·65 Views
Directory
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
HOW TO DEPLOY 𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4 BUG BOT USING PANEL
Video link
https://youtu.be/tKhJctST6Wc?si=9M7C84kdrfYHDcM6
Bot link
https://t.me/duduu_mendez_store/135
Panel link
https://dashboard.katabump.com/auth/login#440069
Replit App
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.replit.app
Get Creds.json (link with whatsapp)
https://replit.com/@nicksoniaudax5/Classic-Pairing-2?s=app
NB:
IF LINK OF GETTING CREDS.JSON FAILED USE VPN especially TANZANIANS
ENJOY BUGING FORHOW TO DEPLOY 𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V4 BUG BOT USING PANEL Video link https://youtu.be/tKhJctST6Wc?si=9M7C84kdrfYHDcM6 Bot link https://t.me/duduu_mendez_store/135 Panel link https://dashboard.katabump.com/auth/login#440069 Replit App https://play.google.com/store/apps/details?id=com.replit.app Get Creds.json (link with whatsapp) https://replit.com/@nicksoniaudax5/Classic-Pairing-2?s=app NB: IF LINK OF GETTING CREDS.JSON FAILED USE VPN especially TANZANIANS 🇹🇿 ENJOY BUGING FOR 😁 😂·158 Views -
-
Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo jema,uwe peke yako au na familia yako
Jiandae ki saikolojia
1.Hakikisha gari iko vizuri
2.Safiri mchana tu
3.Waza kufika salama na si saa ngapi
4.Epuka mafuta ya vichochoroni
5.Kama kwenu mbali yaani km 700 na zaidi basi safari yako unaweza kuikata vipande viwili
6.Ukiwa na wasi wasi na uwezo wako tafuta mtu ukifika mpe posho kidogo na nauli arudi
7.Kuwa makini sana unapoanza safari na unapokaribia kufika
8.Usipende kusimama porini usipopajua bila sababu au kuchimba dawa
9.Usiku ukipishana na gari punguza mwendo huku ukiibia kushoto kwako kidogo
10.Epuka kushindana na gari/mtu ambaye hata hujui anatoka na anakwenda wapi hata kama gari lake ni sawa na la kwako
11.Kama vipi andaa chakula toka kwako anayeendesha atumie vyakula vyepesi bites zaidi nyama kavu za kutafuna
12.Akili yako muda wote iwe barabarani na sio unakokwenda au unakotoka
13.Jitahidi njiani si kila mtu ajue unaenda wapi
14.Hakikisha upepo uko sahihi wakati wote
15.Hizi mvua kuwa makini ukiona inazidi tafuta mahali salama paki subiri ipungue kisha uendelee
16.Hakikisha hakuna gari lolote nyuma linakufuata kwa muda mrefu bila sababu,chukua namba kisha mpishe aende
. ASANTE KWA KUSOMA UJUMBE NA KUUELEWA.Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo jema,uwe peke yako au na familia yako Jiandae ki saikolojia 1.Hakikisha gari iko vizuri 2.Safiri mchana tu 3.Waza kufika salama na si saa ngapi 4.Epuka mafuta ya vichochoroni 5.Kama kwenu mbali yaani km 700 na zaidi basi safari yako unaweza kuikata vipande viwili 6.Ukiwa na wasi wasi na uwezo wako tafuta mtu ukifika mpe posho kidogo na nauli arudi 7.Kuwa makini sana unapoanza safari na unapokaribia kufika 8.Usipende kusimama porini usipopajua bila sababu au kuchimba dawa 9.Usiku ukipishana na gari punguza mwendo huku ukiibia kushoto kwako kidogo 10.Epuka kushindana na gari/mtu ambaye hata hujui anatoka na anakwenda wapi hata kama gari lake ni sawa na la kwako 11.Kama vipi andaa chakula toka kwako anayeendesha atumie vyakula vyepesi bites zaidi nyama kavu za kutafuna 12.Akili yako muda wote iwe barabarani na sio unakokwenda au unakotoka 13.Jitahidi njiani si kila mtu ajue unaenda wapi 14.Hakikisha upepo uko sahihi wakati wote 15.Hizi mvua kuwa makini ukiona inazidi tafuta mahali salama paki subiri ipungue kisha uendelee 16.Hakikisha hakuna gari lolote nyuma linakufuata kwa muda mrefu bila sababu,chukua namba kisha mpishe aende . ASANTE KWA KUSOMA UJUMBE NA KUUELEWA.2 Comments ·125 Views