anaendelea alipoishia dhidi ya Mashujaa mpaka leo 5: Aziz KI playmaking inaanza kurudi 6: Bacca ameongeza magoli tena kwenye game yake FT: Yanga 4-0 Prisons·186 Views -
Kama umetengeneza App na Unahitaji Store ya Kuiweka Ambapo watu wataiona waidownload basi ni hapa https://uploadapk.store/
Store ni Buree Kabisa Haina Ads.Kama umetengeneza App na Unahitaji Store ya Kuiweka Ambapo watu wataiona waidownload basi ni hapa👉👉 https://uploadapk.store/ Store ni Buree Kabisa Haina Ads.·86 Views