


@paulswai
OFFICIAL #Socialpop ACCOUNT OF @paulswai
1335 Posts
871 Photos
418 Videos
-
Kipa wa Simba, MOUSSA CAMARA amefikisha clean sheet ya 14 kwenye ligi msimu huu akicheza mechi 18 akiendelea kuongoza.
.
Clean Sheet hizo zinalingana na zile ambazo Djigui Diarra wa Yanga alizomaliza nazo msimu uliopita alipocheza mechi 21, huku pia akibakisha moja kuzifikia za Ley Matampi aliyekuwa Coastal Union ambaye aliibuka kinara msimu uliopita kwenye mechi zake 25 kati ya 30.
#paulswai🚨 Kipa wa Simba, MOUSSA CAMARA amefikisha clean sheet ya 14 🧤 kwenye ligi msimu huu akicheza mechi 18 akiendelea kuongoza. . Clean Sheet hizo zinalingana na zile ambazo Djigui Diarra wa Yanga alizomaliza nazo msimu uliopita alipocheza mechi 21, huku pia akibakisha moja kuzifikia za Ley Matampi aliyekuwa Coastal Union ambaye aliibuka kinara msimu uliopita kwenye mechi zake 25 kati ya 30. #paulswai -
HII KITAALAM INAITWAJE? #paulswai
-
-
Goaaaaaal..! Ateba ⚽ Fountain Gate 0️⃣ 🆚 1️⃣ Simba Sc 🎯 Chasambi #paulswai
-
KIKOSI KITAKACHO ANZA KWENYE MCHEZO WA LEO DHIDI YA FOUNTAIN GATE. #paulswai
-
-
-
-
kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake #paulswai
-
unamjua Azizi mapenzi wewe? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 #paulswai
-
HUYU PINPIN CAMARA NI POPO 🦇 Save bora kabisa 🧤 #paulswai
-
"Tumejipanga kubeba ubingwa msimu huu Hatutaki maneno mengi " MCHUNGAJI WA SIMBA #paulswai
-
-
-
"HATA WAKIAHIDIWA PESA HAWATUTOI KWENYE RELI" | ALLY SALIM AFUNGUKA | TABORA UNITED KAZI IPO KESHO.
#paulswai"HATA WAKIAHIDIWA PESA HAWATUTOI KWENYE RELI" | ALLY SALIM AFUNGUKA | TABORA UNITED KAZI IPO KESHO. #paulswai -
"TUTAPAMBANA MPAKA TUPATE MATOKEO KESHO | "HATUTAPUMZIKA, | KOCHA FADLU AFUNGUKA TABORA. #paulswai
-
Kocha Mkuu wa Simba Fadlu David Pamoja na Mchezaji Ally Salim Akipeana Salama Na Kocha Mkuu wa Tabora United bila Kumsahau Heritie Makambo.
Mechi Kupigwa Kesho Dimba la Al Hassan Mwinyi.
#paulswaiKocha Mkuu wa Simba Fadlu David Pamoja na Mchezaji Ally Salim Akipeana Salama Na Kocha Mkuu wa Tabora United bila Kumsahau Heritie Makambo. Mechi Kupigwa Kesho Dimba la Al Hassan Mwinyi. #paulswai -
David Kameta 'DUCHU' baada ya kukosa nafasi ya kucheza mzuunguko wa kwanza wa ligi kuu ya NBC, kesho atakuwa sehemu ya kikosi kinachosafiri kuelekea Tabora pamoja na Manyara kwa ajili ya michezo ya ligi.
DUCHU alikuwa na kiwango bora mechi iliyopita dhidi ya Kilimanjaro Wonders.
#paulswaiDavid Kameta 'DUCHU' baada ya kukosa nafasi ya kucheza mzuunguko wa kwanza wa ligi kuu ya NBC, kesho atakuwa sehemu ya kikosi kinachosafiri kuelekea Tabora pamoja na Manyara kwa ajili ya michezo ya ligi. DUCHU alikuwa na kiwango bora mechi iliyopita dhidi ya Kilimanjaro Wonders. #paulswai -
📈 Kwa waliosahau msimamo wa Ligi Kuu ya NBC na Ligi Kuu ya Wanawake. Hali ipo hivi 😎 #paulswai
-
-
muda mwingi yeye yeye utamkuta anaiongoza camera drone (ndege isiyo na rubani) au anakuwa na peni na karatasi yako muda mwingi anaandika baadhi ya vitu
huyu ndo mfungua code wa kocha fadlu davies , huyu ndo anampa mifumo na uwezo wa timu inayotarajiwa kucheza na SIMBA , huyu ndo humpa udhaifu na ubora wa timu pinzani inayotarajiwa kucheza na SIMBA huyu ndo anajifungia ndani na kocha fadlu kumpa mrejesho wa perfomance ya mchezaji mmoja mmoja wa SIMBA baada ya kumalizika mazoezi
Ni bwanamdogo sana ila uwezo wake unatisha sana ukizungumzia mafanikio ya RAJA CASABLANCA msimu uliopita basi moja kati ya waliochangia ni huyu jamaa na raja ikamaliza msimu uliopita ligi ya moroco wakiwa mabingwa na walimaliza msimu bila kufungwa (unbeaten)
anaitwa MUEEZKAJEE ni mchambuzi wa video wa SIMBA SPORTS CLUB ( video &perfomance analysis) ni kijana mzaliwa wa africa kusini ila uwezo mkubwa sana , hata ile siku anaenda kuuambia uongozi wa RAJA kuwa anaondoka na anamfata kocha fadlu viongozi wa RAJA waliumia sana
wote kwa pamoja walikuwa raja na msimu uliopita na wakaipa ubingwa namsimu huu wapo SIMBA wanaendelea kuwapa furaha wanasimba.
#paulswaimuda mwingi yeye yeye utamkuta anaiongoza camera drone (ndege isiyo na rubani) au anakuwa na peni na karatasi yako muda mwingi anaandika baadhi ya vitu huyu ndo mfungua code wa kocha fadlu davies , huyu ndo anampa mifumo na uwezo wa timu inayotarajiwa kucheza na SIMBA , huyu ndo humpa udhaifu na ubora wa timu pinzani inayotarajiwa kucheza na SIMBA huyu ndo anajifungia ndani na kocha fadlu kumpa mrejesho wa perfomance ya mchezaji mmoja mmoja wa SIMBA baada ya kumalizika mazoezi Ni bwanamdogo sana ila uwezo wake unatisha sana ukizungumzia mafanikio ya RAJA CASABLANCA msimu uliopita basi moja kati ya waliochangia ni huyu jamaa na raja ikamaliza msimu uliopita ligi ya moroco wakiwa mabingwa na walimaliza msimu bila kufungwa (unbeaten) anaitwa MUEEZKAJEE ni mchambuzi wa video wa SIMBA SPORTS CLUB ( video &perfomance analysis) ni kijana mzaliwa wa africa kusini ila uwezo mkubwa sana , hata ile siku anaenda kuuambia uongozi wa RAJA kuwa anaondoka na anamfata kocha fadlu viongozi wa RAJA waliumia sana wote kwa pamoja walikuwa raja na msimu uliopita na wakaipa ubingwa namsimu huu wapo SIMBA wanaendelea kuwapa furaha wanasimba. 👍👍👍👍🦁🦁🦁🦁 #paulswai -
🦁 Mnyama atanguruma wikiendi hii kwenye makazi ya nyuki 🐝 #paulswai
-
Clean sheet ya 13 inaenda kutafutwa Jumapili. #paulswai
-
Unampa maksi ngapi uyu jamaa kati ya 1-10 #paulswai
-
Unazani kundi gani la mauji ❓❗ #paulswai
More Stories