·7 Visualizações
-
-
Yamesemwa na Farhan JR (Mchambuzi).
"Kwenye jezi zao zote tatu za Yanga hii haina shida kabisa hii ya rangi ya dhahabu (Gold) ukirejea kwenye masuala ya rangi kwanza kuna rangi Mama tatu pekee zinaitwa Primary colours ambazo ni Njano, buluu na Nyekundu ambapo kwenye hizi rangi tatu ukichanganya ndio unapata rangi za pili (secondary colours) na bado kuna rangi zinaitwa Tertiary (somo la siku nyingine)
Kwahiyo hapa alichofanya Designer wa Yanga ni kuichukua jezi ya ugenini ya Yanga ambayo ni Njano, kupitia njano ndio kaenda kuzalisha rangi ya DHAHABU, ukirejea darasani Dhahabu inapatikana kwa kuchanganya NJANO kwa 87.5% na rangi nyingine moja ndio unazalisha jezi yao namba mbili ya ugenini.
Kwahiyo hapo hayupo nje kwakuwa GOLD ni sehemu ya njano kwa asilimia kubwa sana, Mimi shida yangu ni jezi yao ya nyumbani ule uzi wa KIJANI pale ndipo kuna shida ila sio hii ya pili na ya tatu."
Yamesemwa na Farhan JR (Mchambuzi). "Kwenye jezi zao zote tatu za Yanga hii haina shida kabisa hii ya rangi ya dhahabu (Gold) ukirejea kwenye masuala ya rangi kwanza kuna rangi Mama tatu pekee zinaitwa Primary colours ambazo ni Njano, buluu na Nyekundu ambapo kwenye hizi rangi tatu ukichanganya ndio unapata rangi za pili (secondary colours) na bado kuna rangi zinaitwa Tertiary (somo la siku nyingine) Kwahiyo hapa alichofanya Designer wa Yanga ni kuichukua jezi ya ugenini ya Yanga ambayo ni Njano, kupitia njano ndio kaenda kuzalisha rangi ya DHAHABU, ukirejea darasani Dhahabu inapatikana kwa kuchanganya NJANO kwa 87.5% na rangi nyingine moja ndio unazalisha jezi yao namba mbili ya ugenini. Kwahiyo hapo hayupo nje kwakuwa GOLD ni sehemu ya njano kwa asilimia kubwa sana, Mimi shida yangu ni jezi yao ya nyumbani ule uzi wa KIJANI pale ndipo kuna shida ila sio hii ya pili na ya tatu."·24 Visualizações -
"Tukiwa katika majonzi na kazi ikiendelea katika kuwatafuta ndugu zetu ambao tunaamini bado wako hai kufuatia kuporomoka kwa jengo eneo la Kariakoo, ninawapongeza vijana wetu Taifa Stars kwa ushindi na kufuzu kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025. Mmeandika historia kwa Taifa letu, ikiwa ni mara yetu ya nne kufikia mafanikio haya makubwa katika kipindi cha zaidi ya miaka arobaini.
Hongera kwa kazi nzuri nyote tuliowapa dhamana kusimama na vijana wetu kukamilisha jukumu hili katika Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Benchi la Ufundi na Watanzania wote kwa kuendelea kuipenda, kuithamini na kuipa hamasa Timu ya Taifa.
Baada ya ushindi huu, sasa tujikite katika maandalizi mazuri zaidi kwa mashindano yajayo" - Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania.
"Tukiwa katika majonzi na kazi ikiendelea katika kuwatafuta ndugu zetu ambao tunaamini bado wako hai kufuatia kuporomoka kwa jengo eneo la Kariakoo, ninawapongeza vijana wetu Taifa Stars kwa ushindi na kufuzu kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025. Mmeandika historia kwa Taifa letu, ikiwa ni mara yetu ya nne kufikia mafanikio haya makubwa katika kipindi cha zaidi ya miaka arobaini. Hongera kwa kazi nzuri nyote tuliowapa dhamana kusimama na vijana wetu kukamilisha jukumu hili katika Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF), Benchi la Ufundi na Watanzania wote kwa kuendelea kuipenda, kuithamini na kuipa hamasa Timu ya Taifa. Baada ya ushindi huu, sasa tujikite katika maandalizi mazuri zaidi kwa mashindano yajayo" - Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania.·22 Visualizações
Mais Stories