UCHAMBUZI WA GEORGE AMBANGILE.
.
.
.
✍🏻Ni ile mechi ambayo kama Traffic barabarani anaita magari ya upande mmoja tu , ni jinsi Yanga walivyoitawala kwa kila kitu kuanzia mwanzo mpaka mwisho
1: Walikuwa imara zaidi kwenye mipambano yao hasa kuwania mpira
2: Walikuwa makini na pasi zao
3. walikuwa wanajua muda gani wa kuharakisha na muda gani wa kutulia kwanza na umiliki wa mpira
4: Idadi nzuri ya wachezaji wanaoenda kushambulia
5: Wanapora mipira katika maeneo sahihi na muda muafaka wa kufanya hivyo ( angalia hata goli la kwanza , turn over nzuri )
6: Ufanisi mbele ya goli ( kama sio umakini wa John Noble basi hata zaidi ya matano leo )
✍🏻Positions za Boka na Kibwana zilikuwa zinasaidia sana kufungua space ya nje na ndani kwa Pacome na Mzize ... kivipi ?
1: Boka : anakuwa kama winga inamruhusu Mzize kuwa ndani katikati ya fullback wa kulia na beki wa kati wa Fountain Gate ( maana yake anakuwa karibu sana goli kabla ya kubadilishiwa nafasi kucheza namba 9 )
2: Kibwana : Anakuwa anaingia ndani mara kadhaa karibu na Aziz Ki ( hasa kipindi cha kwanza na mara kadhaa kipindi cha pili ) inaruhusu Pacome kuwa na space kubwa upande wa kulia
✍🏻Fountain Gate , wanajua kabisa leo acha ipite wafikirie mechi nyingine , mlima ulikuwa mrefu sana kwao , na hawakujisaidia wenyewe na set up yao : Spaces nyingi wanaacha , wakiwa nyuma pia hawa track runners , wanachelewa kufika kwenye actions za mpira , wakiupata mpira mbele wanakuwa wachache kiasi kwamba mpira unapotea na kurudi kwao tena haraka .
NOTE
1: Aziz KI playmaking , anachagua positions tofauti za kuwa huru kupokea mpira
2: Ambundo akiwa na mali anaitunza lakini hana options nzuri mbele yake
3: Kibwana na Boka good game
4: John Noble kapunguza idadi ya magoli , saves nzuri kadhaa
5: Game ya Mzize inazidi kuwa bora , hasa decision making
6: Pacome , kirahisi angepiga hat trick leo kama sio umahiri wa Noble. Dribbling na ufundi wake
FT: Yanga SC 5-0 Fountain Gate
UCHAMBUZI WA GEORGE AMBANGILE.
.
.
.
✍🏻Ni ile mechi ambayo kama Traffic barabarani anaita magari ya upande mmoja tu , ni jinsi Yanga walivyoitawala kwa kila kitu kuanzia mwanzo mpaka mwisho
1: Walikuwa imara zaidi kwenye mipambano yao hasa kuwania mpira
2: Walikuwa makini na pasi zao
3. walikuwa wanajua muda gani wa kuharakisha na muda gani wa kutulia kwanza na umiliki wa mpira
4: Idadi nzuri ya wachezaji wanaoenda kushambulia
5: Wanapora mipira katika maeneo sahihi na muda muafaka wa kufanya hivyo ( angalia hata goli la kwanza , turn over nzuri )
6: Ufanisi mbele ya goli ( kama sio umakini wa John Noble basi hata zaidi ya matano leo )
✍🏻Positions za Boka na Kibwana zilikuwa zinasaidia sana kufungua space ya nje na ndani kwa Pacome na Mzize ... kivipi ?
1: Boka : anakuwa kama winga inamruhusu Mzize kuwa ndani katikati ya fullback wa kulia na beki wa kati wa Fountain Gate ( maana yake anakuwa karibu sana goli kabla ya kubadilishiwa nafasi kucheza namba 9 )
2: Kibwana : Anakuwa anaingia ndani mara kadhaa karibu na Aziz Ki ( hasa kipindi cha kwanza na mara kadhaa kipindi cha pili ) inaruhusu Pacome kuwa na space kubwa upande wa kulia
✍🏻Fountain Gate , wanajua kabisa leo acha ipite wafikirie mechi nyingine , mlima ulikuwa mrefu sana kwao , na hawakujisaidia wenyewe na set up yao : Spaces nyingi wanaacha , wakiwa nyuma pia hawa track runners , wanachelewa kufika kwenye actions za mpira , wakiupata mpira mbele wanakuwa wachache kiasi kwamba mpira unapotea na kurudi kwao tena haraka .
NOTE
1: Aziz KI playmaking , anachagua positions tofauti za kuwa huru kupokea mpira 🔥
2: Ambundo akiwa na mali anaitunza lakini hana options nzuri mbele yake
3: Kibwana na Boka good game 🔥
4: John Noble kapunguza idadi ya magoli , saves nzuri kadhaa
5: Game ya Mzize inazidi kuwa bora , hasa decision making 🔥
6: Pacome , kirahisi angepiga hat trick leo kama sio umahiri wa Noble. Dribbling na ufundi wake 🔥
FT: Yanga SC 5-0 Fountain Gate