Upgrade to Pro

  • Mwishoni kabisa mwa mwaka 2024 Yanga ilipoteza ubora wake, Yanga ilifukuza Kocha wake, Yanga ikaleta Kocha mpya, Yanga ikaanza kujitafuta, Yanga ikaanza kutengeneza timu upya, Sasahivi mpenzi msomaji unaposoma ujumbe huu, mwaka 2024 kabla hata haujapinduka Yanga imejipata..

    Lakini kuna Timu hiyo mwanzoni mwa mwaka ilikua inajenga timu, ikaanza kujenga timu, ikaanza kujitafuta, mpka muda huu mwaka 2024 unaisha mpenzi msomaji unaposoma ujumbe huu ukiwauliza wanakwambia wanajenga TIMU..

    SASA HUU KAMA SIO UCHAWI NI NI NI..
    #neliudcosiah
    Mwishoni kabisa mwa mwaka 2024 Yanga ilipoteza ubora wake, Yanga ilifukuza Kocha wake, Yanga ikaleta Kocha mpya, Yanga ikaanza kujitafuta, Yanga ikaanza kutengeneza timu upya, Sasahivi mpenzi msomaji unaposoma ujumbe huu, mwaka 2024 kabla hata haujapinduka Yanga imejipata..☺️ Lakini kuna Timu hiyo mwanzoni mwa mwaka ilikua inajenga timu, ikaanza kujenga timu, ikaanza kujitafuta, mpka muda huu mwaka 2024 unaisha mpenzi msomaji unaposoma ujumbe huu ukiwauliza wanakwambia wanajenga TIMU..😁 SASA HUU KAMA SIO UCHAWI NI NI NI..😁 #neliudcosiah
    Like
    2
    ·114 Views
  • Haha
    1
    ·20 Views
  • 🫶
    🫀🫶
    Like
    Love
    2
    ·22 Views ·6 Views

  • NBCPL PRIMIER LEAGUE ITAREJEA TENA MARCH 01

    SIMBA ITAKUWA TIMU YA KWANZA KUONGOZA LIGI KWA MDA MREFU HIVI

    MASHABIKI WANAORUHUSIWA KUWA NA FURAHA NI MASHABIKI WA SIMBA TU MPAKA MWEZI WA 3

    #paulswai
    NBCPL PRIMIER LEAGUE ITAREJEA TENA MARCH 01 SIMBA ITAKUWA TIMU YA KWANZA KUONGOZA LIGI KWA MDA MREFU HIVI MASHABIKI WANAORUHUSIWA KUWA NA FURAHA NI MASHABIKI WA SIMBA TU MPAKA MWEZI WA 3 #paulswai
    Like
    Love
    4
    1 Yorumlar ·218 Views
  • FADLU NI KOCHA WA KISASA HANA KIKOSI CHA KWANZA.

    Nimemnukuu mchambuzi na mtangazaji mahari wa kabumbu nchini Nazareth Upete kupitia kipindi cha Bao la Asubuhi, amesema makocha wengi wa kisasa Duniani hawana First Eleven yaani kikosi cha kwanza.

    Hili linaangukia kwa kocha mkuu wa klabu ya Simba Fadlu Davids, ambaye amekuwa hatabiriki katika kikosi chake cha kwanza huku watu wengi wakionekana kutoelewa namna anavyobadilisha wachezaji wake wa kikosi cha kwanza.

    Upete pia aliendelea kusema, licha ya hayo lakini kumekuwa na wachezaji ambao wamekuwa wakianza mara zote kama ilivyo kwa Che Malone, Abdulrazack Hamza na Moussa Camara.

    Uchambuzi huu unayonyesha wana Simba wanapaswa kujipiga kifua kuwa wamepata bonge moja la kocha na wataraji kuwa na kikosi kipana katika klabu yao.

    Mnyama ndiye kinara wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara na alimpasua vibaya mno Singida Fountain Gate katika dimba lake la CCM Liti, Singida.

    #paulswai
    🚨 FADLU NI KOCHA WA KISASA HANA KIKOSI CHA KWANZA. Nimemnukuu mchambuzi na mtangazaji mahari wa kabumbu nchini Nazareth Upete kupitia kipindi cha Bao la Asubuhi, amesema makocha wengi wa kisasa Duniani hawana First Eleven yaani kikosi cha kwanza. Hili linaangukia kwa kocha mkuu wa klabu ya Simba Fadlu Davids, ambaye amekuwa hatabiriki katika kikosi chake cha kwanza huku watu wengi wakionekana kutoelewa namna anavyobadilisha wachezaji wake wa kikosi cha kwanza. Upete pia aliendelea kusema, licha ya hayo lakini kumekuwa na wachezaji ambao wamekuwa wakianza mara zote kama ilivyo kwa Che Malone, Abdulrazack Hamza na Moussa Camara. Uchambuzi huu unayonyesha wana Simba wanapaswa kujipiga kifua kuwa wamepata bonge moja la kocha na wataraji kuwa na kikosi kipana katika klabu yao. Mnyama ndiye kinara wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara na alimpasua vibaya mno Singida Fountain Gate katika dimba lake la CCM Liti, Singida. #paulswai
    Like
    4
    1 Yorumlar ·206 Views
  • Like
    Love
    4
    ·182 Views
  • Like
    Love
    Haha
    3
    1 Yorumlar ·10 Views
  • Like
    2
    ·23 Views
  • Like
    Love
    2
    ·10 Views ·30 Views
  • Like
    1
    ·47 Views