KIBU DENIS PROSPA; Mchezaji wa Simbasc KIBU DENIS amerudi Tanzania kuitumikia timu yake kongwe Barani Africa SIMBA SC baada ya uongozi wa Simba sc kumpigia simu bila kutoa majibu sahihi sasa mwamba kajileta mwenye,
Mpira wetu wa Tanzania bado tuna ugonjwa sugu kiasi kwamba tumeshindwa kuutafutia dawa ili kuponya ambavyo bado nivizima.
Kuna suala la timu kumtegemea/kumpa kichwa mchezaji kuwa yeye nibora sana, THAT'S A DISEASE ; Niugonjwa sugu ambao hauna dawa kama huna D 2 hutaelewa kabisa ufanyeje ili gonjwa hili lipite mbali na timu yako.
Sasa naomba nishauri kitu kimoja hapa timu ziwe na misimamo mchezaji akijiona yeye bora namalingo uku bado anamkataba piga chini chezaji hilo tena kwakishindo, maamuzi magumu wakati mwingine yanahitajika kwaajili yakutengeneza mambo mazuri juu ya maisha yako kukataa stress za apa na pale hovyo kabisa.
Walikuwepo wachezaji wa hivi karibuni kama vile LUIS MIQUESON, BWALYA, MUGALU, RODGERS COLAR, SAIDO, DJUMA SHABAN, BANGALA, OMARY OMORY, MORRISON Nk. Hawa wachezaji waliachwa na timu zao Kwa maamuzi ya kiume na sio Kwa kushuka kiwango Chao sembuse kina KIBU DENIS piga chini shusha mashine.
#2024PESA
#sokachampions
#ManaraTv
#UBAYAUBWELA
#junvetus

Kuna suala la timu kumtegemea/kumpa kichwa mchezaji kuwa yeye nibora sana, THAT'S A DISEASE 🪰; Niugonjwa sugu ambao hauna dawa kama huna D 2 hutaelewa kabisa ufanyeje ili gonjwa hili lipite mbali na timu yako.
Sasa naomba nishauri kitu kimoja hapa timu ziwe na misimamo mchezaji akijiona yeye bora namalingo uku bado anamkataba piga chini chezaji hilo tena kwakishindo, maamuzi magumu wakati mwingine yanahitajika kwaajili yakutengeneza mambo mazuri juu ya maisha yako kukataa stress za apa na pale hovyo kabisa.
Walikuwepo wachezaji wa hivi karibuni kama vile LUIS MIQUESON, BWALYA, MUGALU, RODGERS COLAR, SAIDO, DJUMA SHABAN, BANGALA, OMARY OMORY, MORRISON Nk. Hawa wachezaji waliachwa na timu zao Kwa maamuzi ya kiume na sio Kwa kushuka kiwango Chao sembuse kina KIBU DENIS piga chini shusha mashine💪.
#2024PESA
#sokachampions
#ManaraTv
#UBAYAUBWELA
#junvetus
1 Comments
·850 Views