Nimekaa nikawaza mwisho nikagundua ya kuwa…
"Mchezo dhidi ya Coastal Union umetupa mwanga wa mechi ya derby, yale makosa ambayo yalitakiwa yakafanyike kwenye derby yameanza kuonekana kabla ya mchezo wenyewe."
"Nadhani mwalimu kayaona makosa mengi sana dhidi ya Coastal Union ambayo yanaweza kurekebishika na tukafanya vizuri zaidi kwenye mechi ijayo."
"Lakini pia ni matokeo ya mchezo mzma ambayo yanaweza kuleta chachu kwa wachezaji kwenda kupambana dhidi ya WATANI ili kuhakikisha tunaukata mzizi wa fitina na kuendelea kukaa juu ya msimamo.."
"Kudondosha alama 2 dhidi ya Coastal Union ni jambo ambalo halikutegemewa na wengi lkn kama tunatambua misingi ya mpira basi alam moja ni muhimu sana kuliko kukosa kabisa.."
"Bado mapema sana na mpaka sasa hakuna mwenye uhakika wa kuchukua ubingwa mpaka sasa pengne level za akina KenGold ndio timu ambazo zimeanza kujua wapi wataishia japo hata wao wanaamini watafanya vizuri ili wasalie ligi kuu.."
"Mashabiki jukumu letu ni kuendelea kuisapoti timu yetu popote inapokuwa na kwa hali yoyote maana sisi ndio wachezaji wa 12 na tuna mchango wetu kwenye timu hasa upatikanaji wa matokeo.."
"Tarehe 19 tujitokeze kwa wingi kuendelea kuisapoti timu yetu pendwa ya Simba Sc.."
"SimbaNguvuMoja
"UbayaUbwela.
#paulswai

·655 Views