0 Commentarios
·0 Acciones
·144 Views
-
Privaldinho
Yanga ndio timu pekee Tanzania hii yenye utajiri wa wachezaji wazawa wenye uwezo wa hali ya juu ambao wanaweza kucheza soka popote pale AFRIKA bila wasiwasi kutokana na ubora wao, uzoefu na mafunzo sahihi waliyopata kutoka kwa makocha bora waliopita Yanga.
Privaldinho ✍️ Yanga ndio timu pekee Tanzania hii yenye utajiri wa wachezaji wazawa wenye uwezo wa hali ya juu ambao wanaweza kucheza soka popote pale AFRIKA bila wasiwasi kutokana na ubora wao, uzoefu na mafunzo sahihi waliyopata kutoka kwa makocha bora waliopita Yanga.0 Commentarios ·0 Acciones ·251 Views -
-
-
-
-
-
-
-
Jeshi la Magereza Tanzania limesema limesikitishwa na kauli iliyotajwa kuwa isiyo ya kiungwana iliyotolewa na Haji Manara kwa jeshi hilo baada ya mechi ya Yanga SC dhidi ya Tanzania Prisons katika uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam.
Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Magereza imesema Manara alikuwa akizungumza na waandishi wa habari huku akiwa ameegesha gari lake mbele ya gari ya Jeshi la Magereza na kwamba kwakuwa alikuwa amelizuia gari hilo, aliombwa kusogeza gari lake na kuruhusu gari hilo liweze kupita lakini alitoa kauli isiyofaa.
Jeshi la Magereza Tanzania limesema limesikitishwa na kauli iliyotajwa kuwa isiyo ya kiungwana iliyotolewa na Haji Manara kwa jeshi hilo baada ya mechi ya Yanga SC dhidi ya Tanzania Prisons katika uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Magereza imesema Manara alikuwa akizungumza na waandishi wa habari huku akiwa ameegesha gari lake mbele ya gari ya Jeshi la Magereza na kwamba kwakuwa alikuwa amelizuia gari hilo, aliombwa kusogeza gari lake na kuruhusu gari hilo liweze kupita lakini alitoa kauli isiyofaa.