Upgrade to Pro

  • Mshambuliaji hatari wa klabu ya Manchester City, Erling Haaland, amesaini mkataba mpya wa muda mrefu utakaoendelea hadi mwaka 2034. Haaland alijiunga na Manchester City mwaka 2022 akitokea katika klabu Borussia Dortmund ya Ujerumani na tangu wakati huo amefunga mabao (111) katika mechi (126).

    Msimu wake wa kwanza ulikuwa wa mafanikio makubwa, akifunga mabao (52) kwenye mashindano yote, akionyesha uwezo wa hali ya juu katika soka la kimataifa. Mkataba huu mpya unafuta mkataba wa mwanzo uliotarajiwa kumalizika mwaka 2027, na unalenga kuhakikisha Haaland anabaki kuwa sehemu muhimu ya klabu hiyo ya Jiji la Manchester.

    "Nina furaha kubwa kusaini mkataba huu mpya na kuendelea kuwa sehemu ya klabu hii bora. Manchester City ni klabu maalum yenye watu wa ajabu na mashabiki wa kipekee, na mazingira haya yananifanya kuwa bora zaidi." - Erling Haaland

    Haaland ameshinda mataji mawili ya Ligi Kuu ya England, FA Cup, Ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League), na Super Cup akiwa na Manchester City.

    "Urefu wa mkataba huu unaonyesha dhamira yetu kwa Haaland kama mchezaji na jinsi anavyothamini klabu hii." - Txiki Begiristan, Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Manchester City.

    Mshambuliaji hatari wa klabu ya Manchester City, Erling Haaland, amesaini mkataba mpya wa muda mrefu utakaoendelea hadi mwaka 2034. Haaland alijiunga na Manchester City mwaka 2022 akitokea katika klabu Borussia Dortmund ya Ujerumani na tangu wakati huo amefunga mabao (111) katika mechi (126). Msimu wake wa kwanza ulikuwa wa mafanikio makubwa, akifunga mabao (52) kwenye mashindano yote, akionyesha uwezo wa hali ya juu katika soka la kimataifa. Mkataba huu mpya unafuta mkataba wa mwanzo uliotarajiwa kumalizika mwaka 2027, na unalenga kuhakikisha Haaland anabaki kuwa sehemu muhimu ya klabu hiyo ya Jiji la Manchester. "Nina furaha kubwa kusaini mkataba huu mpya na kuendelea kuwa sehemu ya klabu hii bora. Manchester City ni klabu maalum yenye watu wa ajabu na mashabiki wa kipekee, na mazingira haya yananifanya kuwa bora zaidi." - Erling Haaland Haaland ameshinda mataji mawili ya Ligi Kuu ya England, FA Cup, Ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League), na Super Cup akiwa na Manchester City. "Urefu wa mkataba huu unaonyesha dhamira yetu kwa Haaland kama mchezaji na jinsi anavyothamini klabu hii." - Txiki Begiristan, Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Manchester City.
    ·7 Views
  • “Maandalizi yapo vizuri tunamshukuru mwenyezi Mungu, sisi kama Yanga SC tupo vizuri kabisa kwa mchezo. Tumefanya maandalizi makubwa na yapo sawa tuwaachie tu mashabiki waje uwanjani”

    “Sisi tunataka kwenda robo fainali ya CAF champions League, tunataka tuingie kwenye Top 5 ya klabu bora barani Afrika, kwa mujibu wa taratibu wa renki za klabu kwa ubora barani Afrika tukishinda kesho tunapata point 39 tunataka nafasi ya tano na inakuwa mara ya kwanza klabu ya Tanzania na Afrika mashariki kufika nafasi ya tano, tuna vitu vingi vyakutusukuma kwenda kupambana kesho kupata maatokeo mazuri”

    “Malengo makubwa ambayo viongozi waliyatoa mapema ni kufika tulipofika msimu uliopita yaani tukifika robo fainali tutakuwa tumefikia malengo yetu ya michuano ya kimataifa baada ya hapo gari itakuwa imekata breki ila atakayekuja mbele yeyote yule tutamfokea na kuruka naye sababu itakuwa tayari presha imeshaondoka”

    “Kwanza tumalize mchezo wa kesho kwa wana Yanga njooni tukajaze uwanja,tukamchinje mwarabu, na kuhusu mauzo ya tiketi yanakwenda vizuri” - Ally Kamwe Msemaji wa Klabu ya Yanga SC.

    “Maandalizi yapo vizuri tunamshukuru mwenyezi Mungu, sisi kama Yanga SC tupo vizuri kabisa kwa mchezo. Tumefanya maandalizi makubwa na yapo sawa tuwaachie tu mashabiki waje uwanjani” “Sisi tunataka kwenda robo fainali ya CAF champions League, tunataka tuingie kwenye Top 5 ya klabu bora barani Afrika, kwa mujibu wa taratibu wa renki za klabu kwa ubora barani Afrika tukishinda kesho tunapata point 39 tunataka nafasi ya tano na inakuwa mara ya kwanza klabu ya Tanzania na Afrika mashariki kufika nafasi ya tano, tuna vitu vingi vyakutusukuma kwenda kupambana kesho kupata maatokeo mazuri” “Malengo makubwa ambayo viongozi waliyatoa mapema ni kufika tulipofika msimu uliopita yaani tukifika robo fainali tutakuwa tumefikia malengo yetu ya michuano ya kimataifa baada ya hapo gari itakuwa imekata breki ila atakayekuja mbele yeyote yule tutamfokea na kuruka naye sababu itakuwa tayari presha imeshaondoka” “Kwanza tumalize mchezo wa kesho kwa wana Yanga njooni tukajaze uwanja,tukamchinje mwarabu, na kuhusu mauzo ya tiketi yanakwenda vizuri” - Ally Kamwe Msemaji wa Klabu ya Yanga SC.
    ·6 Views
  • ·2 Views
  • ·2 Views
  • ·2 Views
  • ·6 Views
  • ·6 Views
  • ·7 Views
  • ·7 Views
  • Like
    1
    ·7 Views
  • ·7 Views
  • “Maxi ni mchezaji wa maajabu, lakini bado hajawa sawa kucheza hapo kesho, Chama amerejea pia sina haraka nae kwa sababu tayari nina wachezaji 24 ambao wanaweza kutupatia matokeo, sina sababu ya kulazimisha wachezaji ambao bado hawapo fiti kucheza kesho. Tutaangalia mwenendo wa kila mchezaji kimwili na kiakili kabla ya kufanya maamuzi” Sead Ramovic, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.

    “Maxi ni mchezaji wa maajabu, lakini bado hajawa sawa kucheza hapo kesho, Chama amerejea pia sina haraka nae kwa sababu tayari nina wachezaji 24 ambao wanaweza kutupatia matokeo, sina sababu ya kulazimisha wachezaji ambao bado hawapo fiti kucheza kesho. Tutaangalia mwenendo wa kila mchezaji kimwili na kiakili kabla ya kufanya maamuzi” Sead Ramovic, Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga SC.
    Like
    1
    ·11 Views
  • ·8 Views
  • Zuchu amuandikia Diamond Platnumz barua ya wazi kwa madai eti kipindi cha Mashamsham cha Wasafi FM kimemdhalilisha.

    Zuchu amuandikia Diamond Platnumz barua ya wazi kwa madai eti kipindi cha Mashamsham cha Wasafi FM kimemdhalilisha.
    ·15 Views
  • Van Dijk amezungumzia kuhusu changamoto za Ligi ya Premier League akisema kuwa ingawa klabu haiwezi kuwa kamilifu kila wakati, juhudi zilizowekwa hadi sasa zitawapa imani ya kuendelea na kuonyesha uwezo wao.

    "Hivyo, je, sasa tuko katika mgogoro? Hii inathibitisha tu kwamba Premier League ni Ligi ngumu sana...

    Hatuwezi kuwa wakamilifu kila wakati, lakini kazi ngumu ambayo tumefanya hadi sasa inapaswa kutupa imani ya kutosha kutoka nje na kuonyesha sisi ni nani" Van Dijk

    Van Dijk amezungumzia kuhusu changamoto za Ligi ya Premier League akisema kuwa ingawa klabu haiwezi kuwa kamilifu kila wakati, juhudi zilizowekwa hadi sasa zitawapa imani ya kuendelea na kuonyesha uwezo wao. "Hivyo, je, sasa tuko katika mgogoro? Hii inathibitisha tu kwamba Premier League ni Ligi ngumu sana... Hatuwezi kuwa wakamilifu kila wakati, lakini kazi ngumu ambayo tumefanya hadi sasa inapaswa kutupa imani ya kutosha kutoka nje na kuonyesha sisi ni nani" Van Dijk
    ·16 Views
  • Rais Burkina Faso, Ibrahim Traoré wamesisitiza uamuzi wake wa kukataa mikopo kutoka Shirika la kimataifa la Fedha Duniani (IMF) na Benki ya Dunia akipendekeza kuwa Nchi yake itaegemea kwenye kujitegemea.

    Akizungumza katika kongamano la kiuchumi la kanda, amesema kuwa iko haja ya mataifa ya Afrika kutegemea rasilimali zao na kujikomboa kutoka kwa kile alichokitaja kuwa "utumwa wa kifedha."

    "Afrika haihitaji Benki ya Dunia, IMF, Ulaya, au Amerika. Tunavyo vinavyohitajika kukuza uchumi wetu bila mikopo na kukataa kuwa watumwa wa kifedha." Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso .

    Rais Burkina Faso, Ibrahim Traoré wamesisitiza uamuzi wake wa kukataa mikopo kutoka Shirika la kimataifa la Fedha Duniani (IMF) na Benki ya Dunia akipendekeza kuwa Nchi yake itaegemea kwenye kujitegemea. Akizungumza katika kongamano la kiuchumi la kanda, amesema kuwa iko haja ya mataifa ya Afrika kutegemea rasilimali zao na kujikomboa kutoka kwa kile alichokitaja kuwa "utumwa wa kifedha." "Afrika haihitaji Benki ya Dunia, IMF, Ulaya, au Amerika. Tunavyo vinavyohitajika kukuza uchumi wetu bila mikopo na kukataa kuwa watumwa wa kifedha." Ibrahim Traoré, Rais wa Burkina Faso 🇧🇫.
    ·14 Views
  • Zuchu achafukwa kisa Ndugu wa Diamond Platnumz kuzungumzia sakata la yeye kuolewa na Diamond akiwemo kaka yake (Diamond), Ricardo Momo.

    Zuchu achafukwa kisa Ndugu wa Diamond Platnumz kuzungumzia sakata la yeye kuolewa na Diamond akiwemo kaka yake (Diamond), Ricardo Momo.
    ·14 Views
  • Jay Melody amemchana Mwijaku kisa madai yake kuwa Diamond Platnumz akifanya collabo na Msanii wa Tanzania basi Msanii huyo anapokea.

    Mwijaku anadai kuwa toka Diamond Platnumz amshirikishe Jay Melody kwenye wimbo wa "Mapozi", Jay Melody amepotea mazima.

    Jay Melody amemchana Mwijaku kisa madai yake kuwa Diamond Platnumz akifanya collabo na Msanii wa Tanzania basi Msanii huyo anapokea. Mwijaku anadai kuwa toka Diamond Platnumz amshirikishe Jay Melody kwenye wimbo wa "Mapozi", Jay Melody amepotea mazima.
    Like
    1
    ·24 Views
  • Like
    1
    ·7 Views
  • Harmonize
    Harmonize ✍️
    Like
    1
    ·14 Views
  • "The Unforgetable THROW BACK
    Ilikuwa mwaka 2003 takribani Miaka 22 iliyopita nikiwa naingia kwenye ukumbi wa DIAMOND JUBILEE - UPANGA kwa kusukuma Mkokoteni 'KiZALI LA MENTALI' feat @sir_nature kwenye uzinduzi wa Album yangu ya pili ya MAPINDUZI HALISI ambayo baadae ilikuja kutangazwa na KILIMANJARO MUSIC AWARDS wakati huo (sasa TMA) kuwa album bora ya HIP HOP kwa mwaka 2003, Nilikuwa nimezungukwa na MIILI VIBANDA (Bouncers) pamoja na Producer wangu bora wa muda wote Tanzania @majani187 of BONGO RECORDS na @solothang_aka_ulamaa

    NB: Ni wasanii wachache sana tuliokuwa na uwezo wa kuujaza ukumbi mkubwa wa DIAMOND JUBILEE na ukatapika kisawasawa
    Je wewe ulikuwa wapi kipindi hiki???" - Professor Jay, Msanii wa muziki Hip-hop Tanzania
    "The Unforgetable THROW BACK 🔥🔥🔥 Ilikuwa mwaka 2003 takribani Miaka 22 iliyopita nikiwa naingia kwenye ukumbi wa DIAMOND JUBILEE - UPANGA kwa kusukuma Mkokoteni 'KiZALI LA MENTALI' feat @sir_nature kwenye uzinduzi wa Album yangu ya pili ya MAPINDUZI HALISI ambayo baadae ilikuja kutangazwa na KILIMANJARO MUSIC AWARDS wakati huo (sasa TMA) kuwa album bora ya HIP HOP kwa mwaka 2003, Nilikuwa nimezungukwa na MIILI VIBANDA (Bouncers) pamoja na Producer wangu bora wa muda wote Tanzania @majani187 of BONGO RECORDS na @solothang_aka_ulamaa 👑 NB: Ni wasanii wachache sana tuliokuwa na uwezo wa kuujaza ukumbi mkubwa wa DIAMOND JUBILEE na ukatapika kisawasawa💪💪💪 Je wewe ulikuwa wapi kipindi hiki???" - Professor Jay, Msanii wa muziki Hip-hop Tanzania
    Like
    1
    ·23 Views
  • Like
    1
    ·7 Views
  • Like
    1
    ·7 Views
  • "Habari za Asubuhi wana Simba

    Baada ya jana kupokea hukumu ya CAF kuhusu kufungiwa Mashabiki katika mchezo wetu dhidi Costantine kumekua na mawazo na maoni mengi.

    Wapo wanaosema tiketi ziendelee kuuzwa ili Wana Simba tuchangie faini iliyotozwa klabu yetu

    Wapo wanaosema klabu iandae utaratibu maalumu watu wachangie kuipunguzia klabu mzigo wa adhabu ya faini hiyo

    Na wengi wamesisitiza iandaliwe sehemu maalumu Wana Simba tukutane tuangalie kwa pamoja mechi

    Kwanza niseme nimefurahishwa na fikra za Wana Simba kulichukua hili kuwa tatizo letu sote na tuko tayari kulitatua kwa pamoja

    Pili niwaombe Wana Simba tutulie wakati huu ambao Viongozi wetu wakiangalia namna sahihi ya kuliendea jambo hili

    Tatu niwatoe hofu Wana Simba kuwa adhabu yetu inahusu mechi moja tuu ya Jumapili, Robo Fainali tutaendelea na utaratibu wetu kama kawaida wa kwenda Uwanjani

    Nichukue nafasi hii kuwapa pole Wana Simba wote ambao tumeumizwa na kadhia hii iliyotokea kwa mara ya kwanza katika maisha yetu

    Mwisho kabisa ili kuepuka kupata maumivu kama haya ya kukosa kuiona Live timu yetu ikicheza mchezo muhimu kama huu hatuna budi sisi Mashabiki kujifunza kupitia sakata ili lisijirudie tena

    Nguvu Moja - Ubaya Ubwela" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC.

    "Habari za Asubuhi wana Simba Baada ya jana kupokea hukumu ya CAF kuhusu kufungiwa Mashabiki katika mchezo wetu dhidi Costantine kumekua na mawazo na maoni mengi. Wapo wanaosema tiketi ziendelee kuuzwa ili Wana Simba tuchangie faini iliyotozwa klabu yetu Wapo wanaosema klabu iandae utaratibu maalumu watu wachangie kuipunguzia klabu mzigo wa adhabu ya faini hiyo Na wengi wamesisitiza iandaliwe sehemu maalumu Wana Simba tukutane tuangalie kwa pamoja mechi Kwanza niseme nimefurahishwa na fikra za Wana Simba kulichukua hili kuwa tatizo letu sote na tuko tayari kulitatua kwa pamoja Pili niwaombe Wana Simba tutulie wakati huu ambao Viongozi wetu wakiangalia namna sahihi ya kuliendea jambo hili Tatu niwatoe hofu Wana Simba kuwa adhabu yetu inahusu mechi moja tuu ya Jumapili, Robo Fainali tutaendelea na utaratibu wetu kama kawaida wa kwenda Uwanjani Nichukue nafasi hii kuwapa pole Wana Simba wote ambao tumeumizwa na kadhia hii iliyotokea kwa mara ya kwanza katika maisha yetu Mwisho kabisa ili kuepuka kupata maumivu kama haya ya kukosa kuiona Live timu yetu ikicheza mchezo muhimu kama huu hatuna budi sisi Mashabiki kujifunza kupitia sakata ili lisijirudie tena Nguvu Moja - Ubaya Ubwela" - Ahmed Ally, Msemaji wa klabu ya Simba SC.
    Like
    1
    ·54 Views
  • Like
    1
    ·11 Views
More Stories