0 Commentarios
路0 Acciones
路264 Views
-
AHOUAAA GOOOOOOOALLLLLLLLL #paulswai
-
馃嚬馃嚦 SFAXIEN 0锔忊儯馃啔1锔忊儯SIMBA SC馃嚬馃嚳 鈿斤笍 Ahoua 馃幆 Ateba #paulswai
-
-
Mapumziko tukiongoza. #TotalEnergiesCAFCC #paulswai
-
-
-
-
YAO: SINA SHIDA NA KIBWANA
"Niseme wazi, Kibwana ni beki mzuri na wala sina tatizo naye, lakini nikipona majeraha nitarudi kwenye nafasi yangu. Naujua uwezo wangu ila namuachia kocha ndiye atakayeamua nani acheze wapi, kwa kuwa jambo la msingi ni wachezaji wote kuisaidia timu kufanikiwa."
馃棧 YAO KOUASSI, Nyota wa Yanga SC via MwanaspotiYAO: SINA SHIDA NA KIBWANA "Niseme wazi, Kibwana ni beki mzuri na wala sina tatizo naye, lakini nikipona majeraha nitarudi kwenye nafasi yangu. Naujua uwezo wangu ila namuachia kocha ndiye atakayeamua nani acheze wapi, kwa kuwa jambo la msingi ni wachezaji wote kuisaidia timu kufanikiwa." 馃棧 YAO KOUASSI, Nyota wa Yanga SC via Mwanaspoti0 Commentarios 路0 Acciones 路436 Views -
Cristiano Ronaldo: “Wakati wangu bora nikiwa na Al Nassr ni pindi tuliposhinda kombe langu la kwanza kwenye fainali dhidi ya Al Hilal.
Nataka kushinda makombe mengi na Al Nassr, nataka kuwasaidia wachezaji wenzangu na Al Nassr kufanikiwa zaidi.
Wazo la kuwa star wa kwanza kujiunga Ligi ya Saudi, ni heshima kubwa kwangu. Na natumai baada ya miaka 5-10 ligi itaendelea kukua. Sio ligi pekee na hata academies zilizopo Saudi Arabia na itaongeza kiwango cha ushindani. Hii ni ndoto yangu. Nataka kuisaidia ligi na nchi.
Najua kwamba kila mtu anamwangalia Cristiano Ronaldo Kama mfano wa kuigwa. Sio uwanjani tu, mpaka nje ya uwanja pia. Najua hili, na kila mtu analijua hili, na Kama kuna mtu anasema tofauti basi anadanganya.
Nina ndoto ya kushinda Asian Champions League na Al Nassr. Mwaka huu utakuwa ni mwaka mzuri kwa Al Nassr. Inshallah.”馃敵Cristiano Ronaldo: “Wakati wangu bora nikiwa na Al Nassr ni pindi tuliposhinda kombe langu la kwanza kwenye fainali dhidi ya Al Hilal. Nataka kushinda makombe mengi na Al Nassr, nataka kuwasaidia wachezaji wenzangu na Al Nassr kufanikiwa zaidi. Wazo la kuwa star wa kwanza kujiunga Ligi ya Saudi, ni heshima kubwa kwangu. Na natumai baada ya miaka 5-10 ligi itaendelea kukua. Sio ligi pekee na hata academies zilizopo Saudi Arabia na itaongeza kiwango cha ushindani. Hii ni ndoto yangu. Nataka kuisaidia ligi na nchi. Najua kwamba kila mtu anamwangalia Cristiano Ronaldo Kama mfano wa kuigwa. Sio uwanjani tu, mpaka nje ya uwanja pia. Najua hili, na kila mtu analijua hili, na Kama kuna mtu anasema tofauti basi anadanganya. Nina ndoto ya kushinda Asian Champions League na Al Nassr. Mwaka huu utakuwa ni mwaka mzuri kwa Al Nassr. Inshallah.”0 Commentarios 路0 Acciones 路345 Views