·3 Views
Directory
Share your ideas, Make money with Social Pop, enjoy on our lager village
-
-
Kocha Fadlu kuelekea mchezo wa kesho. #paulswai·129 Views
-
-
✍🏻Yanga waliutaka sana huu ushindi na wameupata kwa namna timu kubwa wanapaswa kufanya ( Namaanisha ukiwa nyuma goli moja , msimamo upo vibaya kwako ni rahisi sana kupoteza umakini lakini wachezaji wa Yanga walikuwa kama vile hakuna kilichotokea . TULIA NA CHEZA MPIRA )
✍🏻Uwepo wa Diarra maana yake Yanga hawakuhitaji kiungo mwingine wa ziada kwenye build up : Diarra , Job , Bacca na Aucho wanatosha hii ilikuwa inasaidia kuuliza swali gumu sana kwa kiungo cha Mazembe ... lipi hilo ?
1: Aziz na Mudathir wanakuwa nyuma ya kiungo cha Mazembe na Aucho nyuma ya straika wa Mazembe maana yake ?
2: Viungo wawili wa kati wa Mazembe wanashindwa kukabia juu kwa kuhofia kuwaachia Space Muda na Aziz na Straika wa Mazembe akisema aende kwa Job na Bacca basi nyuma yake Aucho yupo free .
3: Hapa ndio Yanga wakaanza kumihitaji mchezaji ambaye anaweza kupokea mpira eneo lolote hata kama kuna presha na kuisogeza Yanga juu ( PACOME ) anatoka pembeni na kupokea mpira ndani ili kutengeneza wingi wa wachezaji ndani ( central overloads ) : Yanga walitengeneza nafasi nzuri za kufunga mara kadhaa walikwamishwa na uduni wa umaliziaji
✍🏻Nafikiri TP Mazembe , moja ya sababu kuu iliyokwamisha ni kushambulia na idadi ndogo sana ya wachezaji . Mshambuliaji wao Fofana alikuwa ametengwa sana . Maana yake rahisi hata kwa Yanga kushinda mipira mingi ya pili .
NOTE
1: Keita( beki wa kulia ) kacheza mechi nzuri
2: Zemanga kama kiungo ( alipaswa kurahisisha mchezo , touches nyingi )
3: Kibwana .. anatuma ujumbe ( ile jezi hataki kuiacha .. ni maboresho crosses )
4: Aucho physically mwili unakataa lakini ufundi bado upo na ubongo
5: Bacca + Job
6: Pacome anafanya anachotaka muda anaotaka
7: Hatari ya Turn Overs ( magoli mawili ya Yanga )
8: CLEMENTINHO .! Anazidi kuvunja ule mjadala wa " PUNGUZA WACHEZAJI WA KIGENI WAZAWA WACHEZE " anaacha miguu yake iongee .! 💪🏿 kiwango kinacheza sio Passport yako ( He is dangerous boy )
#neliudcosiah
✍🏻Yanga waliutaka sana huu ushindi na wameupata kwa namna timu kubwa wanapaswa kufanya ( Namaanisha ukiwa nyuma goli moja , msimamo upo vibaya kwako ni rahisi sana kupoteza umakini lakini wachezaji wa Yanga walikuwa kama vile hakuna kilichotokea . TULIA NA CHEZA MPIRA ) ✍🏻Uwepo wa Diarra maana yake Yanga hawakuhitaji kiungo mwingine wa ziada kwenye build up : Diarra , Job , Bacca na Aucho wanatosha hii ilikuwa inasaidia kuuliza swali gumu sana kwa kiungo cha Mazembe ... lipi hilo ? 1: Aziz na Mudathir wanakuwa nyuma ya kiungo cha Mazembe na Aucho nyuma ya straika wa Mazembe maana yake ? 2: Viungo wawili wa kati wa Mazembe wanashindwa kukabia juu kwa kuhofia kuwaachia Space Muda na Aziz na Straika wa Mazembe akisema aende kwa Job na Bacca basi nyuma yake Aucho yupo free . 3: Hapa ndio Yanga wakaanza kumihitaji mchezaji ambaye anaweza kupokea mpira eneo lolote hata kama kuna presha na kuisogeza Yanga juu ( PACOME ) anatoka pembeni na kupokea mpira ndani ili kutengeneza wingi wa wachezaji ndani ( central overloads ) : Yanga walitengeneza nafasi nzuri za kufunga mara kadhaa walikwamishwa na uduni wa umaliziaji ✍🏻Nafikiri TP Mazembe , moja ya sababu kuu iliyokwamisha ni kushambulia na idadi ndogo sana ya wachezaji . Mshambuliaji wao Fofana alikuwa ametengwa sana . Maana yake rahisi hata kwa Yanga kushinda mipira mingi ya pili . NOTE 1: Keita( beki wa kulia ) kacheza mechi nzuri 2: Zemanga kama kiungo ( alipaswa kurahisisha mchezo , touches nyingi ) 3: Kibwana .. anatuma ujumbe ( ile jezi hataki kuiacha .. ni maboresho crosses ) 4: Aucho physically mwili unakataa lakini ufundi bado upo na ubongo 5: Bacca + Job 🔥🔥 6: Pacome anafanya anachotaka muda anaotaka🔥 7: Hatari ya Turn Overs ( magoli mawili ya Yanga ) 8: CLEMENTINHO .! Anazidi kuvunja ule mjadala wa " PUNGUZA WACHEZAJI WA KIGENI WAZAWA WACHEZE " anaacha miguu yake iongee .! 🔥💪🏿 kiwango kinacheza sio Passport yako ( He is dangerous boy ) #neliudcosiah·46 Views