#SportsElite TETESI
Arsenal, Chelsea na Liverpool wanavutiwa na mlinzi wa Bournemouth mwenye umri wa chini ya miaka 21 Dean Huijsen, ambaye ana kipengele cha kuachiliwa kwa pauni milioni 55 katika mkataba wake. (TBR Football),
Liverpool wana nia ya kumsajili winga wa England chini ya miaka 21 mzaliwa wa Ufaransa Mohamed-Ali Cho, 21, kutoka Nice. (TeamTalks)
Chelsea wanaandaa dau la pauni milioni 58.3 (euro milioni 70) msimu ujao kwa ajili ya beki wa Atletico Madrid mwenye umri wa miaka 21 Pablo Barrios. (Fichajes)
Klabu ya Saudi Pro-League Al-Nassr ilikaribia sana kufikia makubaliano ya mshambuliaji wa Uruguay Darwin Nunez kutoka Liverpool mnamo Januari kabla ya Reds kukataa mpango wa mchezaji huyo wa miaka 25. (Givemesport),
#SportsElite TETESI🌏Arsenal, Chelsea na Liverpool wanavutiwa na mlinzi wa Bournemouth mwenye umri wa chini ya miaka 21 Dean Huijsen, ambaye ana kipengele cha kuachiliwa kwa pauni milioni 55 katika mkataba wake. (TBR Football),