Upgrade to Pro

  • NEW YEAR REWARDS LOADING

    Kuna zawadi kadhaa zimeandaliwa kwa members wote

    Kupata zawadi hizo tembelea link hii https://mendez-new-year.vercel.app/

    Zawadi zitafunguka 2025

    Kwa muonekano mzuri weka browsers yako isome desktop view ili uweze kuepukana na jams itakayotokea ya mtandao mda wa kuchukua zawadi. Server iliyotumika ni ndogo



    #Duduumendez
    #Duduu_mendez
    #Duduu_mendez_backup
    NEW YEAR REWARDS LOADING🎁🎈🎁🎁🎊🎊 Kuna zawadi kadhaa zimeandaliwa kwa members wote Kupata zawadi hizo tembelea link hii https://mendez-new-year.vercel.app/ Zawadi zitafunguka 2025 Kwa muonekano mzuri weka browsers yako isome desktop view ili uweze kuepukana na jams itakayotokea ya mtandao mda wa kuchukua zawadi. Server iliyotumika ni ndogo 😄💀💀💀💀 #Duduumendez #Duduu_mendez #Duduu_mendez_backup
    Like
    1
    ·22 Views
  • TODAY'S TIPS. 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 COMMUNITY

    Link za kitapeli au link zisizoaminika
    Usije ukachukulia poah pale unapotumiwa link ambazo huzielew na ukazifungua? Inaweza kuwa hatari

    Wakati unafungua hizo link ambazo hacker kazituma baada ya kutumia njia inayofahamika kama PHISHING ATTACK, unaweza kupoteza data zako za muhimu, taarifa zako za simu anaweza kuzichukua, unaweza kupata viruses and malware kwenye simu yako, kifaa chako kuwa hacked na kuibiwa password na vitu vya muhimu

    Kuna watu wanasema simu yako haina cha faida anachoweza akaiba akafaidika, Hacker siku zote huwa anafikiria sana zaidi ya malengo yako, akiona kifaa chako hakina Vitu vya muhimu bas atatumia kifaa hicho kupata hivyo vitu kwa wengine au kutumia kifaa chako kufanya Uhalifu bila ww kujua.

    NB: _TUWENI MAKINI NA LINK TUNAZOFUNGUA_

    NAMNA YA KUTAMBUA LINK ZA KITAPELI
    Domain ya hizi link huwa haieleweki mfano mtu anaweza kujifanya anatoa zawadi kutoka vodacom link yake itakuw kam hivi (www.voda.reward.xyz) wakati domain halisi ya vodacom inatakiwa iwe (www.vodacom.co.tz) au (www.vodacom.com)

    KAMA UNAONA LINK INATIA MASHAKA COPY HIO KISHA PASTE KWENYE BROWSER KAMA (BRAVE, TOR BROWSER)
    Hizo browser zitapunguza attacking effect

    _EPUKA KUFUNGUA LINK BILA KUWA NA UHAKIKA NAYO_

    MERRY CHRISTMAS FAMS

    #Duduumendez
    #Duduu_mendez

    For more tips follow me telegram Duduu_mendez_backup
    TODAY'S TIPS. 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 COMMUNITY Link za kitapeli au link zisizoaminika Usije ukachukulia poah pale unapotumiwa link ambazo huzielew na ukazifungua? Inaweza kuwa hatari Wakati unafungua hizo link ambazo hacker kazituma baada ya kutumia njia inayofahamika kama PHISHING ATTACK, unaweza kupoteza data zako za muhimu, taarifa zako za simu anaweza kuzichukua, unaweza kupata viruses and malware kwenye simu yako, kifaa chako kuwa hacked na kuibiwa password na vitu vya muhimu Kuna watu wanasema simu yako haina cha faida anachoweza akaiba akafaidika, Hacker siku zote huwa anafikiria sana zaidi ya malengo yako, akiona kifaa chako hakina Vitu vya muhimu bas atatumia kifaa hicho kupata hivyo vitu kwa wengine au kutumia kifaa chako kufanya Uhalifu bila ww kujua. NB: _TUWENI MAKINI NA LINK TUNAZOFUNGUA_ NAMNA YA KUTAMBUA LINK ZA KITAPELI Domain ya hizi link huwa haieleweki mfano mtu anaweza kujifanya anatoa zawadi kutoka vodacom link yake itakuw kam hivi (www.voda.reward.xyz) wakati domain halisi ya vodacom inatakiwa iwe (www.vodacom.co.tz) au (www.vodacom.com) KAMA UNAONA LINK INATIA MASHAKA COPY HIO KISHA PASTE KWENYE BROWSER KAMA (BRAVE, TOR BROWSER) Hizo browser zitapunguza attacking effect _EPUKA KUFUNGUA LINK BILA KUWA NA UHAKIKA NAYO_ MERRY CHRISTMAS FAMS #Duduumendez #Duduu_mendez For more tips follow me telegram Duduu_mendez_backup
    Like
    1
    2 Comments ·35 Views