Upgrade to Pro

  • Like
    1
    ·71 Views

  • - Huyu Mpanzu

    #paulswai
    - Huyu Mpanzu 🔥🔥🔥 #paulswai
    Like
    1
    ·127 Views

  • SELEMANI MATOLA " PAMOJA NA UGUMU WAO TUMEJIPANGA KUCHUKUA ALAMA 3" NBCPL: SIMBA SC VS JKT TZ.

    #paulswai
    SELEMANI MATOLA " PAMOJA NA UGUMU WAO TUMEJIPANGA KUCHUKUA ALAMA 3" NBCPL: SIMBA SC VS JKT TZ. #paulswai
    Like
    Love
    2
    ·113 Views ·23 Views
  • kocha Fadlu akiwa kazini kwake

    #paulswai
    kocha Fadlu akiwa kazini kwake 👏👏👏 #paulswai
    Like
    Love
    2
    ·108 Views ·22 Views
  • Kumbukumbu kwa heshima
    "Mbona nilitembea nimeshikana mkono na mwanangu. Mtu yeyote anaweza kukushika mkono ukiwa juu ya dunia, lakini baba hufanya hivyo wakati yote yanaonekana kupotea. Bila maneno, kitendo changu kilisema, nakupenda, nakupenda Ninajivunia wewe na ninasimama karibu nawe." -
    Joe Jackson, babake Michael Jackson
    Kumbukumbu kwa heshima "Mbona nilitembea nimeshikana mkono na mwanangu. Mtu yeyote anaweza kukushika mkono ukiwa juu ya dunia, lakini baba hufanya hivyo wakati yote yanaonekana kupotea. Bila maneno, kitendo changu kilisema, nakupenda, nakupenda Ninajivunia wewe na ninasimama karibu nawe." - Joe Jackson, babake Michael Jackson
    Like
    Love
    2
    ·57 Views
  • #paulswai
    #paulswai
    Like
    Love
    2
    ·138 Views
  • Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo jema, uwe peke yako au na familia yako

    Jiandae ki saikolojia

    1. Hakikisha gari iko vizuri

    2.Safiri mchana tu

    3. Waza kufika salama na si saa ngapi

    4. Epuka mafuta ya vichochoroni

    5.Kama kwenu mbali yaani km 700 na zaidi basi safari yako unaweza kuikata vipande viwili

    6.Ukiwa na wasi wasi na uwezo wako tafuta mtu ukifika mpe posho kidogo na nauli arudi

    7.Kuwa makini sana unapoanza safari na unapokaribia kufika

    8. Usipende kusimama porini usipopajua bila sababu au kuchimba dawa

    9.Usiku ukipishana na gari punguza mwendo huku ukiibia kushoto kwako kidogo

    10. Epuka kushindana na gari/mtu ambaye hata hujui anatoka na anakwenda wapi hata kama gari lake ni sawa na la kwako

    11.Kama vipi andaa chakula toka kwako anayeendesha atumie vyakula vyepesi bites zaidi nyama kavu za kutafuna

    12.Akili yako muda wote iwe barabaran unakokwenda au unakotoka

    +

    13.Jitahidi njiani si kila mtu ajue unaenda wapi babiki wakati lake ni sawa na la kwako

    11.Kama vipi andaa chakula toka kwako anayeendesha atumie vyakula vyepesi bites zaidi nyama kavu za kutafuna

    12.Akili yako muda wote iwe barabarani na sio unakokwenda au unakotoka

    13.Jitahidi njiani si kila mtu ajue unaenda wapi

    14. Hakikisha upepo uko sahihi wakati wote

    15. Hizi mvua kuwa makini ukiona inazidi tafuta mahali salama paki subiri ipungue kisha uendelee

    16. Hakikisha hakuna gari lolote nyuma linakufuata kwa muda mrefu bila sababu,chukua namba kisha mpishe aende

    . ASANTE KWA KUSOMA UJUMBE NA KUUELEWA.

    credit David Atto
    Kwa mnaosafiri Kwa ajili ya Mapumziko ya Mwisho wa Mwaka, ni jambo jema, uwe peke yako au na familia yako Jiandae ki saikolojia 1. Hakikisha gari iko vizuri 2.Safiri mchana tu 3. Waza kufika salama na si saa ngapi 4. Epuka mafuta ya vichochoroni 5.Kama kwenu mbali yaani km 700 na zaidi basi safari yako unaweza kuikata vipande viwili 6.Ukiwa na wasi wasi na uwezo wako tafuta mtu ukifika mpe posho kidogo na nauli arudi 7.Kuwa makini sana unapoanza safari na unapokaribia kufika 8. Usipende kusimama porini usipopajua bila sababu au kuchimba dawa 9.Usiku ukipishana na gari punguza mwendo huku ukiibia kushoto kwako kidogo 10. Epuka kushindana na gari/mtu ambaye hata hujui anatoka na anakwenda wapi hata kama gari lake ni sawa na la kwako 11.Kama vipi andaa chakula toka kwako anayeendesha atumie vyakula vyepesi bites zaidi nyama kavu za kutafuna 12.Akili yako muda wote iwe barabaran unakokwenda au unakotoka + 13.Jitahidi njiani si kila mtu ajue unaenda wapi babiki wakati lake ni sawa na la kwako 11.Kama vipi andaa chakula toka kwako anayeendesha atumie vyakula vyepesi bites zaidi nyama kavu za kutafuna 12.Akili yako muda wote iwe barabarani na sio unakokwenda au unakotoka 13.Jitahidi njiani si kila mtu ajue unaenda wapi 14. Hakikisha upepo uko sahihi wakati wote 15. Hizi mvua kuwa makini ukiona inazidi tafuta mahali salama paki subiri ipungue kisha uendelee 16. Hakikisha hakuna gari lolote nyuma linakufuata kwa muda mrefu bila sababu,chukua namba kisha mpishe aende . ASANTE KWA KUSOMA UJUMBE NA KUUELEWA. credit David Atto
    Love
    1
    ·59 Views
  • Like
    Love
    Sad
    3
    ·87 Views
  • Like
    Love
    Haha
    6
    ·90 Views ·54 Views
  • ·9 Views