·0 Visualizações
-
-
Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe amefunguka kuhusu herufi K iliyopo kwenye Uzi mpya wa klabu hiyo eneo la kifuani na kusema kuwa Uzi huo mpya wa Yanga SC ni maalum kwa ajili ya kukithamini kikosi cha mwaka 1969 ambacho kiliipeleka kwa mara ya kwanza klabu hiyo kwenye mashindano ya Klabu Bingwa barani Afrika.
Aidha, Ally Kamwe amesema neno "Gwiji" na herufi "K" kwenye Uzi huo yanamaanisha Mchezaji Kitwana Manara, ambaye alikuwa kinara kwenye klabu mwaka 1969.Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC, Ally Kamwe amefunguka kuhusu herufi K iliyopo kwenye Uzi mpya wa klabu hiyo eneo la kifuani na kusema kuwa Uzi huo mpya wa Yanga SC ni maalum kwa ajili ya kukithamini kikosi cha mwaka 1969 ambacho kiliipeleka kwa mara ya kwanza klabu hiyo kwenye mashindano ya Klabu Bingwa barani Afrika. Aidha, Ally Kamwe amesema neno "Gwiji" na herufi "K" kwenye Uzi huo yanamaanisha Mchezaji Kitwana Manara, ambaye alikuwa kinara kwenye klabu mwaka 1969.·38 Visualizações -
Mr Beast: “LeBron alicheza na mwanae, Je na ww utafanya vivyo hivyo Kwa Junior?”
Cristiano Ronaldo: "Tutaona, ana miaka 14, tutaona jinsi miguu yangu inaendelea."Mr Beast: “LeBron alicheza na mwanae, Je na ww utafanya vivyo hivyo Kwa Junior?” Cristiano Ronaldo: "Tutaona, ana miaka 14, tutaona jinsi miguu yangu inaendelea."·35 Visualizações -
“Safari hii hatutamani kabisa zile Hesabu za kuomba Fulani Afungwe ili tufuzu, mnakumbuka msimu uliyopita hatukuanza Vizuri Mechi yetu ya Kwanza kule Algeria, Niwambie Wanayanga Wote Safari hii tunapaswa Kuchukua pointi 3 kwenye mechi zote za Nyumbani, hivyo basi tunawahitaji sana Uwanjani siku hiyo" - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.“Safari hii hatutamani kabisa zile Hesabu za kuomba Fulani Afungwe ili tufuzu, mnakumbuka msimu uliyopita hatukuanza Vizuri Mechi yetu ya Kwanza kule Algeria, Niwambie Wanayanga Wote Safari hii tunapaswa Kuchukua pointi 3 kwenye mechi zote za Nyumbani, hivyo basi tunawahitaji sana Uwanjani siku hiyo" - Ally Kamwe, Msemaji wa klabu ya Yanga SC.·39 Visualizações
Mais stories