Cristiano Ronaldo: “Wakati wangu bora nikiwa na Al Nassr ni pindi tuliposhinda kombe langu la kwanza kwenye fainali dhidi ya Al Hilal.
Nataka kushinda makombe mengi na Al Nassr, nataka kuwasaidia wachezaji wenzangu na Al Nassr kufanikiwa zaidi.
Wazo la kuwa star wa kwanza kujiunga Ligi ya Saudi, ni heshima kubwa kwangu. Na natumai baada ya miaka 5-10 ligi itaendelea kukua. Sio ligi pekee na hata academies zilizopo Saudi Arabia na itaongeza kiwango cha ushindani. Hii ni ndoto yangu. Nataka kuisaidia ligi na nchi.
Najua kwamba kila mtu anamwangalia Cristiano Ronaldo Kama mfano wa kuigwa. Sio uwanjani tu, mpaka nje ya uwanja pia. Najua hili, na kila mtu analijua hili, na Kama kuna mtu anasema tofauti basi anadanganya.
Nina ndoto ya kushinda Asian Champions League na Al Nassr. Mwaka huu utakuwa ni mwaka mzuri kwa Al Nassr. Inshallah.”
🔳Cristiano Ronaldo: “Wakati wangu bora nikiwa na Al Nassr ni pindi tuliposhinda kombe langu la kwanza kwenye fainali dhidi ya Al Hilal.