Upgrade to Pro

  • Nimekaa nikawaza mwisho nikagundua ya kuwa…

    "Mchezo dhidi ya Coastal Union umetupa mwanga wa mechi ya derby, yale makosa ambayo yalitakiwa yakafanyike kwenye derby yameanza kuonekana kabla ya mchezo wenyewe."

    "Nadhani mwalimu kayaona makosa mengi sana dhidi ya Coastal Union ambayo yanaweza kurekebishika na tukafanya vizuri zaidi kwenye mechi ijayo."

    "Lakini pia ni matokeo ya mchezo mzma ambayo yanaweza kuleta chachu kwa wachezaji kwenda kupambana dhidi ya WATANI ili kuhakikisha tunaukata mzizi wa fitina na kuendelea kukaa juu ya msimamo.."

    "Kudondosha alama 2 dhidi ya Coastal Union ni jambo ambalo halikutegemewa na wengi lkn kama tunatambua misingi ya mpira basi alam moja ni muhimu sana kuliko kukosa kabisa.."

    "Bado mapema sana na mpaka sasa hakuna mwenye uhakika wa kuchukua ubingwa mpaka sasa pengne level za akina KenGold ndio timu ambazo zimeanza kujua wapi wataishia japo hata wao wanaamini watafanya vizuri ili wasalie ligi kuu.."

    "Mashabiki jukumu letu ni kuendelea kuisapoti timu yetu popote inapokuwa na kwa hali yoyote maana sisi ndio wachezaji wa 12 na tuna mchango wetu kwenye timu hasa upatikanaji wa matokeo.."

    "Tarehe 19 tujitokeze kwa wingi kuendelea kuisapoti timu yetu pendwa ya Simba Sc.."

    "SimbaNguvuMoja
    "UbayaUbwela.

    #paulswai
    Nimekaa nikawaza mwisho nikagundua ya kuwa… "Mchezo dhidi ya Coastal Union umetupa mwanga wa mechi ya derby, yale makosa ambayo yalitakiwa yakafanyike kwenye derby yameanza kuonekana kabla ya mchezo wenyewe." "Nadhani mwalimu kayaona makosa mengi sana dhidi ya Coastal Union ambayo yanaweza kurekebishika na tukafanya vizuri zaidi kwenye mechi ijayo." "Lakini pia ni matokeo ya mchezo mzma ambayo yanaweza kuleta chachu kwa wachezaji kwenda kupambana dhidi ya WATANI ili kuhakikisha tunaukata mzizi wa fitina na kuendelea kukaa juu ya msimamo.." "Kudondosha alama 2 dhidi ya Coastal Union ni jambo ambalo halikutegemewa na wengi lkn kama tunatambua misingi ya mpira basi alam moja ni muhimu sana kuliko kukosa kabisa.." "Bado mapema sana na mpaka sasa hakuna mwenye uhakika wa kuchukua ubingwa mpaka sasa pengne level za akina KenGold ndio timu ambazo zimeanza kujua wapi wataishia japo hata wao wanaamini watafanya vizuri ili wasalie ligi kuu.." "Mashabiki jukumu letu ni kuendelea kuisapoti timu yetu popote inapokuwa na kwa hali yoyote maana sisi ndio wachezaji wa 12 na tuna mchango wetu kwenye timu hasa upatikanaji wa matokeo.." "Tarehe 19 tujitokeze kwa wingi kuendelea kuisapoti timu yetu pendwa ya Simba Sc.." "SimbaNguvuMoja "UbayaUbwela. #paulswai
    Like
    1
    ·682 Views

  • Kazi kazi UBAYAUBWELA

    #paulswai
    Kazi kazi UBAYAUBWELA #paulswai
    Like
    1
    ·239 Views ·12 Views
  • KAZI YETU NI KUWALIPIA VISASI VYOTE WENZETU WA UPANDE WAPILI
    #sokachampions
    #ManaraTv
    #UBAYAUBWELA
    KAZI YETU NI KUWALIPIA VISASI VYOTE WENZETU WA UPANDE WAPILI🏆🏆🏆 #sokachampions #ManaraTv #UBAYAUBWELA
    Like
    3
    ·508 Views
  • KIBU DENIS PROSPA; Mchezaji wa Simbasc KIBU DENIS amerudi Tanzania kuitumikia timu yake kongwe Barani Africa SIMBA SC baada ya uongozi wa Simba sc kumpigia simu bila kutoa majibu sahihi sasa mwamba kajileta mwenye,
    Mpira wetu wa Tanzania bado tuna ugonjwa sugu kiasi kwamba tumeshindwa kuutafutia dawa ili kuponya ambavyo bado nivizima.
    Kuna suala la timu kumtegemea/kumpa kichwa mchezaji kuwa yeye nibora sana, THAT'S A DISEASE ; Niugonjwa sugu ambao hauna dawa kama huna D 2 hutaelewa kabisa ufanyeje ili gonjwa hili lipite mbali na timu yako.
    Sasa naomba nishauri kitu kimoja hapa timu ziwe na misimamo mchezaji akijiona yeye bora namalingo uku bado anamkataba piga chini chezaji hilo tena kwakishindo, maamuzi magumu wakati mwingine yanahitajika kwaajili yakutengeneza mambo mazuri juu ya maisha yako kukataa stress za apa na pale hovyo kabisa.
    Walikuwepo wachezaji wa hivi karibuni kama vile LUIS MIQUESON, BWALYA, MUGALU, RODGERS COLAR, SAIDO, DJUMA SHABAN, BANGALA, OMARY OMORY, MORRISON Nk. Hawa wachezaji waliachwa na timu zao Kwa maamuzi ya kiume na sio Kwa kushuka kiwango Chao sembuse kina KIBU DENIS piga chini shusha mashine.
    #2024PESA
    #sokachampions
    #ManaraTv
    #UBAYAUBWELA
    #junvetus
    KIBU DENIS PROSPA; Mchezaji wa Simbasc KIBU DENIS amerudi Tanzania kuitumikia timu yake kongwe Barani Africa SIMBA SC baada ya uongozi wa Simba sc kumpigia simu bila kutoa majibu sahihi sasa mwamba kajileta mwenye, Mpira wetu wa Tanzania bado tuna ugonjwa sugu kiasi kwamba tumeshindwa kuutafutia dawa ili kuponya ambavyo bado nivizima. Kuna suala la timu kumtegemea/kumpa kichwa mchezaji kuwa yeye nibora sana, THAT'S A DISEASE 🪰; Niugonjwa sugu ambao hauna dawa kama huna D 2 hutaelewa kabisa ufanyeje ili gonjwa hili lipite mbali na timu yako. Sasa naomba nishauri kitu kimoja hapa timu ziwe na misimamo mchezaji akijiona yeye bora namalingo uku bado anamkataba piga chini chezaji hilo tena kwakishindo, maamuzi magumu wakati mwingine yanahitajika kwaajili yakutengeneza mambo mazuri juu ya maisha yako kukataa stress za apa na pale hovyo kabisa. Walikuwepo wachezaji wa hivi karibuni kama vile LUIS MIQUESON, BWALYA, MUGALU, RODGERS COLAR, SAIDO, DJUMA SHABAN, BANGALA, OMARY OMORY, MORRISON Nk. Hawa wachezaji waliachwa na timu zao Kwa maamuzi ya kiume na sio Kwa kushuka kiwango Chao sembuse kina KIBU DENIS piga chini shusha mashine💪. #2024PESA #sokachampions #ManaraTv #UBAYAUBWELA #junvetus
    Like
    4
    1 Comments ·844 Views
  • Matokeo ya aina moja kuwapa furaha Wanasimba ndio tunahitaji leo.

    #UbayaUbwela #paulswai
    Matokeo ya aina moja kuwapa furaha Wanasimba ndio tunahitaji leo. #UbayaUbwela #paulswai
    Like
    2
    ·345 Views
  • AHMED ALLY; Yaani katika makombe Lile nalo nikombe!!?
    #sokachampions
    #KaizerChiefsFC
    #yangasc
    ##toyotacup
    #ubayaubwela
    #junvetus
    AHMED ALLY; Yaani katika makombe Lile nalo nikombe!!?🤔🤔🤔 #sokachampions #KaizerChiefsFC #yangasc ##toyotacup #ubayaubwela #junvetus
    Like
    3
    ·905 Views