Αναζήτηση αποτελεσμάτων
Δες όλα τα αποτελέσματα
Socialpop Socialpop Socialpop
Κεντρική Σελίδα
Ομάδες
Σελίδες
Marketplace
δες περισσότερα..
Ομάδες Σελίδες Marketplace Events Blogs Χρηματοδότηση Προσφορές Εργασίες Courses Forum Ταινίες
Γίνε Μέλος
Σύνδεση Εγγραφή
Theme Switcher
Night Mode
Κατάλογος
Χρήστες
Δημοσιεύσεις
Σελίδες
Ομάδες
Events
  • NELIUD COSIAH @nelly2020 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-31 10:23:50 ·
    Another year of success and happiness had passed. With every new year comes greater challenges and obstacles in life. I wish you courage, hope and faith to overcome all of the hurdles you may face. May you have a great year and a wonderful time ahead.
    Happy New Year, everyone.
    Another year of success and happiness had passed. With every new year comes greater challenges and obstacles in life. I wish you courage, hope and faith to overcome all of the hurdles you may face. May you have a great year and a wonderful time ahead. Happy New Year, everyone.
    Like
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·1χλμ. Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • NELIUD COSIAH @nelly2020 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-31 10:37:37 ·
    “Ndugu zangu mashabiki, Wanachama na Wapenzi wa Klabu ya Yanga, naweza Kutumia maneno mengi kweli, naweza kutumia kila aina ya Sanaa ambayo Mungu amenijaalia kufikisha ujumbe huu mkafahamu umuhimu mkubwa wa mchezo huu, lakini ukweli ambao utaendelea kubakia na hapa nawaomba sana Wanachama wa Yanga Sc, huu ukweli ambao uko mbele yetu unapaswa kutupa Hamasa kubwa kuliko vitu vyote.

    Ukweli ambao hatuwezi kuuepuka ni ukweli huu unaoumiza wa hali yetu kwenye ligi ya Mabingwa msimu huu hasa tunapolitazama Kundi letu, haipendezi na haivutii lakini ndiyo ukweli, sisi tuna alama moja tu kwenye michezo mitatu, pia tunashika nafasi ya mwisho kwenye kundi letu, huu ni ukweli Mchungu ambao unapaswa kuwa Hamasa Namba moja kwa kila Mwanayanga kuelekea Mchezo wetu dhidi ya Tp Mazembe Jumamosi hii” Ally Kamwe.

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    “Ndugu zangu mashabiki, Wanachama na Wapenzi wa Klabu ya Yanga, naweza Kutumia maneno mengi kweli, naweza kutumia kila aina ya Sanaa ambayo Mungu amenijaalia kufikisha ujumbe huu mkafahamu umuhimu mkubwa wa mchezo huu, lakini ukweli ambao utaendelea kubakia na hapa nawaomba sana Wanachama wa Yanga Sc, huu ukweli ambao uko mbele yetu unapaswa kutupa Hamasa kubwa kuliko vitu vyote. Ukweli ambao hatuwezi kuuepuka ni ukweli huu unaoumiza wa hali yetu kwenye ligi ya Mabingwa msimu huu hasa tunapolitazama Kundi letu, haipendezi na haivutii lakini ndiyo ukweli, sisi tuna alama moja tu kwenye michezo mitatu, pia tunashika nafasi ya mwisho kwenye kundi letu, huu ni ukweli Mchungu ambao unapaswa kuwa Hamasa Namba moja kwa kila Mwanayanga kuelekea Mchezo wetu dhidi ya Tp Mazembe Jumamosi hii” Ally Kamwe. #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·2χλμ. Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • NELIUD COSIAH @nelly2020
    2024-12-31 10:38:42 ·
    Tumefika hapa Kwenye mchezo wetu wa nne dhidi ya TP Mazembe tukiwa na alama 1, mimi naamini kama siyo upendo wake Mwenyezi Mungu pengine leo tusingefanya mkutano huu tukiwa na matumaini ya kufuzu kwenye kundi letu, na hii Wanayanga tunapaswa kuielewa, Siyo watu wote Duniani ambao Mwenyezi Mungu anawapa nafasi ya pili kwenye maisha yao.

    Sisi Mwenyezi Mungu ametupa nafasi ya pili ya kujiuliza na kufanya vizuri, si kila mtu anapata baraka hii, ukweli huu uliambatana na kejeli, dharau na kila aina ya neno baya kwetu, hakusemwa Eng Hersi pekee, hakusemwa Ally Kamwe pekee, Ilikuwa ni Fedheha kwa Wanayanga wote, Kufungwa kubaya ndugu zangu, kunaumiza, nawaeleza haya yote ili tuweze kutambua ni ipi inapaswa kuwa Hamasa namba moja kwetu sisi, ili tuelewe ni kitu gani kinatukabili siku ya Jumamosi, mimi ukiniuliza mechi hii siyo mechi ya kawaida, Hii ni Mechi iliyoshikilia Hatima yetu, tukipoteza Mchezo huu tutakuwa tumepoteza matumaini yote” Ally Kamwe.

    #timuyawananchi
    #daimambelenyumamwiko
    Tumefika hapa Kwenye mchezo wetu wa nne dhidi ya TP Mazembe tukiwa na alama 1, mimi naamini kama siyo upendo wake Mwenyezi Mungu pengine leo tusingefanya mkutano huu tukiwa na matumaini ya kufuzu kwenye kundi letu, na hii Wanayanga tunapaswa kuielewa, Siyo watu wote Duniani ambao Mwenyezi Mungu anawapa nafasi ya pili kwenye maisha yao. Sisi Mwenyezi Mungu ametupa nafasi ya pili ya kujiuliza na kufanya vizuri, si kila mtu anapata baraka hii, ukweli huu uliambatana na kejeli, dharau na kila aina ya neno baya kwetu, hakusemwa Eng Hersi pekee, hakusemwa Ally Kamwe pekee, Ilikuwa ni Fedheha kwa Wanayanga wote, Kufungwa kubaya ndugu zangu, kunaumiza, nawaeleza haya yote ili tuweze kutambua ni ipi inapaswa kuwa Hamasa namba moja kwetu sisi, ili tuelewe ni kitu gani kinatukabili siku ya Jumamosi, mimi ukiniuliza mechi hii siyo mechi ya kawaida, Hii ni Mechi iliyoshikilia Hatima yetu, tukipoteza Mchezo huu tutakuwa tumepoteza matumaini yote” Ally Kamwe. #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko
    Like
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·1χλμ. Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • NELIUD COSIAH @nelly2020 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-31 10:40:21 ·
    Maafisa wa Marekani wamesema mdukuzi wanayedai anafadhiliwa na serikali ya China ameingia katika mifumo ya Wizara ya fedha ya Marekani na kuvifikia vituo kadhaa vya kazi vya wafanyakazi na baadhi ya nyaraka ambazo hazijaainishwa mwanzoni mwa mwezi Desemba.

    Akizungumza na BBC, Msemaji wa ubalozi wa China amesema shutuma hizo ni sehemu ya mashambulizi yaliyolenga kuharibu sifa ya China.
    Maafisa wa Marekani wamesema mdukuzi wanayedai anafadhiliwa na serikali ya China ameingia katika mifumo ya Wizara ya fedha ya Marekani na kuvifikia vituo kadhaa vya kazi vya wafanyakazi na baadhi ya nyaraka ambazo hazijaainishwa mwanzoni mwa mwezi Desemba. Akizungumza na BBC, Msemaji wa ubalozi wa China amesema shutuma hizo ni sehemu ya mashambulizi yaliyolenga kuharibu sifa ya China.
    Like
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·193 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Meshack Maduka @Zx344asd στείλε αίτημα φιλίας
    2024-12-31 11:19:29 ·

    Meshack simon maduka

    To boost my bussines so that i can buy material to make things like tabel,chair,window
    To boost my bussines so that i can buy material to make things like tabel,chair,window
    Tsh0 Raised of Tsh568456000
    0%
    0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·1χλμ. Views ·0 Donations
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • NELIUD COSIAH @nelly2020 πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-31 12:49:29 ·
    Mwishoni kabisa mwa mwaka 2024 Yanga ilipoteza ubora wake, Yanga ilifukuza Kocha wake, Yanga ikaleta Kocha mpya, Yanga ikaanza kujitafuta, Yanga ikaanza kutengeneza timu upya, Sasahivi mpenzi msomaji unaposoma ujumbe huu, mwaka 2024 kabla hata haujapinduka Yanga imejipata..

    Lakini kuna Timu hiyo mwanzoni mwa mwaka ilikua inajenga timu, ikaanza kujenga timu, ikaanza kujitafuta, mpka muda huu mwaka 2024 unaisha mpenzi msomaji unaposoma ujumbe huu ukiwauliza wanakwambia wanajenga TIMU..

    SASA HUU KAMA SIO UCHAWI NI NI NI..
    #neliudcosiah
    Mwishoni kabisa mwa mwaka 2024 Yanga ilipoteza ubora wake, Yanga ilifukuza Kocha wake, Yanga ikaleta Kocha mpya, Yanga ikaanza kujitafuta, Yanga ikaanza kutengeneza timu upya, Sasahivi mpenzi msomaji unaposoma ujumbe huu, mwaka 2024 kabla hata haujapinduka Yanga imejipata..☺️ Lakini kuna Timu hiyo mwanzoni mwa mwaka ilikua inajenga timu, ikaanza kujenga timu, ikaanza kujitafuta, mpka muda huu mwaka 2024 unaisha mpenzi msomaji unaposoma ujumbe huu ukiwauliza wanakwambia wanajenga TIMU..😁 SASA HUU KAMA SIO UCHAWI NI NI NI..😁 #neliudcosiah
    Like
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·220 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Hammer Smilley06 @Hammer06 ενημερώθηκε η φωτογραφία προφίλ
    2024-12-31 13:39:40 ·
    Haha
    1
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·320 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Hammer Smilley06 @Hammer06 πρόσθεσε ένα video in Γενικά
    2024-12-31 13:58:29 ·
    🫶
    🫀🫶
    Like
    Love
    2
    · 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·319 Views ·7
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Paul Swai @paulswai πρόσθεσε μια φωτογραφία
    2024-12-31 15:24:53 ·

    NBCPL PRIMIER LEAGUE ITAREJEA TENA MARCH 01

    SIMBA ITAKUWA TIMU YA KWANZA KUONGOZA LIGI KWA MDA MREFU HIVI

    MASHABIKI WANAORUHUSIWA KUWA NA FURAHA NI MASHABIKI WA SIMBA TU MPAKA MWEZI WA 3

    #paulswai
    NBCPL PRIMIER LEAGUE ITAREJEA TENA MARCH 01 SIMBA ITAKUWA TIMU YA KWANZA KUONGOZA LIGI KWA MDA MREFU HIVI MASHABIKI WANAORUHUSIWA KUWA NA FURAHA NI MASHABIKI WA SIMBA TU MPAKA MWEZI WA 3 #paulswai
    Like
    Love
    4
    · 1 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·708 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Paul Swai @paulswai
    2024-12-31 15:30:48 ·
    FADLU NI KOCHA WA KISASA HANA KIKOSI CHA KWANZA.

    Nimemnukuu mchambuzi na mtangazaji mahari wa kabumbu nchini Nazareth Upete kupitia kipindi cha Bao la Asubuhi, amesema makocha wengi wa kisasa Duniani hawana First Eleven yaani kikosi cha kwanza.

    Hili linaangukia kwa kocha mkuu wa klabu ya Simba Fadlu Davids, ambaye amekuwa hatabiriki katika kikosi chake cha kwanza huku watu wengi wakionekana kutoelewa namna anavyobadilisha wachezaji wake wa kikosi cha kwanza.

    Upete pia aliendelea kusema, licha ya hayo lakini kumekuwa na wachezaji ambao wamekuwa wakianza mara zote kama ilivyo kwa Che Malone, Abdulrazack Hamza na Moussa Camara.

    Uchambuzi huu unayonyesha wana Simba wanapaswa kujipiga kifua kuwa wamepata bonge moja la kocha na wataraji kuwa na kikosi kipana katika klabu yao.

    Mnyama ndiye kinara wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara na alimpasua vibaya mno Singida Fountain Gate katika dimba lake la CCM Liti, Singida.

    #paulswai
    🚨 FADLU NI KOCHA WA KISASA HANA KIKOSI CHA KWANZA. Nimemnukuu mchambuzi na mtangazaji mahari wa kabumbu nchini Nazareth Upete kupitia kipindi cha Bao la Asubuhi, amesema makocha wengi wa kisasa Duniani hawana First Eleven yaani kikosi cha kwanza. Hili linaangukia kwa kocha mkuu wa klabu ya Simba Fadlu Davids, ambaye amekuwa hatabiriki katika kikosi chake cha kwanza huku watu wengi wakionekana kutoelewa namna anavyobadilisha wachezaji wake wa kikosi cha kwanza. Upete pia aliendelea kusema, licha ya hayo lakini kumekuwa na wachezaji ambao wamekuwa wakianza mara zote kama ilivyo kwa Che Malone, Abdulrazack Hamza na Moussa Camara. Uchambuzi huu unayonyesha wana Simba wanapaswa kujipiga kifua kuwa wamepata bonge moja la kocha na wataraji kuwa na kikosi kipana katika klabu yao. Mnyama ndiye kinara wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara na alimpasua vibaya mno Singida Fountain Gate katika dimba lake la CCM Liti, Singida. #paulswai
    Like
    4
    · 1 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·633 Views
    Παρακαλούμε συνδέσου στην Κοινότητά μας για να δηλώσεις τι σου αρέσει, να σχολιάσεις και να μοιραστείς με τους φίλους σου!
  • Δείχνουμε (20231-20240 από 28217)
  • «
  • Προηγούμενο
  • 2022
  • 2023
  • 2024
  • 2025
  • 2026
  • Επόμενο
  • »
Upgrade to Pro
διάλεξε το πλάνο που σου ταιριάζει
Αναβάθμισε
© 2025 Socialpop
Greek
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
Σχετικά Όρους Ιδιωτικότητα Επικοινώνησε μαζί μας Κατάλογος Developers