• 0 Kommentare ·0 Anteile ·106 Ansichten
  • 😳
    Like
    2
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·125 Ansichten
  • Kila wakati wakilisha sanaaa na mawazo huru
    Kila wakati wakilisha sanaaa na mawazo huru
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·295 Ansichten
  • Love
    Like
    5
    · 2 Kommentare ·0 Anteile ·192 Ansichten ·42
  • Like
    Love
    2
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·244 Ansichten
  • Jeshi la Magereza Tanzania limesema limesikitishwa na kauli iliyotajwa kuwa isiyo ya kiungwana iliyotolewa na Haji Manara kwa jeshi hilo baada ya mechi ya Yanga SC dhidi ya Tanzania Prisons katika uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam.

    Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Magereza imesema Manara alikuwa akizungumza na waandishi wa habari huku akiwa ameegesha gari lake mbele ya gari ya Jeshi la Magereza na kwamba kwakuwa alikuwa amelizuia gari hilo, aliombwa kusogeza gari lake na kuruhusu gari hilo liweze kupita lakini alitoa kauli isiyofaa.
    Jeshi la Magereza Tanzania limesema limesikitishwa na kauli iliyotajwa kuwa isiyo ya kiungwana iliyotolewa na Haji Manara kwa jeshi hilo baada ya mechi ya Yanga SC dhidi ya Tanzania Prisons katika uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Magereza imesema Manara alikuwa akizungumza na waandishi wa habari huku akiwa ameegesha gari lake mbele ya gari ya Jeshi la Magereza na kwamba kwakuwa alikuwa amelizuia gari hilo, aliombwa kusogeza gari lake na kuruhusu gari hilo liweze kupita lakini alitoa kauli isiyofaa.
    Like
    3
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·284 Ansichten
  • Watu wanaweza kujaribu kuharibu picha yako na kuchafua utu wako, lakini hawawezi kuchukua matendo yako mema. Haijalishi jinsi wanavyokuelezea, bado utavutiwa na wale wanaokujua kikweli.
    Watu wanaweza kujaribu kuharibu picha yako na kuchafua utu wako, lakini hawawezi kuchukua matendo yako mema. Haijalishi jinsi wanavyokuelezea, bado utavutiwa na wale wanaokujua kikweli.
    Like
    Love
    2
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·104 Ansichten
  • MANARA aliomba jeshi la mageraza msamaha
    MANARA aliomba jeshi la mageraza msamaha 🙏😂🥺
    Like
    Love
    2
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·154 Ansichten
  • Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·283 Ansichten
  • .“Nina wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu, najivunia kwa hilo, lakini jambo muhimu kwa vijana hawa ni utimamu wa kimwili ili kukabiliana na wapinzani. Nataka kuona wachezaji wangu wote wakiwa na utimamu wa kimwili unaowiana. Hiyo itanifanya niwe na timu iliyokamalika. Mwanzo nilihitaji kuimarisha kwanza utimamu wa kimwili kwa kila mchezaji. Najua sio rahisi katika kipindi hiki kifupi ambacho nimekuwa hapa. Lakini nina furaha vijana wangu kuwa vijana wangu wote wana utayari wa kuwa na mabadiliko” Sead Ramovic

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    .“Nina wachezaji wenye vipaji vya hali ya juu, najivunia kwa hilo, lakini jambo muhimu kwa vijana hawa ni utimamu wa kimwili ili kukabiliana na wapinzani. Nataka kuona wachezaji wangu wote wakiwa na utimamu wa kimwili unaowiana. Hiyo itanifanya niwe na timu iliyokamalika. Mwanzo nilihitaji kuimarisha kwanza utimamu wa kimwili kwa kila mchezaji. Najua sio rahisi katika kipindi hiki kifupi ambacho nimekuwa hapa. Lakini nina furaha vijana wangu kuwa vijana wangu wote wana utayari wa kuwa na mabadiliko” Sead Ramovic #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    Love
    3
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·707 Ansichten