·6 Views
Directory
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
Mitandao ya Facebook na Instagram ina mpango wa kuanzisha akaunti zinazotumia teknolojia ya akili bandia (AI). Akaunti hizi zitakuwa na maelezo binafsi (bio), picha za wasifu, na uwezo wa kutengeneza maudhui kwa kutumia AI.
Kampuni ya Meta imewekeza kwa kiasi kikubwa kwenye teknolojia ya AI, na tayari imezindua zana mbalimbali zinazotumia teknolojia hiyo mfano Watumiaji wanaweza kutumiana ujumbe (kuchat) na Meta AI ndani ya mitandao ya kijamii. Meta imeanza majaribio ya kuruhusu akaunti za AI ambazo zitakuwa kama akaunti za Watumiaji wa kawaida. Instagram na Facebook itakuwa ni mitandao ya AI na Watu wa kawaida wakizungumza (wakichat) na kushirikiana kwa pamoja!
Hata hivyo, kuna wasiwasi mkubwa juu ya athari za akaunti hizi za AI. Zinaweza kuchangia kuenea kwa taarifa za uongo, propaganda, habari za kupotosha, matapeli, na maudhui yasiyo na ubora. Kwa sasa, Watumiaji wengi wa Facebook na Instagram wamekuwa wakiona machapisho yanayopendekezwa ambayo mara nyingine si ya muhimu au yanayochosha.
Mpango huu umeonyesha mashaka, akaunti hizi za AI zinaweza kuathiri uzoefu wa watumiaji vibaya na kuondoa ule uhalisia wa mitandao kuwa ya kibinadamu. Pia ameonyesha matatizo yaliyopo tayari kwenye maudhui ya AI yaweza kuzidisha changamoto badala ya kuzitatua.
Akaunti za AI zitakuwa nazo zinaweza kutengeneza picha, caption na kupata followers kama akaunti za watumiaji wa kawaida. Imagine content creator wataanza kushindana na content creator za AI, jambo ambalo litaweza kuibua changamoto nyingine mpya. Hatua hii ipo kwenye majaribio huku Meta ikiangalia utaratibu na sheria mpya.
Mitandao ya Facebook na Instagram ina mpango wa kuanzisha akaunti zinazotumia teknolojia ya akili bandia (AI). Akaunti hizi zitakuwa na maelezo binafsi (bio), picha za wasifu, na uwezo wa kutengeneza maudhui kwa kutumia AI. Kampuni ya Meta imewekeza kwa kiasi kikubwa kwenye teknolojia ya AI, na tayari imezindua zana mbalimbali zinazotumia teknolojia hiyo mfano Watumiaji wanaweza kutumiana ujumbe (kuchat) na Meta AI ndani ya mitandao ya kijamii. Meta imeanza majaribio ya kuruhusu akaunti za AI ambazo zitakuwa kama akaunti za Watumiaji wa kawaida. Instagram na Facebook itakuwa ni mitandao ya AI na Watu wa kawaida wakizungumza (wakichat) na kushirikiana kwa pamoja! Hata hivyo, kuna wasiwasi mkubwa juu ya athari za akaunti hizi za AI. Zinaweza kuchangia kuenea kwa taarifa za uongo, propaganda, habari za kupotosha, matapeli, na maudhui yasiyo na ubora. Kwa sasa, Watumiaji wengi wa Facebook na Instagram wamekuwa wakiona machapisho yanayopendekezwa ambayo mara nyingine si ya muhimu au yanayochosha. Mpango huu umeonyesha mashaka, akaunti hizi za AI zinaweza kuathiri uzoefu wa watumiaji vibaya na kuondoa ule uhalisia wa mitandao kuwa ya kibinadamu. Pia ameonyesha matatizo yaliyopo tayari kwenye maudhui ya AI yaweza kuzidisha changamoto badala ya kuzitatua. Akaunti za AI zitakuwa nazo zinaweza kutengeneza picha, caption na kupata followers kama akaunti za watumiaji wa kawaida. Imagine content creator wataanza kushindana na content creator za AI, jambo ambalo litaweza kuibua changamoto nyingine mpya. Hatua hii ipo kwenye majaribio huku Meta ikiangalia utaratibu na sheria mpya.·56 Views -
Utabiri wa Africa Soccer Zone wa michezo ya klabu bingwa barani Afrika (CAF Champions League).
- Yanga SC 3-1 TP Mazembe
- Al Hilal 2-1 MC Alger
Utabiri wa Africa Soccer Zone wa michezo ya klabu bingwa barani Afrika (CAF Champions League). - Yanga SC 3-1 TP Mazembe - Al Hilal 2-1 MC Alger·26 Views -
Klabu za Afrika zilizoshinda mechi nyingi kwenye michezo mbalimbali ikiwamo Ligi Kuu zao, Kombe la Ligi na kinyang'anyiro cha Afrika nakadhalika.
- Yanga SC: 38
- Simba SC: 32
Klabu za Afrika zilizoshinda mechi nyingi kwenye michezo mbalimbali ikiwamo Ligi Kuu zao, Kombe la Ligi na kinyang'anyiro cha Afrika nakadhalika. - Yanga SC: 38 - Simba SC: 32·23 Views