0 Comentários
·0 Compartilhamentos
·106 Visualizações
-
-
-
-
-
Jeshi la Magereza Tanzania limesema limesikitishwa na kauli iliyotajwa kuwa isiyo ya kiungwana iliyotolewa na Haji Manara kwa jeshi hilo baada ya mechi ya Yanga SC dhidi ya Tanzania Prisons katika uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Magereza imesema Manara alikuwa akizungumza na waandishi wa habari huku akiwa ameegesha gari lake mbele ya gari ya Jeshi la Magereza na kwamba kwakuwa alikuwa amelizuia gari hilo, aliombwa kusogeza gari lake na kuruhusu gari hilo liweze kupita lakini alitoa kauli isiyofaa.
Jeshi la Magereza Tanzania limesema limesikitishwa na kauli iliyotajwa kuwa isiyo ya kiungwana iliyotolewa na Haji Manara kwa jeshi hilo baada ya mechi ya Yanga SC dhidi ya Tanzania Prisons katika uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Magereza imesema Manara alikuwa akizungumza na waandishi wa habari huku akiwa ameegesha gari lake mbele ya gari ya Jeshi la Magereza na kwamba kwakuwa alikuwa amelizuia gari hilo, aliombwa kusogeza gari lake na kuruhusu gari hilo liweze kupita lakini alitoa kauli isiyofaa. -
Watu wanaweza kujaribu kuharibu picha yako na kuchafua utu wako, lakini hawawezi kuchukua matendo yako mema. Haijalishi jinsi wanavyokuelezea, bado utavutiwa na wale wanaokujua kikweli.Watu wanaweza kujaribu kuharibu picha yako na kuchafua utu wako, lakini hawawezi kuchukua matendo yako mema. Haijalishi jinsi wanavyokuelezea, bado utavutiwa na wale wanaokujua kikweli.
-
-
-
.“Nina wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu, najivunia kwa hilo, lakini jambo muhimu kwa vijana hawa ni utimamu wa kimwili ili kukabiliana na wapinzani. Nataka kuona wachezaji wangu wote wakiwa na utimamu wa kimwili unaowiana. Hiyo itanifanya niwe na timu iliyokamalika. Mwanzo nilihitaji kuimarisha kwanza utimamu wa kimwili kwa kila mchezaji. Najua sio rahisi katika kipindi hiki kifupi ambacho nimekuwa hapa. Lakini nina furaha vijana wangu kuwa vijana wangu wote wana utayari wa kuwa na mabadiliko” Sead Ramovic
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko.“Nina wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu, najivunia kwa hilo, lakini jambo muhimu kwa vijana hawa ni utimamu wa kimwili ili kukabiliana na wapinzani. Nataka kuona wachezaji wangu wote wakiwa na utimamu wa kimwili unaowiana. Hiyo itanifanya niwe na timu iliyokamalika. Mwanzo nilihitaji kuimarisha kwanza utimamu wa kimwili kwa kila mchezaji. Najua sio rahisi katika kipindi hiki kifupi ambacho nimekuwa hapa. Lakini nina furaha vijana wangu kuwa vijana wangu wote wana utayari wa kuwa na mabadiliko” Sead Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko