• Hapo ni wakati Joe Biden ambaye ni Rais wa Marekani akimsubiri Lionel Messi ili ampe metali uhuru lakini Mwargentina huyo akifika eneo la tukio wala hakutuma Mtu yeyote kumwakilisha.

    Hapo ni wakati Joe Biden ambaye ni Rais wa Marekani 🇺🇸 akimsubiri Lionel Messi ili ampe metali uhuru lakini Mwargentina huyo akifika eneo la tukio wala hakutuma Mtu yeyote kumwakilisha.
    0 Commentaires ·0 Parts ·506 Vue
  • 0 Commentaires ·0 Parts ·117 Vue
  • 0 Commentaires ·0 Parts ·116 Vue
  • CAF CONFEDERATION CUP

    CS SFAXIEN SIMBA SC
    19:00
    Hammadi Agrebi

    Simba inakutana na Sfaxien, timu ambayo haijashinda mechi yoyote katika kundi hilo baada ya kupoteza michezo mitatu ikishika mkia bila pointi yoyote. Kucheza mechi ya leo bila ya mashabiki inaweza kuwa nafuu kwa Simba katika kuifukuzia rekodi yao ya kucheza robo fainali kwa mara ya sita katika kipindi cha misimu saba kuanzia 2018/19.

    Kila la kheri Wenyenchi @simbasctanzania

    #paulswai
    CAF CONFEDERATION CUP 🇹🇳 CS SFAXIEN 🆚 SIMBA SC 🇹🇿 ⏰ 19:00 🏟️ Hammadi Agrebi Simba inakutana na Sfaxien, timu ambayo haijashinda mechi yoyote katika kundi hilo baada ya kupoteza michezo mitatu ikishika mkia bila pointi yoyote. Kucheza mechi ya leo bila ya mashabiki inaweza kuwa nafuu kwa Simba katika kuifukuzia rekodi yao ya kucheza robo fainali kwa mara ya sita katika kipindi cha misimu saba kuanzia 2018/19. Kila la kheri Wenyenchi @simbasctanzania 🇹🇿🇹🇿 #paulswai
    Like
    4
    · 2 Commentaires ·0 Parts ·1KB Vue
  • Love
    Like
    6
    · 1 Commentaires ·0 Parts ·276 Vue ·116
  • CAF wamesema shuti la Mzize halikuwa la kawaida. Wameshauri magolikipa wawe wanakwepa mashuti yake, vinginevyo wanaweza kuteguka nyonga.
    CAF wamesema shuti la Mzize halikuwa la kawaida. Wameshauri magolikipa wawe wanakwepa mashuti yake, vinginevyo wanaweza kuteguka nyonga.
    Like
    Love
    Wow
    11
    · 2 Commentaires ·0 Parts ·376 Vue
  • TODAY'S TECH POINT

    Kama wewe ni mtu wa mambo ya kimtandao au unapenda sana kujua masuala ya kimtandao (IT), Zingatia mambo yafuatayo:-

    - Usiwe mchoyo wa maarifa, kwenye jukwaa la teknolojia watu wanakuwa wachoyo wa vitu, na ujuzi. Share ideas zako kwa watu ili mpate kujenga kitu kikubwa.
    - JENGA USHIRIKIANO : Ukiona mtu ana uwezo flani kuhusu Teknolojia ya kimtandao (It), jenga ukaribu nae ili mchangie ideas, mfano kama una channel zako za kufundisha vitu au kutoa huduma flan share kwa mwenzako pia ili mkuze maarifa, Share post zake nae pia afanye hivyo ili msaidiane kuinuana
    - Kuwa mtu wa kupenda kujifunza vitu kutoka kwa watu


    > KAMA MTU ANA UJUZI WOWOTE ANAPENDA KUSHARE KWA WANA YOU'RE WELCOME
    Kama una kazi zako pia unataka
    Kushare nasi, au unataka ushirikiano WOWOTE nasi

    Contact main Admin
    https://wa.me/255713840267


    #Duduumendez
    #Duduu_mendez
    #Duduu_mendez_backup
    TODAY'S TECH POINT 👉 Kama wewe ni mtu wa mambo ya kimtandao au unapenda sana kujua masuala ya kimtandao (IT), Zingatia mambo yafuatayo:- - Usiwe mchoyo wa maarifa, kwenye jukwaa la teknolojia watu wanakuwa wachoyo wa vitu, na ujuzi. Share ideas zako kwa watu ili mpate kujenga kitu kikubwa. - JENGA USHIRIKIANO : Ukiona mtu ana uwezo flani kuhusu Teknolojia ya kimtandao (It), jenga ukaribu nae ili mchangie ideas, mfano kama una channel zako za kufundisha vitu au kutoa huduma flan share kwa mwenzako pia ili mkuze maarifa, Share post zake nae pia afanye hivyo ili msaidiane kuinuana - Kuwa mtu wa kupenda kujifunza vitu kutoka kwa watu > KAMA MTU ANA UJUZI WOWOTE ANAPENDA KUSHARE KWA WANA YOU'RE WELCOME Kama una kazi zako pia unataka Kushare nasi, au unataka ushirikiano WOWOTE nasi Contact main Admin https://wa.me/255713840267 #Duduumendez #Duduu_mendez #Duduu_mendez_backup
    Like
    2
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·1KB Vue
  • Love
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·306 Vue
  • 0 Commentaires ·0 Parts ·374 Vue
  • 0 Commentaires ·0 Parts ·390 Vue