Upgrade to Pro

  • ·2 Views
  • Like
    1
    ·8 Views
  • ·2 Views
  • Love
    1
    ·8 Views
  • ·2 Views
  • ·8 Views
  • Shida nyingine imewasili hapa mjini,timu nyingi zimenza kunyanyasika zikikutana na Yanga.

    Chini ya makocha wawili waliopita (Nabi & Gamond) Yanga walicheza mpira wa pasi nyingi,Yanga walikuwa na utaratibu wa kuwatongoza wapinzani kwa pasi nyingi kabla ya kufunga magoli (TIP TAP FOOTBALL) ila chini ya Ramovic tunashuhudia pira “Gegen-Pressing” au kwa kizungu tunasema “Counter-pressing).

    -Yanga ya Ramovic haitaki pasi 10 kufika kwenye lango la mpinzani,badala yake inahitaji pasi tatu hadi nne kufika kwako na kukufunga

    -Yanga ya Ramovic haitaki back-pass wala Sideway pass,mchezaji akiiba mpira ni kwenda mbele Yanga wako direct sana

    -Yanga ya Ramovic haipigi cross nyingi za juu,badala yake mashambulizi mengi yanatokea pembeni kwa fullbacks na wingers kisha zinapigwa V-pass kwenye 12 na viungo washambuliaji wanafunga…..rejea magoli mawili ya Pacome leo

    JINSI GANI YANGA WANAWEKA MTEGO KABLA YA KUFANYA PRESSING?

    Mara nyingi tumezoea kuona mstari wa kwanza wa namba 9 na 10 ukianzisha pressing kwa walinzi wa timu pinzani,ila Yanga ya Ramovic,inasubiri wapinzani wafike kati kati ya uwanja kisha viungo wazuiaji (Aucho na Muda) wanaweka pressure kwa mchezaji mwenye mpira huku walinzi wa kati (Job na Bacca) wakisogea kati kati ya uwanja kukata passing option…..baada ya kuiba mpira unapigwa pembeni kwa mawinga na fullbacks kisha shambulizi linaanzia hapo

    Ndugu zangu huu mpira wa Yanga una magoli mengi ya “Turnovers” wapinzani wanafanyishwa makosa mengi na kuhadhibiwa.

    FT Yanga 5-0 Fountain Gate.

    Shida nyingine imewasili hapa mjini,timu nyingi zimenza kunyanyasika zikikutana na Yanga. Chini ya makocha wawili waliopita (Nabi & Gamond) Yanga walicheza mpira wa pasi nyingi,Yanga walikuwa na utaratibu wa kuwatongoza wapinzani kwa pasi nyingi kabla ya kufunga magoli (TIP TAP FOOTBALL) ila chini ya Ramovic tunashuhudia pira “Gegen-Pressing” au kwa kizungu tunasema “Counter-pressing). -Yanga ya Ramovic haitaki pasi 10 kufika kwenye lango la mpinzani,badala yake inahitaji pasi tatu hadi nne kufika kwako na kukufunga✍️ -Yanga ya Ramovic haitaki back-pass wala Sideway pass,mchezaji akiiba mpira ni kwenda mbele Yanga wako direct sana✍️ -Yanga ya Ramovic haipigi cross nyingi za juu,badala yake mashambulizi mengi yanatokea pembeni kwa fullbacks na wingers kisha zinapigwa V-pass kwenye 12 na viungo washambuliaji wanafunga…..rejea magoli mawili ya Pacome leo✍️ JINSI GANI YANGA WANAWEKA MTEGO KABLA YA KUFANYA PRESSING? Mara nyingi tumezoea kuona mstari wa kwanza wa namba 9 na 10 ukianzisha pressing kwa walinzi wa timu pinzani,ila Yanga ya Ramovic,inasubiri wapinzani wafike kati kati ya uwanja kisha viungo wazuiaji (Aucho na Muda) wanaweka pressure kwa mchezaji mwenye mpira huku walinzi wa kati (Job na Bacca) wakisogea kati kati ya uwanja kukata passing option…..baada ya kuiba mpira unapigwa pembeni kwa mawinga na fullbacks kisha shambulizi linaanzia hapo✍️ Ndugu zangu huu mpira wa Yanga una magoli mengi ya “Turnovers” wapinzani wanafanyishwa makosa mengi na kuhadhibiwa. FT Yanga 5-0 Fountain Gate.
    ·38 Views
  • Maombi na Dua kwa Jose Chameleone yanaendelea kama kawaida
    Maombi na Dua kwa Jose Chameleone yanaendelea kama kawaida 🙌
    ·16 Views
  • ·8 Views
  • "Hii ya kupiga pass tatu goli hii sio nzuri Wananchi wala sio uungwana huu, hii ya kutamanisha Mpinzani unamwachia mpira anakushambulia halafu unamrudisha kwa counter wala sio ustaarabu Wananchi, hata hii ya kufunga mabao yanafuatana sio afya sana mnawchanganya Mashabiki hawajui washangilie lipi.

    Hii ya Clement Mzize kufunga ama kuassist sio nzuri sana maana hatuelewi yeye ni Striker ama Kiungo? Hii ya Pacome na Stephen Aziz Ki kucheza kama hawataki, kufunga kwa starehe na kuassist wanapojisikia sio njema sana, Yanga kama kiwanja cha mgogoro tu, utakataa kununua ila utatamani kukimiliki.

    Hii habari ya tano tano wala sio ngeni ndani ya NBC Premier League, labda kama wewe ni Mgeni wa Ligi, hii ishataka kuanza kuwa mbaya itaanza sasa hivi habari ya Udhamini hii" - Farhan JR, Mchambuzi.

    "Hii ya kupiga pass tatu goli hii sio nzuri Wananchi wala sio uungwana huu, hii ya kutamanisha Mpinzani unamwachia mpira anakushambulia halafu unamrudisha kwa counter wala sio ustaarabu Wananchi, hata hii ya kufunga mabao yanafuatana sio afya sana mnawchanganya Mashabiki hawajui washangilie lipi. Hii ya Clement Mzize kufunga ama kuassist sio nzuri sana maana hatuelewi yeye ni Striker ama Kiungo? Hii ya Pacome na Stephen Aziz Ki kucheza kama hawataki, kufunga kwa starehe na kuassist wanapojisikia sio njema sana, Yanga kama kiwanja cha mgogoro tu, utakataa kununua ila utatamani kukimiliki. Hii habari ya tano tano wala sio ngeni ndani ya NBC Premier League, labda kama wewe ni Mgeni wa Ligi, hii ishataka kuanza kuwa mbaya itaanza sasa hivi habari ya Udhamini hii😀" - Farhan JR, Mchambuzi.
    ·13 Views