• "Hii ya kupiga pass tatu goli hii sio nzuri Wananchi wala sio uungwana huu, hii ya kutamanisha Mpinzani unamwachia mpira anakushambulia halafu unamrudisha kwa counter wala sio ustaarabu Wananchi, hata hii ya kufunga mabao yanafuatana sio afya sana mnawchanganya Mashabiki hawajui washangilie lipi.

    Hii ya Clement Mzize kufunga ama kuassist sio nzuri sana maana hatuelewi yeye ni Striker ama Kiungo? Hii ya Pacome na Stephen Aziz Ki kucheza kama hawataki, kufunga kwa starehe na kuassist wanapojisikia sio njema sana, Yanga kama kiwanja cha mgogoro tu, utakataa kununua ila utatamani kukimiliki.

    Hii habari ya tano tano wala sio ngeni ndani ya NBC Premier League, labda kama wewe ni Mgeni wa Ligi, hii ishataka kuanza kuwa mbaya itaanza sasa hivi habari ya Udhamini hii" - Farhan JR, Mchambuzi.

    "Hii ya kupiga pass tatu goli hii sio nzuri Wananchi wala sio uungwana huu, hii ya kutamanisha Mpinzani unamwachia mpira anakushambulia halafu unamrudisha kwa counter wala sio ustaarabu Wananchi, hata hii ya kufunga mabao yanafuatana sio afya sana mnawchanganya Mashabiki hawajui washangilie lipi. Hii ya Clement Mzize kufunga ama kuassist sio nzuri sana maana hatuelewi yeye ni Striker ama Kiungo? Hii ya Pacome na Stephen Aziz Ki kucheza kama hawataki, kufunga kwa starehe na kuassist wanapojisikia sio njema sana, Yanga kama kiwanja cha mgogoro tu, utakataa kununua ila utatamani kukimiliki. Hii habari ya tano tano wala sio ngeni ndani ya NBC Premier League, labda kama wewe ni Mgeni wa Ligi, hii ishataka kuanza kuwa mbaya itaanza sasa hivi habari ya Udhamini hii😀" - Farhan JR, Mchambuzi.
    0 Kommentare ·0 Anteile ·489 Ansichten
  • Ndani ya kikosi cha klabu ya Yanga SC kuna Watu wafuatao:

    - Pacome ana mabao 5 na "Assists" 4
    - Mzize ana mabao 6 na "Assists" 4
    - Dube ana mabao 5 na "Assists" 2
    - Aziz Ki ana mabao 2 na "Assists" 4.

    NB : Kama kuna niliyemsahau, muongeze.

    Ndani ya kikosi cha klabu ya Yanga SC kuna Watu wafuatao: - Pacome ana mabao 5 na "Assists" 4 - Mzize ana mabao 6 na "Assists" 4 - Dube ana mabao 5 na "Assists" 2 - Aziz Ki ana mabao 2 na "Assists" 4. NB : Kama kuna niliyemsahau, muongeze.
    0 Kommentare ·0 Anteile ·130 Ansichten
  • Sio Afrika Mashariki na kati bali ni Nchini Zimbabwe.
    Sio Afrika Mashariki na kati bali ni Nchini Zimbabwe.
    0 Kommentare ·0 Anteile ·131 Ansichten
  • Bwana YESU amenifanyia nafasi
    Bwana YESU amenifanyia nafasi
    0 Kommentare ·0 Anteile ·493 Ansichten
  • 0 Kommentare ·0 Anteile ·239 Ansichten
  • 🤓🤓😀😁😁
    0 Kommentare ·0 Anteile ·255 Ansichten
  • Like
    Haha
    Love
    9
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·301 Ansichten ·177
  • 0 Kommentare ·0 Anteile ·244 Ansichten
  • 0 Kommentare ·0 Anteile ·259 Ansichten
  • 0 Kommentare ·0 Anteile ·256 Ansichten