• .20 - 25 = Kama ni kielimu hujafikia malengo yako, sitisha mara moja tafuta kazi/biashara ya kufanya, pigana kufa na kupona ili kama vipi urudi shule kwa pesa yako.

    25 - 30 = Hakikisha uwe na angalau KAZI RASMI kama umeajiriwa au umejiajiri au una shughuli yeyote ya kukuingizia kipato.

    30 - 35 = Uwe na angalau kama sio nyumba basi kiwanja, tena ujitahidi uwe umeoa/umeolewa. Ni vema ukiwa na familia, kwa maana ya kuwa na watoto kama Mungu kakuwezesha.

    35 - 40 = Ni wakati kiwanja kiwe kimejengwa na kama ni tayari basi nenda step nyingine ya kumiliki kama ni Gari au kuongeza nyumba na hakikisha vinaenda sambamba na ongezeko la familia. Hapa inabidi upambane sana kuweka misingi.

    40 - 45 = Ni umri wa masahihisho, kama hukuwahi kununua kiwanja, kama hukujenga basi hapa pambana afe kipa afe beki, ni umri wa masahihisho. Ila kwa wale ambao wameenda vizuri huko nyuma basi hapa watoto wapo kwenye level tofauti za elimu, kwahiyo ni muda wa kuwawekea malengo ya kimasomo watoto wao.

    45 - 50 = Kwa yule ambae hakukosea huko nyuma basi umri huu ni wa kuanza kuwatengenezea mazingira watoto wako, kama ni shughuli zako ni kuanza kuwahusisha, huku wewe ukijiweka pembeni taratibu na kuangalia fursa za umri wako. Lakini kwa wale waliokosea hapa ni kupitia zile hatua za 35 - 40.

    50 - 60 = Ni kujiandaa na maisha mapya ya kustaafu au kujiweka mbali na kazi zinazotumia nguvu au akili nyingi

    60 - 70 = Kula matunda yako huku ukiangalia misingi ya wanao inaendaje.

    70 - 80 = Kula matunda

    80 - nk = Umri wa kusubiria mauti


    "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" '"" "" "''''''''''''''''''
    .20 - 25 = Kama ni kielimu hujafikia malengo yako, sitisha mara moja tafuta kazi/biashara ya kufanya, pigana kufa na kupona ili kama vipi urudi shule kwa pesa yako. 25 - 30 = Hakikisha uwe na angalau KAZI RASMI kama umeajiriwa au umejiajiri au una shughuli yeyote ya kukuingizia kipato. 30 - 35 = Uwe na angalau kama sio nyumba basi kiwanja, tena ujitahidi uwe umeoa/umeolewa. Ni vema ukiwa na familia, kwa maana ya kuwa na watoto kama Mungu kakuwezesha. 35 - 40 = Ni wakati kiwanja kiwe kimejengwa na kama ni tayari basi nenda step nyingine ya kumiliki kama ni Gari au kuongeza nyumba na hakikisha vinaenda sambamba na ongezeko la familia. Hapa inabidi upambane sana kuweka misingi. 40 - 45 = Ni umri wa masahihisho, kama hukuwahi kununua kiwanja, kama hukujenga basi hapa pambana afe kipa afe beki, ni umri wa masahihisho. Ila kwa wale ambao wameenda vizuri huko nyuma basi hapa watoto wapo kwenye level tofauti za elimu, kwahiyo ni muda wa kuwawekea malengo ya kimasomo watoto wao. 45 - 50 = Kwa yule ambae hakukosea huko nyuma basi umri huu ni wa kuanza kuwatengenezea mazingira watoto wako, kama ni shughuli zako ni kuanza kuwahusisha, huku wewe ukijiweka pembeni taratibu na kuangalia fursa za umri wako. Lakini kwa wale waliokosea hapa ni kupitia zile hatua za 35 - 40. 50 - 60 = Ni kujiandaa na maisha mapya ya kustaafu au kujiweka mbali na kazi zinazotumia nguvu au akili nyingi 60 - 70 = Kula matunda yako huku ukiangalia misingi ya wanao inaendaje. 70 - 80 = Kula matunda 80 - nk = Umri wa kusubiria mauti "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" "" '"" "" "''''''''''''''''''
    Like
    Love
    Wow
    5
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·383 مشاهدة
  • Ni ukaribisho wa Mpenzi mpya kwa Harmonize au vipi !!!!. Mwamba kafuta machapisho yote kisha kusasisha emoj hizo.

    Ni ukaribisho wa Mpenzi mpya kwa Harmonize au vipi !!!!. Mwamba kafuta machapisho yote kisha kusasisha emoj hizo.
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·747 مشاهدة
  • Kutoka kwa Rapa bora kwa sasa hivi na mwenye mvuto kwa maneno ya Juma Lokole

    "Lile cheko baada ya kujua watu wangu wa nguvu wanaenjoy ngoma kali kutoka kwa EP,Kama hujapata nafasi ya kusikiliza pata muda bonyeza Link juu ya Bio

    kwetu sigara inawashwa na Pilipili,Mama alinifunza vitu viwili kutumia Pesa kutumia akili " - Rose Ndauka, Mwigizaji wa filamu wa muda mrefu na Msanii wa muziki wa Hip-hop kwa sasa hivi.

    Kutoka kwa Rapa bora kwa sasa hivi na mwenye mvuto kwa maneno ya Juma Lokole 😂 "Lile cheko baada ya kujua watu wangu wa nguvu wanaenjoy ngoma kali kutoka kwa EP,Kama hujapata nafasi ya kusikiliza pata muda bonyeza Link juu ya Bio kwetu sigara inawashwa na Pilipili,Mama alinifunza vitu viwili kutumia Pesa kutumia akili 🔥🔥🔥🔥" - Rose Ndauka, Mwigizaji wa filamu wa muda mrefu na Msanii wa muziki wa Hip-hop kwa sasa hivi.
    Love
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·249 مشاهدة
  • Google wamechapia au ni hakika asilimia 100
    Google wamechapia au ni hakika asilimia 100 😂😆
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·125 مشاهدة
  • 😂
    Like
    1
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·128 مشاهدة
  • Msimamo wa Wachezaji wenye idadi kubwa ya mabao Ligi Kuu Tanzania Bara.
    Msimamo wa Wachezaji wenye idadi kubwa ya mabao Ligi Kuu Tanzania Bara.
    0 التعليقات ·0 المشاركات ·198 مشاهدة
  • WALAU UNAWEZA KUCHUKUA KITU KUELEKEA 2025

    1. Peleka watoto shule unazoweza kumudu ada yake, kimsingi shule kuwa na gharama kubwa hakumaanishi inakuhakikishia ufaulu mzuri Kwa watoto. Hakikisha tu wanahudhuria vizuri shule yoyote watafaulu tu.

    2. Panga nyumba au chumba ambacho utaweza kulipia kwa urahisi. Usiishi katika nyumba kubwa au eneo ambalo unahangaika kulipa kila mwaka Kwa jasho na damu.

    3. Panga maisha yako na uishi kulingana na uwezo weko. Weka akiba zaidi na utumie kidogo.

    4. Kuna wanawake mnanunua chakula cha watoto wenu kila asubuhi kabla ya kwenda shuleni au hata kwa familia nzima, hivi hamjui kuwa ni nafuu mno kupika nyumbani?

    5. Watu wengine hamna pesa nyingi, lakini mnalipia DSTV na AZAM TV nyumbani vifurushi vikubwa na hamshindi hapo, Lipia vifurushi vya kawaida na siyo lazima Kila mwezi, kama ni mlevi wa mpira wakati mwingine kaangalie mpira na washkaji bar au vibanda umiza.

    6. Kula milo yenye afya na linda familia yako dhidi ya mbu uepuke kwenda hospitali hovyo.

    7. Nunua Mahitaji ya chakula kwenye masoko makubwa Kwa bei nafuu na tumia vizuri msimu ya vyakula tofauti na matunda kwa kuwa ubunifu kuunda milo inayoendana na Chakula Cha msimu huo.

    8.Usiige maisha ya jirani yako, hujui kipato chake ni kikubwa kiasi gani na anapataje ama mume wake ni 'mtu mkubwa'

    9. Usifuatishe mitindo ya uvaaji kadiri inavyobadilika, nunua mavazi pale unapohitaji tu siyo style zinapokuhitaji. Weka nywele zako nadhifu, suka style rahisi inayokupendeza.

    10. Punguza idadi ya watu wanaokuzunguka... Chagua marafiki wa kweli wachache wenye mambo ya msingi na wewe.

    11. Juu ya vitu vyote tuweke hofu ya Mungu, uadilifu na tusiwe wavivu wa kusali na kumuomba Mwenyezi Mungu Jaalia.

    12. Kupanga ni ufunguo wa mambo mengi, UKIFELI KUPANGA UNAPANGA KUFELI

    13. Usifanye mambo yanayozidi bajeti yako safari hii, hakuna tuzo inayotolewa kwa Familia Bora iliyovaa nguo za gharama kubwa, iliyochangia michango mingi ya sherehe au iliyokula bata sana Kwa mwaka.

    14. Usifanye ushindani na mtu yeyote kwenye suala lolote bali shindana na mipango yako.

    HERI YA MWAKA MPYA
    WALAU UNAWEZA KUCHUKUA KITU KUELEKEA 2025 1. Peleka watoto shule unazoweza kumudu ada yake, kimsingi shule kuwa na gharama kubwa hakumaanishi inakuhakikishia ufaulu mzuri Kwa watoto. Hakikisha tu wanahudhuria vizuri shule yoyote watafaulu tu. 2. Panga nyumba au chumba ambacho utaweza kulipia kwa urahisi. Usiishi katika nyumba kubwa au eneo ambalo unahangaika kulipa kila mwaka Kwa jasho na damu. 3. Panga maisha yako na uishi kulingana na uwezo weko. Weka akiba zaidi na utumie kidogo. 4. Kuna wanawake mnanunua chakula cha watoto wenu kila asubuhi kabla ya kwenda shuleni au hata kwa familia nzima, hivi hamjui kuwa ni nafuu mno kupika nyumbani? 5. Watu wengine hamna pesa nyingi, lakini mnalipia DSTV na AZAM TV nyumbani vifurushi vikubwa na hamshindi hapo, Lipia vifurushi vya kawaida na siyo lazima Kila mwezi, kama ni mlevi wa mpira wakati mwingine kaangalie mpira na washkaji bar au vibanda umiza. 6. Kula milo yenye afya na linda familia yako dhidi ya mbu uepuke kwenda hospitali hovyo. 7. Nunua Mahitaji ya chakula kwenye masoko makubwa Kwa bei nafuu na tumia vizuri msimu ya vyakula tofauti na matunda kwa kuwa ubunifu kuunda milo inayoendana na Chakula Cha msimu huo. 8.Usiige maisha ya jirani yako, hujui kipato chake ni kikubwa kiasi gani na anapataje ama mume wake ni 'mtu mkubwa' 9. Usifuatishe mitindo ya uvaaji kadiri inavyobadilika, nunua mavazi pale unapohitaji tu siyo style zinapokuhitaji. Weka nywele zako nadhifu, suka style rahisi inayokupendeza. 10. Punguza idadi ya watu wanaokuzunguka... Chagua marafiki wa kweli wachache wenye mambo ya msingi na wewe. 11. Juu ya vitu vyote tuweke hofu ya Mungu, uadilifu na tusiwe wavivu wa kusali na kumuomba Mwenyezi Mungu Jaalia. 12. Kupanga ni ufunguo wa mambo mengi, UKIFELI KUPANGA UNAPANGA KUFELI 13. Usifanye mambo yanayozidi bajeti yako safari hii, hakuna tuzo inayotolewa kwa Familia Bora iliyovaa nguo za gharama kubwa, iliyochangia michango mingi ya sherehe au iliyokula bata sana Kwa mwaka. 14. Usifanye ushindani na mtu yeyote kwenye suala lolote bali shindana na mipango yako. HERI YA MWAKA MPYA
    Like
    Love
    Sad
    4
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·1كيلو بايت مشاهدة
  • 0 التعليقات ·0 المشاركات ·268 مشاهدة
  • Like
    Love
    Haha
    7
    · 0 التعليقات ·0 المشاركات ·274 مشاهدة ·101
  • Love
    Haha
    Wow
    4
    · 1 التعليقات ·0 المشاركات ·276 مشاهدة ·104