Mise à niveau vers Pro

  • MTENJE ALBANO ameiponza timu yake
    MTENJE ALBANO ameiponza timu yake
    Like
    Haha
    Wow
    5
    4 Commentaires ·179 Vue ·1 Parts
  • ·5 Vue
  • ·10 Vue
  • ·10 Vue
  • UCHAMBUZI WA GEORGE AMBANGILE.
    .
    .
    .

    ✍🏻Ni ile mechi ambayo kama Traffic barabarani anaita magari ya upande mmoja tu , ni jinsi Yanga walivyoitawala kwa kila kitu kuanzia mwanzo mpaka mwisho

    1: Walikuwa imara zaidi kwenye mipambano yao hasa kuwania mpira

    2: Walikuwa makini na pasi zao

    3. walikuwa wanajua muda gani wa kuharakisha na muda gani wa kutulia kwanza na umiliki wa mpira

    4: Idadi nzuri ya wachezaji wanaoenda kushambulia

    5: Wanapora mipira katika maeneo sahihi na muda muafaka wa kufanya hivyo ( angalia hata goli la kwanza , turn over nzuri )

    6: Ufanisi mbele ya goli ( kama sio umakini wa John Noble basi hata zaidi ya matano leo )

    ✍🏻Positions za Boka na Kibwana zilikuwa zinasaidia sana kufungua space ya nje na ndani kwa Pacome na Mzize ... kivipi ?

    1: Boka : anakuwa kama winga inamruhusu Mzize kuwa ndani katikati ya fullback wa kulia na beki wa kati wa Fountain Gate ( maana yake anakuwa karibu sana goli kabla ya kubadilishiwa nafasi kucheza namba 9 )

    2: Kibwana : Anakuwa anaingia ndani mara kadhaa karibu na Aziz Ki ( hasa kipindi cha kwanza na mara kadhaa kipindi cha pili ) inaruhusu Pacome kuwa na space kubwa upande wa kulia

    ✍🏻Fountain Gate , wanajua kabisa leo acha ipite wafikirie mechi nyingine , mlima ulikuwa mrefu sana kwao , na hawakujisaidia wenyewe na set up yao : Spaces nyingi wanaacha , wakiwa nyuma pia hawa track runners , wanachelewa kufika kwenye actions za mpira , wakiupata mpira mbele wanakuwa wachache kiasi kwamba mpira unapotea na kurudi kwao tena haraka .

    NOTE

    1: Aziz KI playmaking , anachagua positions tofauti za kuwa huru kupokea mpira

    2: Ambundo akiwa na mali anaitunza lakini hana options nzuri mbele yake

    3: Kibwana na Boka good game

    4: John Noble kapunguza idadi ya magoli , saves nzuri kadhaa

    5: Game ya Mzize inazidi kuwa bora , hasa decision making

    6: Pacome , kirahisi angepiga hat trick leo kama sio umahiri wa Noble. Dribbling na ufundi wake

    FT: Yanga SC 5-0 Fountain Gate
    UCHAMBUZI WA GEORGE AMBANGILE. . . . ✍🏻Ni ile mechi ambayo kama Traffic barabarani anaita magari ya upande mmoja tu , ni jinsi Yanga walivyoitawala kwa kila kitu kuanzia mwanzo mpaka mwisho 1: Walikuwa imara zaidi kwenye mipambano yao hasa kuwania mpira 2: Walikuwa makini na pasi zao 3. walikuwa wanajua muda gani wa kuharakisha na muda gani wa kutulia kwanza na umiliki wa mpira 4: Idadi nzuri ya wachezaji wanaoenda kushambulia 5: Wanapora mipira katika maeneo sahihi na muda muafaka wa kufanya hivyo ( angalia hata goli la kwanza , turn over nzuri ) 6: Ufanisi mbele ya goli ( kama sio umakini wa John Noble basi hata zaidi ya matano leo ) ✍🏻Positions za Boka na Kibwana zilikuwa zinasaidia sana kufungua space ya nje na ndani kwa Pacome na Mzize ... kivipi ? 1: Boka : anakuwa kama winga inamruhusu Mzize kuwa ndani katikati ya fullback wa kulia na beki wa kati wa Fountain Gate ( maana yake anakuwa karibu sana goli kabla ya kubadilishiwa nafasi kucheza namba 9 ) 2: Kibwana : Anakuwa anaingia ndani mara kadhaa karibu na Aziz Ki ( hasa kipindi cha kwanza na mara kadhaa kipindi cha pili ) inaruhusu Pacome kuwa na space kubwa upande wa kulia ✍🏻Fountain Gate , wanajua kabisa leo acha ipite wafikirie mechi nyingine , mlima ulikuwa mrefu sana kwao , na hawakujisaidia wenyewe na set up yao : Spaces nyingi wanaacha , wakiwa nyuma pia hawa track runners , wanachelewa kufika kwenye actions za mpira , wakiupata mpira mbele wanakuwa wachache kiasi kwamba mpira unapotea na kurudi kwao tena haraka . NOTE 1: Aziz KI playmaking , anachagua positions tofauti za kuwa huru kupokea mpira 🔥 2: Ambundo akiwa na mali anaitunza lakini hana options nzuri mbele yake 3: Kibwana na Boka good game 🔥 4: John Noble kapunguza idadi ya magoli , saves nzuri kadhaa 5: Game ya Mzize inazidi kuwa bora , hasa decision making 🔥 6: Pacome , kirahisi angepiga hat trick leo kama sio umahiri wa Noble. Dribbling na ufundi wake 🔥 FT: Yanga SC 5-0 Fountain Gate
    ·38 Vue
  • ·10 Vue
  • Tanzania nchi yangu
    Tanzania nchi yangu 🇹🇿🇹🇿😂😂😂🙌🙌
    ·66 Vue
  • Like
    1
    ·56 Vue
  • ·5 Vue
  • Yay
    1
    ·4 Vue